apple

An apple is a sweet, edible fruit produced by an apple tree (Malus domestica). Apple trees are cultivated worldwide and are the most widely grown species in the genus Malus. The tree originated in Central Asia, where its wild ancestor, Malus sieversii, is still found today. Apples have been grown for thousands of years in Asia and Europe and were brought to North America by European colonists. Apples have religious and mythological significance in many cultures, including Norse, Greek and European Christian tradition.
Apple trees are large if grown from seed. Generally, apple cultivars are propagated by grafting onto rootstocks, which control the size of the resulting tree. There are more than 7,500 known cultivars of apples, resulting in a range of desired characteristics. Different cultivars are bred for various tastes and use, including cooking, eating raw and cider production. Trees and fruit are prone to a number of fungal, bacterial and pest problems, which can be controlled by a number of organic and non-organic means. In 2010, the fruit's genome was sequenced as part of research on disease control and selective breeding in apple production.
Worldwide production of apples in 2017 was 83.1 million tonnes, with China accounting for half of the total.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    KWELI Apple kuanza kutumia USB Type C kwenye matoleo ya simu zake za iPhone 15

    Tetesi toka kwa Ming-Chi Kuwa kuanzia 2023 Apple ataanza kutumia USB type C. Inawezekana ikawa ni shinikizo toka jumuiya ya Ulaya ikitaka makampuni yote ya simu yatumie standard moja ya kucharge.
  2. Nahitaji simu nzuri upande wa camera, Processor na storage(ROM) kuanzia 64GB Ila isiyo Apple

    Jamaan wadau wa humu JF jukwaa la matangazo madogo madogo habari za muda huu Kiufupi ni kwamba nahitaji simu nzuri upande wa camera, processor na storage kuanzia 64GB na pia iwe ina betri lenye uwezo wa kukaa na chaji muda mrefu yaani haiishi chaji kwa haraka angalau kuanzia...
  3. INAUZWA Vinauzwa; Kitanda,External hd,Stabilizer& Apple Ipad

    1. Kitanda 5*6 =70,000/= 2. External HD 320Gb= 45,000/= 3. Stabilizer = 60,000/= 4. Apple Ipad WiFi = 150,000/= Location; Dar Cont; 0758 597106
  4. Apple Ipad for sale

    Apple Ipad for sale Price:- 200,000/= Location; Dar Network; Wifi Cont; 0758597106
  5. Apple kufuta app ambazo hazitokuwa updated kwa miaka 3

    Apple imetoa tangazo kwa madevelopers kuwa itakuwa ikiondoa app ambazo zitakuwa zinamaliza miaka 3 pasipo kuwa updated. Hii ni kwa macOs na iOS. Pia hata app ambazo hazitofikisha kiwango cha download kilichowekwa ndani ya miezi 12 nazo zitakuwa kwenye hatari ya kuondolewa kwenye duka la app. Kwa...
  6. T

    Tatizo la Apple ni moja, mtu mwenye Iphone 11 na Iphone 13 hawana tofauti.

    Mojawapo ya Kinachosababisha sizipendi simu za Iphone ni muonekano. Iphone matoleo 3 ama hata 4 yanaweza kufanana usijui yupi anatumia simu ipi na yupi ana simu ipi. Kwa mfano, hii design ya macho 3 ilikuja na Iphone 11, haijabadilika hadi Iphone 13, mtu mwenye Iphone 11 na Mwingine ana Iphone...
  7. Kampuni ya Apple kutouza bidhaa zake Urusi

    Kampuni ya Apple imesitisha kuuza simu za iPhone na bidhaa zake nyingine nchini Urusi na kujiunga na Kampuni nyingine mbalimbali ambazo zimetangaza kujiondoa Urusi baada ya kuivamia kijeshi Ukraine. Wafanyabiashara wengine wakubwa wa teknolojia kama Google na Twitter pia wamepunguza biashara...
  8. Apple kawashinda Xiomk, Oppo na Vivo kwenye uwanja wa nyumbani

    Kwakweli Apple na product yake ya iPhone ni kama vile ni unstoppable, iPhone 13 imefanya vizuri sana na kuirudisha apple kwenye nafasi ya 1 kwa mauzo na mapato nchini China. Kama mnakumbuka kuna kipindi ilifanyika kampeni ya kushusha mauzo ya iPhone China ili kupandisha mauzo ya simu...
  9. Computer4Sale Karibu nauza laptop, Computer na nafanya maintenance

    Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama: -HP -DELL -LENOVO -APPLE -FUJITSU -ALIENWARE -SAMSUNG n.k Accessories aina zote zinapatikana kama: -RAM (1gb 2gb 4gb 8g) -Hard disk (180gb, 320gb, 500gb, 1000gb, 2000gb) -Adapter charge aina zote -Keyboard na Mouse wired na wireless -VGA...
  10. Apple reclaims top spot of the most smartphones shipped in Q4

    Apple is back on top, having shipped the most smartphones out of any maker in Q4 last year. Previously, the company regained second place in Q3, now it has overtaken Samsung to secure the #1 spot. This is all thanks to the strong performance of the iPhone 13 series, of course. In fact, analysts...
  11. Utajiri wa Apple Inc. ni mkubwa kuliko GDP ya Afrika

    Kampuni ya Apple ambayo inatengeneza bidhaa za iPhones na Mac imekuwa kampuni ya kwanza kufikia thamani ya dola trilioni 3 katika soko la hisa Thamani hiyo ni kubwa kuzidi hata Pato la Ndani la Afrika(GDP) ambalo ni dola trilioni 2.6 Kampuni hiyo imefanikiwa kukua kwa kasi ndani ya miezi 16...
  12. Apple imekuwa kampuni ya kwanza kufikia thamani ya soko ya dola trilioni tatu

    Kampuni kubwa ya kiteknolojia ya Marekani Apple imekuwa kampuni ya kwanza kupata hesabu ya soko la hisa ya $3tn (£2.2tn). Bei ya hisa za kampuni hiyo ilipanda kwa karibu asilimia The firm's share price has 5,800 tangu mwanzilishi mwenza na mtendaji mkuu wa zamani Steve Jobs kuzindua iPhone ya...
  13. Apple yaifungulia mashtaka kampuni inayomiliki Pegasus

    Kampuni ya Apple imeifungulia mashtaka kampuni ya nchini Israel ya NSO iliyotengeneza programu ya Pegasus kwa madai ya kuathiri watumiaji wa vifaa na huduma zake. Mashtaka ya Apple dhidi ya NSO yanakuja wakati kampuni hiyo ikikabiliwa na msukosuko wa madai kuwa maelfu ya wanaharakati, waandishi...
  14. Apple kutengeneza Gari zake kufikia 2025

    Mtandao wa Bloomberg umeripoti kwamba Gari la umeme linalotengenezwa na kampuni maarufu ya Apple ambayo pia inatengeneza vifaa mbalimbali kama simu za mkononi na computer, litazinduliwa mwaka 2025. Inaelezwa kwamba Timu inayosimamia kutengeneza gari hilo la Apple ilikwama kwenye kuchagua kati...
  15. Apple kuwapa watumiaji wake uhuru wa kutengeneza simu zao wenyewe

    Kwa muda mrefu Apple imekuwa ikizuia wateja wake wasijitengenezee simu, Macs au vifaa vya Apple; au kutumia mafundi ambao hawajasajiliwa na Apple. Hali hiyo ilipelekea Apple kufunga na kuzuia watu wasirekebishe simu kwa mafundi wa mitaani ambao sio authorized na Apple. Kutokana na baadhi ya...
  16. Apple inaacha kutengeneza iPhone Mini

    Apple inaacha kutengeneza iPhone mini na katika iPhone 14; haitatengeneza iPhone mini size ya inch 5.4. iPhone 14 zitakuwa na size ya 6.1 inch (size ya iPhone ya kawaida na iPhone Pro ndogo) na size ya inch 6.7 (size ya iPhone Pro Max).
  17. Apple yashinikizwa na China kuondoa app maarufu ya Quran

    Shirika la Apple limechukua uamuzi wa kushangaza wa kufuta apu hiyo yenye Qur'ani Tukufu kwa lugha asili ya Kiarabu na pia tarjuma kwa lugha nyinginezo pamoja na mafundisho mengine ya Kiislamu. Apu hiyo imefutwa kwenye jukwaa la App Store lenye kubeba aplikesheni zote za simu za iPhone na iPad...
  18. M

    Fahamu jinsi ya kutambua ikiwa simu ya Apple iphone 12 (mini, pro, promax) ni feki au orijino

    ...am editing
  19. Uchaguzi Urusi: App ya Navalny yaondolewa Apple na Google Store

    'Smart Voting App' ya Kiongozi wa Upinzani Nchini humo, Alexei Navalny imeondolewa Google na Apple Store katika siku ambayo Wananchi wanaanza kupiga kura kwenye Uchanguzi wa Bunge. Mamlaka zilitishia kuzitoza faini Kampuni hizo ikiwa zitakataa kuiondoa. Uchaguzi utafanyika kwa siku tatu kuanzia...
  20. Inawezekana toleo jipya la Apple kwenye iPhone 13 kisoko itapata wateja

    Tarehe 14 September 2021 kampuni ya Apple imetambulisha matoleo mapya ya vifaa na toleo jipya la iphone 13 na 13 pro. Ila nitapenda kueleza kiufupi simu za apple zilizofanya vibaya japo watu wanashindwa kuelewa. Kampuni hii ilianza kuwa na mauzo makubwa kuanzia iphone 2g mpaka 5s. ila kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…