ardhi

  1. mwanamwana

    TANZIA Christian Atsu apatikana ndani ya kifusi Uturuki akiwa amefariki dunia

    Christian Atsu amepatikana ndani ya kifusi siku 12 baadaye baada ya tetemeko la ardhi kuikumba Uturuki na Syria. Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na wakala wake anayeitwa Nana Sechere Pia soma - Mchezaji wa kimataifa kutoka Ghana anaswa kwenye vifusi nchini Uturuki ==== Nana Sechere...
  2. chiembe

    Dodoma ni eneo la bonde la ufa, ujenzi wa majengo uzingatie tahadhari za matetemeko ya ardhi

    Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu. Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka. Pia soma -...
  3. Pascal Mayalla

    Uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign - Sheria ya Ardhi ni ya Mwaka 1999 na Sio 1995

    Wanabodi Naangalia TBC mubashara uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign, Katika ufuatiliaji wa uzinduzi huu mubashara kupitia TBC, kukatokea jambo fulani, Wanasheria hawa, ndio waliotufikisha hapa!, jee tuendelee kuvumilia hizi slips of a tongue kwa wanasheria wetu manguli wabobezi na...
  4. B

    Ukweli kuhusu Mgogoro wa Ardhi Kijiji Namawala Vs Kambenga

    Kambenga aliomba ekari 100 kutoka kijiji akapewa,then akataka ekari 900 zaidi Kwa kutumia hila kudai kuwa amepewa alionyesha muhtasari wa kikao cha CCM cha kata ambacho walihudhuria wajumbe wanane lakini wajumbe saba hawakutia sahihi muhutasari huo. Kambenga hakuwahi kulipa kiasi chochote cha...
  5. Crocodiletooth

    Walaghai na matapeli wote ambao mmeigeuza wizara ya ardhi dar kama chaka lenu achaneni na kazi hizo ni lockup tu.

    Nipende kumpongeza kamishna mpya ambaye amekuja kwa ajili ya mkoa wa dar na pwani, MR. LEO, dhamira yako njema ya kubadilisha taswira iliyokuwepo na kujenga mtazamo mpya inaonekana waziwazi, hongera kwa mfumo wako mpya ambao umeuweka hakika wengi wataumbuka, pia nafurahi ya kuwa umetambua vizee...
  6. matunduizi

    Hii ni ngome ya underground Yenye uwanja wa ndege chini ya Ardhi ya Jeshi la iran.

    Iran imeonyesha pic picha za Uwanja wa ndege wa chini ya ardhi .
  7. BARD AI

    Rais Samia aridhia eneo la Magereza kumegwa ili wapewe wananchi

    Rais Samia Suluhu Hassan amemaliza mgogoro wa ardhi yenye ukubwa wa ekari 7,495.74 uliodumu kwa zaidi ya miongo mitatu kati ya vijiji vya Kata ya Kingale, Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na Gereza la King'ang'a. Mgogoro huo umetatuliwa baada ya kiongozi huyo kuagiza eneo lenye ukubwa wa ekari...
  8. BARD AI

    Matetemeko ya Ardhi yaliyoua watu wengi Zaidi Duniani ndani ya Miaka 10

    Taasisi ya National Earthquake Information Center (NEIC) inayochunguza Taarifa kuhusu Tetemeko la Ardhi, inakadiria kuwa Matetemeko 20,000 ya ukubwa tofauti yanatokea duniani kote kila mwaka sawa na wastani wa Matetemeko 55 kila siku. Mwaka 2021, Dunia ilipigwa na Matetemeko 2,200 yenye ukubwa...
  9. R

    Sayansi imeshindwa kutabiri kwa usahihi matetemeko ya ardhi?

    Huwa kila zinapokuja hizi habari za matetemeko ya ardhi swali hili hunijia akilini. Ni juzi tu huko Uturuki maelfu ya watu wamekufa kutokana na tetemeko la ardhi. Sayansi ya maumbile ya dunia (Geology) imeshindwa kubashiri na kuepusha janga linalotokana na mitetemo ya ya dunia?
  10. HIMARS

    Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

    UPDATE, FEBRUARY 13: VIFO VYA #TURKEYEARTHQUAKE VYAFIKIA 36,257 Vikosi vinaendelea kuokoa walionusurika kwenye Vifusi vya majengo yaliyoangushwa na Matetemeko mawili ya ukubwa wa Richa 7.8 na 7.6 wakiwemo Watoto 2 wa miaka 10 na 13 waliotolewa kwenye Kifusi baada ya kusubiri kwa saa 183. Hadi...
  11. Gulio Tanzania

    Utaratibu wa kulipwa fidia ya ardhi na Serikali upo vipi?

    Nimerudi nyumbani Iringa kusalimia mwezi uliopita sasa kuna ndugu yangu alinunuaga shamba maeneo ya Tagamenda Iringa Mjini miaka mitatu iliyopita muda mfupi Serikali walilihitaji hilo eneo kwaajili yakufunga mitambo ya kufua umeme wananchi walijenga eneo hilo na kununua mashamba walihaidiwa...
  12. The Hyper

    Kwako Waziri wa Ardhi Tanzania

    Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Nakuandikia hili,ikiwa ni kiulizo&taarifa kuwa; Je,umeshindwa kutatua changamoto ya uporaji Ardhi inayofanywa na mamlaka za Ardhi zilizo chini yako nchini? Mfano; Ichunguze Idara ya Ardhi Manispaa ya Morogoro, Kuna uhuni mwingi unaendelea...
  13. Lady Whistledown

    Kashfa kubwa Wizara ya Ardhi: Bilioni 375 zatumika kugharamia semina na uratibu

    BUNGENI: Mbunge Hawa Mwaifunga amesema Wizara ya Ardhi imekopa Zaidi ya Tsh. Bilioni 345, bila Kamati kuwa na Taarifa ya Mkopo huo na kuhoji Matumizi na vipaumbele vya Wizara. Mkopo huo umeidhinishwa kwa matumizi ya Upimaji wa Vijiji 250 kwa Miaka 5 kati ya zaidi ya Vijiji 9,000 vinavyopaswa...
  14. Roving Journalist

    Kigoma: Kisa mgogoro wa ardhi, Kanisa Katoliki laishitaki CCM Mahakamani

    Mgogoro wa ardhi ambao umekuwa ukiendelea kwa muda umesababisha Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma kuamua peleka Mahakamani mashitaka dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Shitaka hilo lililofunguliwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Kigoma, Kanisa limewashtaki Bodi ya Wadhamini wa CCM, Waziri wa...
  15. B

    DOKEZO Mgogoro wa Ardhi, Rushwa yawapofusha Viongozi Wilaya ya Kilombero

    Licha ya yote hayo leo tena Kambenga aendelea kunyang'anya mbegu za wakulima hadi ikatokea vurugu kubwa kijijini Katika hali isiyo ya kawaida viongozi wa wilaya ya Kilombero wamepofushwa macho na familia ya Kambenga katika mgogoro wa ardhi Namawala. Licha ya mkuu wa mkoa aliyepita Martin...
  16. Jidu La Mabambasi

    Mama Mabula kaa chonjo hapo Ardhi, kuna genge la wafanyakazi wezi na waporaji viwanja!

    Nataka kumtahadharisha mama yangu Mpendwa Mama Dk Angelina Mabula. Amekaa hapo Wizara ya Ardhi kwa muda mrefu sasa lakini hajui kuwa kuna kakundi au genge la wezi na waporaji wa viwanja. Suala linaanzia hapo kwa Msajili wa Hati. Mafaili ya viwanja yanapotezwa na kuna nyakati mafaili yanakuwa...
  17. Kalebejo

    Waziri wa Ardhi alikuwa hajui uwepo wa hati feki?

    Hivi karibu Waziri wa Ardhi Mhe.Angelina Mabula akiwa ziara arusha aligudua uwepo wa hati feki na kauli ya serikali aliitoa hapo tunapaswa kumpongeza sana lakini kwa jicho la kiuandishi wa habari mimi nahelea sana kwa kauli Nimeongea na Kada wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mwenyekiti wa Serikali ya...
  18. Lycaon pictus

    Hivi binadamu akiishi milele si maji na hewa na sehemu kubwa ya ardhi vitaisha ili kumtengeneza?

    Habarini. Ukiangalia mwili wa binadamu na wanyama utaona kuwa ni mpangilio tu wa elements ambazo zipo kwenye mazingira tunayoishi. Asilimia zaidi ya 60 ya binadamu anaundwa na Oxygen. Elements zingine zinazofuata ni Carbon, Hydrogen na Nitrogen. Zingine zilizopo kwa uchache ni sodium , potasium...
  19. BARD AI

    Tanzania imetumia Hekta Milioni 10.8 tu kati Milioni 44 za ardhi inayofaa kwa Kilimo hadi sasa

    Akizungumza na Vyombo vya Habari, Msemaji Mkuu wa Serikali amesema Tanzania ina hekta Milioni 44 za ardhi inayofaa kwa kilimo na kati yake ni hekta Milioni 10.8 ndizo zinalimwa na kuongeza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita kwa kutambua kuwa kilimo ndicho kinaajiri zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mkutano wa mjadala wa utekelezaji wa mradi wa uimarishaji ya miliki ya ardhi(land tenure improvement program)

    MKUTANO WA MJADALA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UHIMALISHAJI YA MILIKI YA ARDHI (LAND TENURE IMPROVEMENT PROGRAM) Tumefungua mkutano wa mjadala wa Utekelezaji wa Mradi wa uhimalishaji Salama ya Miliki za Ardhi yaani Land Tenure Improvement Program. Mradi huu unakwenda kupima, na kutambua Vipande...
Back
Top Bottom