Hello Tanzania!
Hayawi hayawi yamekua, kama kawaida mfupa mgumu mpe Rais Samia.
Hatimaye Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa n Dk. Samia imemaliza Mgogoro wa matumizi ya Ardhi baina ya Wananchi waliokuwa wanalima Bonde la Usangu na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.
Mgogoro huu umedumu miaka 15 bila...
Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo.
Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule.
Maji yakitulia tutaona chini Kuna nini.
Wanasema Kuna "amri kutoka juu" na wanamtaja yeye huku vijiweni baada ya...
DC Muro aongoza timu kumaliza mgogoro wa ardhi wa miaka 18 Ikungi.
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro pamoja na viongozi wa kata ya Irisya wakiongozwa na mwenyekiti wa halmashauri ya ikungi Mhe. Ali juma mwanga ambae ni diwani wa irisya wamefanikiwa kuumaliza mgogoro wa ardhi baina ya...
Samahani huwa sipendi kutafasri maana huwa napoteza maana.
---
Secret land deal that made Kenyatta first president
Fresh evidence pieced together by the Sunday Nation confirms widespread speculation that Kenya’s first president Jomo Kenyatta entered a secret pact with the British government not...
Raisi wa Tanzania alitowa msamaha wa riba kwenye kodi ya ardhi kwa watakaolipa kufikia 31 Disemba. Msamaha huu ulipigiwa debe na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi.
Ni kwa nini utekelezaji wake unalazimisha watu wajaze fomu ya maombi wa msamaha? Isingekuwa jambo jepesi kuweka utaratibu wa...
Ungana nami mhabarishaji wako ASIWAJU katika makala hii fupi inayo elezea uvamizi wa marekani katika eneo la HAWAII ulivyo acha simanzi kubwa kwa wakazi wa eneo hilo.
Makala hii imeandaliwa na kuhaririwa na BBC NEWS karibuni muungane nami mwanzo mpaka mwisho wa makala hii.
-----
Mfalme...
Ndugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale Kwa muda, tulipo taka kwenda kujenga akakataa kuwa kile kiwanja ameisha pewa na serikali ya Kijiji...
Sio neno geni kusikia mabepari.
ubepari ni mfumo wa kuongoza unaoruhusu mtu kua na mali yake binafsi.
Ni mambo mengi nchi kama ya kwetu imejikuta ikifata fomula ya kibepari japo sio kwa asilimia kubwa au kutokana na nchi yetu bado inaendelea.
Kwa nchi zilizoendelea ubepari una nafasi kubwa...
Wakenya wanaongoza kwa kununua bidhaa za Tanzania, lakini ni bidhaa ambazo hazijaongezwa uthamani, malighafi (raw material) na Kenya wanaongoza kwa kuziongeza uthamani bidhaa hizo na kwenda kuziuza Dubai, Ulaya, Marekani na zinazobaki wanazileta tena kutuuzia Watanzania, nafurahi kuwa tumekwenda...
Habari wanajf, binafsi nimekuwa na maswali mengi nikijiuliza nmeshuhudia watu wengi wanaouza maeneo baada ya kugawana aidha Mara baada ya wazazi wao kufariki huwa hawafanyi chochote.
Jamani Nani amewahi ona tofauti na Mimi kwamba mtu kauza ardhi iliyokuwa ya baba yake kajenga nyumba nzuri?
RC Makongoro Nyerere ametoa tuhuma hizo dhidi ya Gekul na kumtaja pia Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji, Babati, Abdulrahaman Kololi kwa kuwatuma wananchi kuvamia shamba la mwekezaji
Amemwagiza RPC George Katabazi kuwakamata waliovamia shamba wahojiwe hadi wawataje wanaowatuma, na kudai kuwa...
Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu leo amegusia suala la migogoro la ardhi amesema kuwa:
"Wakati wananchi wanavamia maeneo, wanasiasa hatuwaambii wananchi ukweli, tunawaangalia wakivamia na badala yake tunakuja kusimama kutetea wavamizi wa maeneo yale [..] lengo ni kupata kura huko baadaye...
Wadau hawa jamaa wanashiriki mno ktk wizi WA ardhi kwa makusudi. Mbona sisikii wakifungwa au walau wakipandishwa kizimbani?
Yaani hata akijua mahali ni open space au palishauzwa, maadam tu wamekuja watu wanataka kuuziana, anasaini, anatia mihuri anaomba 10% anasepa. Wanaogopwa? Kunani? Wengi...
Mapigano makali yanaendelea, wazalendo wa Ukraine wanazidi kusonga mbele, vitabu vya historia vitaandikwa kuwakumbuka hawa vijana namna walijitoa mhanga kukomboa ardhi yao, mito yao, mashamba yao, milima yao, bendera yao.
Tangu Mrusi alipojaribu kuparamia Kyev, vijana walijitokeza kwa kubeba...
Oktoba 26, 2022 Serikali ilitangaza uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuhusu mgogoro wa eneo linalodaiwa kuwemo katika bonde la Ihefu wilayani Mbarali.
Uamuzi huo uliotangazwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Mabula ulipokewa kwa utulivu, lakini kwa hisia tofauti.
Katika...
Ni swali hili. Niko kwenye Biashara hii muda wa miaka miwili sasa, kiwanja unaweza kununua asubuhi 4M. Jioni akaja mtu anataka umuuzie kwa 5M. Ardhi haishuki thamani.
....
Kuna hivi nauza✍️
Unatafuta kiwanja sehemu nzuri iliyojengeka, karibu, Usafiri usiosumbua na mahali palipo na huduma zote...
Uandishi sio mzuri sana
UTANGULIZI
Kwanin watu ambao ni devoted kwa Mungu inawawia ngumu sana kufanikiwa mfano kwanin waimbaji wengi wa kwaya au injili hawafanikiwi kama wasanii wanaoimba nyimbo za Dunia, kwanin ni ngumu sana kukuta tajiri na ameokoka hata kama unamafanikio kitendo Cha kusema...
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Hassan Moyo ameingilia kati mgogoro wa ardhi kati ya wakazi wa Kijiji cha Mgera Kata ya Kiwele, Wilayani Iringa na Mwenyekiti wa kijiji hicho, Lucas Mgata kwa kuzuia shughuli yoyote isifanyike katika eneo hilo hadi watakapopata ufumbuzi.
Wanakijiji hao wakiwemo wazee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.