Rais Ndiye Mkuu wa nchi, Nchi ni Ardhi na vitu vyote vilivyomo, Hakuna nchi ambayo haina Ardhi. Ibara ya 1 inazungumzia Tanzania ni nchi ya Jamhuri ya muungano, Ibara ya Pili inaelezea Eneo la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Rasilimali na Mali asili zote zimewekwa chini ya Mkuu wa Nchi.
Ardhi...
Mkuu mpya wa majeshi ya Uingeleza ameyataka majeshi yake kujiandaa kuingia vitani katika ardhi ya Urusi
Ametoa ujumbe huo tarehe 16 Juni kwa wanajeshi wa vyeo na ngazi zote na kusema uvamizi wa Urusi kwa Ukrain unaashiria kuwa "kunahaja ya kuilinda UK na kuwa tayari kupigana na kushinda vita...
Kwa heshima na taadhima pokea barua yangu nikikutumia kwa nia njema na katika kutekeleza wajibu wangu kama mwananchi na mwanazuoni kwa mujibu wa Ibara 26 ya Katiba “kuhakikisha hifadhi ya Katiba na sheria za nchi.”
Awali ya yote nakutakia maisha marefu yenye afya njema na furaha tele ili...
Kama katiba ingelikuwa nzuri. Wa-Loliondo wasingeondoka kwenye ardhi ya mababu zao. Zuio la kimahakama lingewekwa na rais angeburuzwa mahakamani.
Lakn katiba yetu inamlinda rais kuhojiwa na kushitakiwa na chombo chochote kwa kosa lolote atakalolitenda akiwa anatekeleza kazi zake za urais...
Kwa wakazi wa Dar ambao wanahitaji huduma zinazohusu ardhi au ushauri kuhusiana na maswala ya ardhi/majengo msisite kunitafuta.
Ninatoa huduma zifuatazo:
- Kufatilia zoezi la utoaji wa hatimiliki mpaka inapotoka.
- Kufanya uthamini (Valuation), hii ni kwa wale wanaotaka kuhamisha umiliki wa...
Tetemeko hatari sana limefanya uharibifu na kusababisha vifo vingi hadi Taliban wameomba msaada.
=============
At least 920 people have been killed and 600 injured after an earthquake struck eastern Afghanistan early on Wednesday, authorities said.
The 6.1 magnitude quake hit in Paktika...
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.1, kwa kipimo cha richa, limetikisa maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo na kudaiwa kusababisha vifo 130 nchini humo, mamlaka ya kudhibiti majanga nchini humo zimesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka
Inaelezwa kuwa, tetemeko hilo lilipiga takriban kilomita 44...
Chimbuko la migogoro ya ardhi iwe ni wafugaji kwa wakulima, iwe ni wananchi na wawekezaji kama maneo yenye madini au iwe ni maeneo ya mijini kama nilivyosikia kinondoni nyumba 400 zinabomolewa au iwe ni ngorongoro
Chimbuko la migogoro hii ni wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi.
Kwa...
Wakuu Salam!
Moja kwa moja kwenye mada! Hivi karibuni akiwa ziarani katika moja ya mikoa ya kanda ya ziwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alizitaka mamlaka za kodi kuacha kudai kodi za kuanzia miaka miwili (2) nyuma, huku akibainisha wazi kuwa kitendo cha kodi hizo kulimbikizwa ni uzembe wa...
Inashangaza sana hili kundi la CCM ina wenyewe wao kazi yao tu ni kupigaga madili tu kuanzia Epa, Escrow Kagoda na wizi wa mali za CCM
Kumbe Kagasheki ndio alihusika na kuingia dili ili eneo la Loliondo lipunguzwe kwa manufaa ya mwarabu.
👇🏿
Mwananchi › kitaifa
CCM wamgeuka Waziri Kagasheki...
Katika miezi ya karibuni mahakama za ardhi kwa kushirikiana na maafisa ardhi wa miji na majiji wamekuwa wakifungua kesi kwa wamiliki wa majengo na viwanja.
Kinachofanyika ni ofisi za ardhi kutengeneza madai ya miaka mingi nyuma ambayo wao hawajarekodi kwenye mifumo mipya ya wizara.
Mteja...
Kama mtakumbuka huyu jamaa alikuwa ndie mkuu wa maliasiri na wanyama pori miaka ya 1990 akafanya uhuni na kuhirikiana na Mzee Mwinyi wakamuuzia ardhi mwarabu
👇
Wengi huamini kuwa kutawanya uwekezaji uhusisha kuwekeza mitaji fedha kwenye aina tofauti tofauti za bidhaa au huduma. Lakini hii sio kweli. Ni rahisi kutawanya uwekezaji kwenye hisa kwa sababu bei za hisa ni nafuu ukilinganisha na bei za ardhi na majengo.
Kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo...
MOSHI!! MOSHI!!! MOSHI!!
Shamba Heka 6 kwaajili ya kilimo na makaziLinauzwaa Moshi,
Location; Newland, nyuma ya mashamba ya TPC
Shamba ni heka 6 liko sehemu moja, kuna nyumba ya room 3 za wafanyakazi, mabanda kwa ajili ya mifugo, jiko na choo, liko flat kabisa na limezungushiwa uzio mzuri wa...
TAKUKURU Mkoa wa Mara imepokea Malalamiko 139 ndani ya miezi mitatu (Januari - Machi 2022), na Idara zilizolalamikiwa zaidi ni pamoja na TAMISEMI (58), Mahakama (15), Elimu (14), Ardhi (13) na Afya (12)
Katika Malalamiko hayo, 106 yalihusu Vitendo vya Rushwa na mengine 33 hayakuhusiana na...
Waliokalia hii wizara moyo wa nchi wako wapi hatuwaoni wakihangaika na migogoro iliyosheheni wizara hii bali tunaanza kuona rejuvination ya viongozi wakiandamana na wale watu waliojitokeza awamu ya nne na kujitwalia maeneo makubwa makubwa bila kujali wanyonge waganga njaa.
Kwa awamu ya sita...
Akichangia bajeti ya Wizara ya Ardhi Bungeni leo Mei 26, Dkt Joseph Kizito amesema “sehemu kubwa ya migogoro katika maeneo yetu inachangiwa na taasisi zingine za serikali, inapotokea mwananchi ana matumizi na ardhi na Serikali kupitia idara zake wanaihitaji hiyo ardhi, wizara ya ardhi isimame...
Leo nilikuwa natazama Aljazeera wakaonyesha documentary ya historia ambapo wakimbizi wa kipoland waliokuwa wanakimbia utawala wa kisoviet baada ya kulazimishwa kuaachs maeneo yao na kufanya kazi kwa kulazimishwa kuhamishwa na kusambazwa katika nchi 6 afrika na serikali ya Mwingereza.
Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.