Na. Mwandishi wetu, Dar
Kamishina Msaidizi wa ardhi kanda ya Dar es Salaam Bw. Idrisa Kayera amesema serikali imesisitza kuwa lengo kuu la umilikishaji hati miliki za ardhi litafanya kila kitu kuwa na uhakika wa usalama wa umiliki wa ardhi na hivyo kuwainua wananchi kiuchumi Kwa kuwa hati...
Habari zenu mabibi na mabwana. Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza, Nahitaji ardhi yenye rutuba hata kama ina mapori.
Ikiwa na channel ya umwagiliaji au kua karibu na mto ntashukuru zaidi. Napendelea maeneo ya bushi kidogo kwani sina ela ya kupgana vikumbo na matari mijini. Nahitaji kwa...
Nimeshiriki mazishi kadhaa katika sehemu mbalimbali za Jiji la Dsm, na kujionea jambo ambalo hakuna mamlaka inayolizungumzia wala kulitafutia ufumbuzi wa kudumu.
Jambo nililoliona kuwa na changamoto kubwa ni ufinyu wa maeneo ya kuzika wapendwa wetu, nilichosikitishwa nacho zaidi ni pale baadhi...
Enzi za magufuli alitoa ardhi kwa wanaomiliki ardhi katika shamba tajwa. Aliosema kuwa hata eka 5 wapewe bure.
Leo hii Mkurugenzi wa Muheza anawatoza wananchi kulipia ardhi kinyume na tamko la Maguuli. Kuna dhuluma kubwa, tunaomba uingilie kati.
CHONGOLO AZIBANA WIZARA MBILI UPIMAJI WA ARDHI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo ameitaka Wizara ya TAMISEMI na Wizara ya Ardhi kuweka malengo kwa kila Mkurugenzi, Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanayatambua maeneo yote na kuyawekea programu ya kila mwaka...
Siku za hivi karibuni hasa kuanzia serikali ya awamu ya tano mpaka sasa, wananchi wameacha kuamini mifumo rasmi ya utoaji haki badala yake wanaamini viongozi wa kisiasa mfano wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri na watendaji katika vyama vya siasa katika kudai haki hasa ile inayojikita katika...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewatembelea na kuongea nao Wananchi wa maeneo ya Visiwa vya Unguja kuhusu namna watakavyoshirikiana katika kutatua migogoro ya ardhi baina yao na vikosi vya Jeshi.
Akiwa kisiwani humo, Stergomena alipata fursa ya...
Naam hili halina ubishi.
Morogoro kumekuwa na migogoro mingi sana ya ARDHI ambapo chanzo ni matapeli kuuza maeneo ya watu.
Matapeli wa Morogoro wanatamba Wanavyotaka na wanatapeli pesa nyingi sana kupitia kuuza maeneo ya watu, wamekuwa na kiburi Kwa vile mgao wanapeleka Kwa wakubwa wa polisi...
RIDHIWANI ASISITIZA WIZARA YA ARDHI INAFANYA KAZI KUBWA YA KUPIMA NA KUPANGA ARDHI KWA MATUMIZI BORA, HATI 8 ZAKABIDHIWA TANGANYIKA.
Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi.
Salamu za Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb)- Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Wananchi wa Kijiji cha...
Wanajamvi naombeni msaada wenu wa kisheria katika hili.
Iko hivi nina mdogo wangu wa hiari (tumekutana kazini sina vinasaba nae) mnamo mwezi wa nne alisimamishwa kazi.
Hivyo kutokana na majukumu ya kifamilia akaamua ajiingize kwenye biashara ya kununua mahindi na kuuza.
Changamoto ikawa...
RIDHIWANI: SERIKALI YA RAIS SAMIA ITAENDELEA KUPIMA ARDHI ILI KUPAMBANA NA MIGOGORO YA ARDHI.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kupima Ardhi kila sehemu Nchi nzima ili kupambana na migogoro ya...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (RC), Anthony Mtaka ametoa siku saba kwa wakazi wa Msalato waliojiorodhesha kudai fidia ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato kwa njia ya udanganyifu kufika ofisi za Serikali ya Mtaa kuondoa majina hayo kwa hiari.
Mtaka ametoa agizo hilo Ijumaa Julai 22, 2022 wakati...
Salama wandugu,
Nimemsikiliza leo Makala sijamuelewa kabisa,yeye anadai anapambana na wavamizi ardhi, hivi ardhi inakaa tu idle ina vichaka haziendelezwi halafu wananchi wasivamie lazima wavamie na wapo sahihi kwa sababu watu wa nchi hii ni selfish sana wao.
Wanaona kumiliki ardhi kubwa ndio...
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete (Mb), amekabidhi hati nne za milki ya ardhi kwa hospitali ya Kibong’oto mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mpango wakati wa uzinduzi wa maabara ya jamii hospitalini hapo. Mpango wa matumizi ya...
Habari ya wakati huu wakuu.
Nimewiwa kushare hili suala ambalo kwa hapo awali nilipokutana nalo nilijua hutokea kwa bahati mbaya hadi hapo wiki iliyopita nilipojua vinginevyo.
Huu ni utapeli wa kuibiwa kwa kutumia sheria yaani unaibiwa wakati wewe ukiamini kuwa umenusurika kuibiwa😂😂😂 na...
Hivi karibuni Waziri wa Ardhi alimshambulia aliyewahi kuwa Mkurugenzi Manispaa ya Dodoma, sasa ni mbunge, kwamba amesababisha migogoro ya ardhi Dodoma, Mbunge huyo aliomba muongozo wa spika, na spika alimuona Waziri alikosea.
Nadhani Waziri hakufurahi, hivi majuzi huko Mwanza, kaenda kutaja...
Ramani za miji kwa maeneo yaliyopimwa ni public document.
Migogoro mingi ya ardhi inakuwepo kutokana na double allocation. ( Ardhi moja kuuziwa kwa watu wawili).
Itungwe sheria itayopelekea ramani za maeneo yaliyopimwa na ambayo bado kuwa online na kuwa access upon payment of a certain fee...
European Union member Lithuania will allow sanctioned Russian goods to transit its territory on their way to Russia's Kaliningrad exclave, its Foreign Ministry said on Wednesday, reversing its policy after new European Commission guidelines.
The new guidelines on Wednesday followed weeks of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.