Musa Solela Ngasa (40), mkazi wa Kijiji cha Nhobola, Kata ya Talaga, Wilaya ya Kishapu, Mkoani Shinyanga, amenusurika kifo baada ya kupigwa ubavuni na kitu chenye ncha kali kinachodhaniwa kuwa mshale.
Akizungumza na vyombo vya habari, mhanga huyo amesema tukio hilo limetokea Januari 2025...