arusha

  1. Arusha: Jeshi la Uokoji (Zimamoto) lashindwa kumuokooa kijana kisimani hatimaye kufariki

    Jeshi la Uokoaji (Zimamoto) Mkoani Arusha, limeshindwa kumuokoa kijana aliyeshindwa kutoka kisimani hali iliyopelekea afie ndani ya kisima hicho. Baada ya Jeshi la Uokozi kushindwa kumtoa kijana huyo, ndipo akatafutwa kijana amabye alilipwa kiasi cha Shilingi Laki Tatu na kufanikiwa kutoa mwili...
  2. L

    DC Mstaafu Sabaya ashiriki mazishi Ya Esther Mahawe Mkoani Arusha

    Ndugu zangu Watanzania, Leo ilikuwa ni siku ya Majonzi na huzuni kubwa sana kwa wana Mbozi na Mkoa mzima wa Songwe.Ambapo ilikuwa ni siku ambayo Aliye kuwa DC wa Mbozi Mheshimiwa Esther Mahawe alikuwa anapumzishwa katika Nyumba yake ya Milele Mkoani Arusha. Ambapo katika Mazishi hayo viongozi...
  3. R

    Pre GE2025 Kauli ya Lema kutogombea ubunge Arusha mjini ni Mbinu tu ya kisiasa!

    Hellow! Matokeo ya Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA ndio yataamua ikiwa atagombea au HATOGOMBEA. NB: Mto wenye kina kirefu mara nyingi maji yake Kwa juu Huwa yametulia, lakini Kwa ndani! Muda ni mwalimu. Tusubiri.
  4. Nauza Nissan Dualis nzuri sana Arusha

    GARI INAUZWA TSH 13,500,000/= TU Car name : Nissan Dualis Year 2007 CC 1990 / 6 GEAR COLOR SILVER NB , Full android TV 10 inches + Subwoofer, Sunroof , 2W + 4wheel Price Tsh 13,500,000/= Location : Arusha. 0764313877 (CALLS/ TEXTS/WHATSAPP) KARIBUNI SANA. ZINGATIA MKOA ARUSHA
  5. Ndugu wang'ang'ania mwili wa marehemu waliyemtenga akiwa hai, wananchi wasema wataamua wao azikwe wapi

    Hali ya taharuki na vurugu vimeibuka katika Mtaa wa Elkiroa Kata ya lemara Mkoani Arusha baada ya Wananchi kuweka kambi katika Familia ya Kijana Elibarik Tarimo kwa siku tatu baada ya kudaiwa kuwa Ndugu wamegoma Kijana huyo asizikwe katika eneo alilokuwa akiishi baada ya kutelekezwa na kulala...
  6. Shangwe la CHADEMA Arusha wakifurahia ushindi wa Deogratius Mahinyila kama Mwenyekiti MPYA wa BAVICHA Taifa

    Shangwe la WanaCHADEMA kutoka soko kuu Arusha wakifurahia ushindi wa Wakili Deogratius Mahinyila kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa. Soma: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) CHADEMA Taifa 2025 Wanachama hao katika wakisherehekea ushindi...
  7. M

    DOKEZO Kuna Mama anauza gongo na bangi wazi kata ya Moshono mtaa wa Mtoni, karibu na chuo cha uhasibu Arusha. OCD Arusha Mjini tusaidie

    Habari wana JamiiForums. Kuna mama mmoja anaishi kaya ya MOSHONO mtaa wa MTONI,KARIBU na chuo Cha Uhasibu anauza gongo na bangi nyumbani kwake wazi wazi kama vile ana leseni.Pale kwake ni maarifu kama Kigamboni. Vijana wote wa mtaani pamoja na wanafunzi wa chuo cha Uhasibu wameharibika Kwa...
  8. Pre GE2025 Diwani Arusha: Mbunge Mrisho Gambo ni matatizo tunayotembea nayo, hafai

    Diwani wa kata ya Themi Labora Mkoani Arusha kwa tiketi ya CCM Ampiga Spana Mbunge Mrisho Gambo, amuomba msamaha Rc Paul Makonda
  9. Kumbe safari ya Arusha Mpaka Kenya (Nairobi) ni masaa matatu mpaka nne, Basi Haichoshi kabisa,naweza enda na kurudi chap kulitumikia taifa langu

    The total driving distance from Arusha, Tanzania to Nairobi, Kenya is 170 miles or 274 kilometers.(TravelMath Calculator). The driving distance from Nairobi (NBO) to Arusha (ARK) is 160 miles / 257 kilometers, and travel time by car is about 3 hours 14 minutes. (Air Miles calculator) Trippy
  10. Arusha Mbioni Kufanywa kuwa Kitovu cha Utalii wa matibabu Ukanda wa Afrika Mashariki

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Jenista Mhagama, wamekubaliana kukutana Dodoma Makao Makuu ya Wizara hiyo, kufanya mazungumzo ya pamoja ya kupanga utekelezaji wa ndoto na Maono ya Mhe. Makonda ya kuufanya Mkoa wa Arusha kuwa Kitovu cha...
  11. D

    Kwa mahitaji ya nyumba au apartment za kupanga au kununua kwa Dar es salaam na Arusha

    KAMA UKO DAR AU ARUSHA UNAUHITAJI WA NYUMBA AU APARTMENT YA KUPANGA AU KUNUNUA TUPIGIE 0772959929
  12. I

    Wauzaji na Wasambazaji Korosho tunapatikana Arusha

    You can grab it for your family and friends. Baked cashew 23,000@1 No cooking oil or salt. Fresh raw cashews 23000@1 Roasted cashew 25,000@1kg (Salt or any spicy like pepper) Whole almond 30000@1 Free Delivery Service (Arusha city centre only) HOTELS, LODGE AND RESTAURANTS/CAFE CAN RELY...
  13. HAYA FURSA NYINGINE HII HAPA YA KUTEMBELEA CHEMKA HOT SPRING KWA WAKAZI WA MOSHI NA ARUSHA HII INWAHUSU

    Habari za kila mmoja humu, leo nawaletea mchingo mwingine huu hapa wa kwenda kutembelea paradiso ya maji moto ya chemka iliyopo wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro. Hapa huoendwa kutembelewa na watu wengi zaidi hasa wanachuo hivyo tunakuletea fursa hii mezani ili uweze kutembelea paradiso ya maji...
  14. Pre GE2025 Ulega katika kikao kizito na Makonda na Mrisho Gambo, akituliza hali baada ya kurushiana maneno

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, (kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika jana mjini Arusha. Haijafahamika watatu hao walikuwa wanazungumza nini lakini lugha ya picha inaonyesha...
  15. Pre GE2025 Makonda aikacha Kigamboni kugombea Arusha mjini

    Habari zikufikie kwamba Paul Makonda amebadili gia angani sasa sio Kigamboni tena bali Arusha. Makonda hawezi kugombea willaya aliyozaliwa maana kwenye kampeni itamletea shida, wapinzani wake wakifukua makaburi kumleta mwenye jina lake. Kila anachikifanya Makonda pale Arusha ni maandaluzi ya...
  16. B

    Pre GE2025 Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu wa kijinga, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini-Olemringaringa amemtaka Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo kuwa anahudhuria vikao mbalimbali vya maendeleo ndani ya...
  17. Natafuta kazi au part time job Arusha

    Habari zenu,heri ya mwaka mpya wapendwa. Mimi ni mdada mwenye degree ya accounting na nina uzoefu kwa zaidi ya 5 years.Niko vizuri sana kwenye tax compliance zote za TRA na za serikali kama NSSF,WCF, Service levy,etc. Pamoja na hayo yote,niko detail oriented na pia nina uzoefu wa accounting...
  18. Pre GE2025 Arusha: Wananchi wakasirika wamvaa Mbunge Gambo mkutanoni "Unatuangusha, sisi tunakufa"

    Wakuu Wananchi wakasirika wamvaa Mbunge wao Mrisho Gambo mkutanoni "Unatuangusha, sisi tunakufa"
  19. Mjomba wangu ni taxi driver Arusha lakini anatongozwa sana na wanawake wazuri, ninamuonea wivu nifanyeje!?

    Heri ya mwaka wanajf Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina mjomba wangu mmoja yuko kwenye 50's+ lakini kwenye maisha yake wanawake hawajawahi kumpa shida...
  20. S

    Wema unaofanya ukiwa Arusha kamwe hautafunika uovu uliofanya ukiwa Dar es Salaam!

    Huyu bwana ni wazi anasumbuliwa sana na uovu aliofanya Dar es Salaam, ambao ulitia ndani kuteka na kuua watu. Sasa hili linamchanganya sana kiakili, na huenda anapata ndoto na maono yanayomvuruga kichwa kutokana na damu alizomwaga moja kwa moja au kuratibu mipango ya damu hizo kumwaga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…