arusha

  1. Nelson Kileo

    KERO Utaratibu wa gharama za parking ni mbovu sana kwa Arusha

    Inakuaje mtu hupatiwi ticket ? wanapita na machine kwenye magari wanakatisha parking lakini hawaweki karatasi kumjulisha mwenye gari kua amekatiwa Parking. Hii inasabaabisha madeni makubwa ambayo kiuhalisia mtu alikua hajui kama anadaiwa. Inasababisha Usumbufu mkubwa sana.
  2. L'AMOUR

    cashier (preferably a lady living in Arusha)

    Wakuu habari, Anahitajika cashier wa duka lililoko Arusha. Upendeleo maalumu ni kwa binti wa kitanzania aishie Arusha aliye mwaminifu kwenye masuala ya pesa na kuhudumia wateja pamoja na uzoefu wa angalau miaka mitano (5 na kuendelea). Mshahara ni kati ya Tsh. 200,000 hadi Tsh.250,000...
  3. jingalao

    Hongera R.C Makonda Arusha imesheherekea Mwaka mpya bila vurugu

    Mojawapo ya jukumu la Mkuu wa Mkoa ni kuhakikisha Amani na utulivu unatamalaki. Mkoa wa Arusha uliwahi kusifika kwa uhalifu na hususani uhalifu nyakati za sikukuu na nyakati za usiku. Kwa mara ya kwanza katika historia tumejionea Watu wenye haiba mchanganyiko,dini mbalimbali ,vipato...
  4. M

    RC makonda akinukisha Arusha, shamrashamra za new year 2025 za fana.

    Happy new year 2025 wadau wote wa JF. Kama mlivyosikia, sherehe za kupokea mwaka mpya kitaifa zimefanyika Arusha. Wakati dar Mwamposa akivukisha watu na chao, na kule Mwanza wakiomba kutoka viwanja vya Nyamagana. Arusha imekuwa ni habar nyingine kabisa. Vibe la kufa mtu. Mitaa inayoingia...
  5. Akotia

    House4Rent Looking for a 1-Bedroom Furnished place in Arusha City Center

    Hi everyone, I’ll be moving to Arusha from Dar es Salaam for work in the coffee industry and will need a place to stay for two months. I’m looking for a 1-bedroom furnished house that meets the following criteria: Located in or near Arusha city center for convenience. Has parking...
  6. Upekuzi101

    Paul Makonda: Polisi ukiona gari jipya piga saluti. Simamisheni mengine yanayoleta Pollution

    Pamoja na polisi kuwa mnafanya kazi yenu vizuri ila Kuna wakati mnasumbua sana hasa mkiona magari mapya, na lengo la usumbufu wenu ni kuombaomba ela. Nadhani kwa Arusha inabidi mtupumzishe kidogo tuendeshe magari yetu kwa raha.
  7. Yoda

    Churchill Show ya Arusha jana ni comedy duni sana kuwahi kuiona. Hakuna comedy nzuri bila maudhui magumu ya siasa

    Nimeangalia Churchill Show iliyoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Arusha, itoshe kusema comedy ya Tanzania ni mbovu sana, maudhui ni duni mno, unaona wazi watu wanatumia nguvu kubwa sana kucheka na kufurahia. Ambacho waswahili wanapaswa kufahamu ni kwamba chanzo na kushamiri kwa tasnia ya comedy...
  8. Swahili_Patriot

    Churchill show live in Arusha

    Nadhani kuanzia saa tatu usiku hadi saa nane usiku(nafikiria), katika channel ya clouds TV, crown na sinema zetu umekuwa na kipindi cha stand up comedy kinachoitwa Churchill show. Kipindi kina endelea live kwenye ukumbi wa AICC AREANA ARUSHA, hosted by RC Paul Makonda. Aisee hiki kipindi...
  9. Waufukweni

    Gerson Msigwa: Ujenzi wa Uwanja wa AFCON Arusha wafikia zaidi ya 16%

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 unaendelea vizuri licha ya mvua kubwa zinazonyesha na sasa umefikia 16% za...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 Rais Samia atoa milioni 10 kwa Bodaboda Arusha

    Rais Dkt. Samia Suluhu ametoa Shilingi milioni 10 kwa Chama cha Waendesha Bodaboda Wilaya ya Arusha ili kusaidia kukamilisha utaratibu wa kuanzisha Chama cha Ushirika cha waendesha bodaboda hao. Aidha, Rais ametoa pikipiki mbili zitakazotumiwa na viongozi wa chama hicho kwa ngazi ya wilaya na...
  11. L

    Huduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
  12. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Arusha: Mama Fatma Karume amtembelea RC Makonda, aongoza dua nzito kumuombea kheri

    Heh! Mama Fatma kafunga safari kutoka Zanzibar hadi Arusha kumpongeza tu au kuna ujumbe mwingine kampelekea? Mama Fatma Karume amefika Mkoani Arusha mapema Jumamosi ya Disemba 21, 2024 na kuongoza Dua maalumu ya kumuombea Kheri, afya njema na mafanikio zaidi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda akionesha...
  13. Mgeni wa Jiji

    Tetesi: WADUDU ni hatari: Chukua tahadhari unapokuja mapumziko maeneo ya Moshi na Arusha

    Habari Wakuu wa JF, Niende moja kwa moja kwenye mada. Hii itaweza kuwa msaada kwa ndugu zetu wanaopanga kuja likizo ya sikukuu za mwisho wa mwaka maeneo ya Arusha na Moshi. Kuna mambo kadhaa ni muhimu kuweza kuyajua hasa kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri (magari) na wale wanaopendelea kwenda...
  14. Nehemia Kilave

    RC Makonda atangaza rasmi ratiba ya kufunga na kufungua Mwaka Arusha

    Habari JF ,Arusha kumenoga , kuanzia tar 28/12/2024 kutakuwa Churchill show kutakuwa na mtaa wa Bia na zitauzwa kwa bei rahisi , kutakuwa na mtaa wa Nyama Choma . Tar 31 ni mkesha mkubwa . Hakika mkoa wa Arusha unatangazwa vilivyo .
  15. chiembe

    Lemma anajua uchaguzi unafanyika leo Arusha, na anatakiwa akabidhi ofisi, kwa nini amekimbilia Canada bila kukabidhi ofisi? Ana chuki na aliyeshinda?

    Ilitarajiwa Lemma akabidhi ofisi ndio aondoke kwenda Canada kwenye ukimbizi wake. Haijulikani atakaa huko kwa miaka mingapi. Lakini hajakabidhi ofisi kwa Mwenyekiti mpya wa Kanda ya Kaskazini. Kaondoka na fedha kiasi gani za Kanda hiyo? au kaondoka na nyaraka kiasi gani za fedha na mambo...
  16. Waufukweni

    Pre GE2025 Mrisho Gambo asaidia Bodaboda Arusha kwa kiasi cha Milioni 1.2 kuboresha Usalama na Utalii

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amewakabidhi Bodaboda wa Jiji la Arusha kiasi cha Shilingi 1,200,000 kwa ajili ya kutengeneza mfumo wa kuwezesha kusajili Bodaboda za Jiji la Arusha na kuwezesha upatikanaji wa taarifa za uhakika kwa ajili ya usalama na utalii. Akizungumza mara baada ya...
  17. Suip

    Wakala wa mabati ALAF Arusha anapatikana wapi Arusha Mjini?

    Kwa wakazi wa Arusha napenda kufahamu wakala wa mabati ya ALAF anapatikana wapi Arusha mjini na je wanauza mabati kwa urefu ninaohitaji au zimeshakatwa katika urefu wa mita tatu? Naomba kufahamishwa.
  18. Cute Wife

    Pre GE2025 Mwamposa, NSSF na Leopard Tour watoa pikipiki 60 kwa Jeshi la Polisi kuimarisha ulinzi Arusha

    Wakuu, Mdogo mdogo tuna swore allegiance na Bashite ili akiukwaa tusisumbuliwe kwenye mambo yetu! === Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise and shine (Inuka Uangaze),Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF pamoja na Mfanyabiashara na Mmiliki wa Kampuni ya Utalii ya Leopard Tour wametoa...
  19. Abby The Rider

    Wakatisha Ticket za Treni TRC kwenda Moshi Arusha, Muache kutengeneza Mazingira ya kupokea Rushwa.

    Wakuu Kwema Hii nchi tunakoelekea Sasa hivi hali sio nzuri kwa watumishi wetu wa uma. Kila mtu Kwenye nafasi yake anafanya anachojisikia. Bora nchi iuzwe tugawane Nimefika kituo Cha Treni, kukata ticket kwenda Moshi safari ya ijumaa, ticket zimeanza kukatwa saa2 Cha Ajabu saa2 hiyo hiyo...
  20. Poppy Hatonn

    Wanachadema 50 Arusha wahamia CCM

    Hii imetokea leo Kaloleni,Arusha ambapo Hawa vijana wa Chadema wamepokewa na viongozi wa CCM. Wamesema Mbowe ni kiongozi feki,na Lissu ni kiongozi feki na Godbless Lema ni kiongozi feki ambaye kazi yake ni kukaa tu Daressalaam na kuisahau Arusha. Wamesema hawa viongozi wa Chadema kazi yao ni...
Back
Top Bottom