Aliyekuwa mgombea wa uenyekiti wa mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni jijini Arusha
kwa tiketi ya chadema ndugu Damiani amepotea na hajulikani aliko hadi sasa.
Siku chache kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa gari za polisi zilionekana zikizunguka mara kadhaa katika mitaa anayoishi.
Hata...
Mvua kubwa iliyonyesha jana jijini Arusha iliyoambatana na upepo mkali imeezua nyumba zaidi ya kumi katika mtaa wa mashariki na kuacha familia kadhaa bila makazi.
Kutokana na upepo kuwa mkali zilipeperusha mbali bati hizo na hazikupatikana hata moja hakuna majeruhi wala vifo.
UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA WAFIKIA 11%
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amesema anaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 ambao hadi sasa umefikia 11% za ujenzi.
Msigwa...
Katika pita pita zangu mikoa mbali mbali hapa Tanzania, ARUSHA wamejitofautisha sana na mikoa mingine mingi hapa nchini kwa sbb hotel au lodge ya kawaida tu wana service ya Wifi kitu ambacho huwezi kukipata mikoa mingine hapa nchini.
Kwa hili Arusha niwape maua yenu, Mikoa mingine igeni basi...
Hivi karibuni mwanasiasa wa upinzani Kiiza Byesigye alitekwa nchini Kenya na akasafirishwa mpela mpela mpaka Uganda.
Viongozi wa nchi hizo sasa wako Arusha kwa shughuli za jumuiya.
Nani atahoji viongozi hao kuhusu utekaji vs mkataba wa jumuiya pamoja na haki za binadamu?
Pasco anaweza, kwa...
29 November 2024
Makao makuu ya EAC
Arusha, Tanzania
Rais Yoweri Kaguta Museveni asema mbali ya kuadhimisha miaka 25 ya kufufuliwa EAC hapo mwaka 1999
https://m.youtube.com/watch?v=V3Uim1f150s
Tunapoadhimisha miaka 25 ya EAC iliyofufuliwa, nilipendekeza katika hotuba yangu leo kwamba pia...
Leo nimeenda kutibiwa Selian hospital Arusha, kilicho nishangaza ni kwamba kwanza ni kama NHIF hawana dawa za kutosha pale, nimeambiwa Paracetamol na Bluefen kati ya dawa za maumivu et nikanunue duka la dawa nje ya hospitali.
Sasa najiuliza Bima haina dawa hizo 2 za maumivu je zimeisha ghafla...
Kongamano la miaka 25 ya Jumuiya ya Africa Mashariki linaanza Leo jijini Arusha chini ya mwenyekiti wake Rais wa Sudan Kusini
Wanaharakati wa Kimataifa wako Arusha kuhoji kiongozi wa Upinzani wa Uganda alitekwaje Nchini Kenya
Pili wanaharakati wanahoji kwanini Marais Kagame na Museveni...
Wakuu,
Leo, katika tarafa ya King'ori, wilaya ya Arumeru, viongozi wapya wa serikali za mitaa wameapishwa rasmi. Sherehe hiyo iliongozwa na hakimu wa mahakama ya eneo hilo, ambapo wateule walikula kiapo cha uaminifu na kuahidi kutumikia Serikali ya Muungano wa Tanzania na wananchi kwa bidii na...
Wakuu,
Katika kipindi hiki ambacho matokeo yanaendelea kutangazwa, mengine mapya yanaibuka.
Aliyekuwa mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) mshindi wa Uchaguzi katika mtaa wa Kijenge Kusini, kata ya Kimandolu, jijini Arusha, Shaaban Suleiman Mzava, ameeleza malalamiko yake juu ya mawakala wa...
Lema alidai CHADEMA watashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa na kuahidi kupambana. Pamoja na sisi wanachama kudai ya kwamba CHADEMA isishiriki huo uchaguzi lakini bado Viongozi hao akiwemo Lema walikazana CHADEMA ishiriki pamoja na rafu zote zile.
Cha kushangaza Jana tarehe 27 Novemba siku ya...
Arusha ya leo ni safi, wanaarusha wote wana furaha, maji ya kumwaga, huduma za afya mwake mwake, mashule ndiyo usiseme, environmental quality and standards safi, bado machache tu Arusha iwe ya kitofauti kabisa!, nathubutu kusema katika kipindi cha miaka sita ijayo chini ya rais wetu, Dr. SSH, na...
Wakuu,
Hii ni Arusha wananchi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waandamana kupinga matokeo wakidai haki yao jana usiku baada ya matokeo kutangazwa.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
Chama cha @actwazalendo_official kimeshinda uenyekiti wa kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha, kwa kura 528 dhidi ya kura 418 za CCM, zilizotokana na uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024.
Soma Pia: Yanayojiri kuelekea...
Rais Samia amewapongeza wakazi wa Mkoa wa Arusha wakiwemo Viongozi wa dini na wadau wa Utalii kwa kuendelea kutunza Amani na utulivu, suala ambalo limechangia Ongezeko kubwa la idadi ya watalii pamoja na mikutano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa.
Rais Samia ametoa pongezi hizo leo Jumatano...
Taasisi ya Aunty Rich Soso Pembe Foundation imefanya ziara kwenye Jiji la Arusha kwa lengo la kumuunga mkono Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maendeleo makubwa anayoyafanya hasa kupitia Royal Tour.
Ziara hiyo...
ARUSHA: UMATI wa wananchi bado uko kwenye foleni ndefu katika kituo cha kupiga kura cha Polling Station kilichopo katika kijiji cha Manyire kata ya Mringarini wilayani Arumeru mkoani Arusha.
Mmoja wa wananchi wa kijiji hicho aliyejitambulisha kwa jina la Alex Kimaro amesema kwa hali ilivyo...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Mkoani Arusha Simon Ngilisho amesema kuwa zoezi Upigaji kura limeanza vizuri lakini bado kuna changamoto kubwa ya utafutaji majina
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha zoezi la upigaji kura Mwenyekiti huyo amesema kuwa majina ya...
Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024.
TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu.
Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha...
arusha
kuchagua
kuchagua viongozi
kuhusu
kupiga
kupiga kura
kura
maoni
maoni ya wananchi
mitaa
serikali
serikali za mitaa
viongozi
viongozi wa serikali
wananchi
zoezi
Wakati wananchi wakijitokeza kupiga kura katika maeneo mbalimbali kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, baadhi ya shughuli ikiwemo wafanyabiashara kufunga maduka yao, kupisha upigaji kura unaoendelea kote nchini.
Sehemu mbalimbali za biashara ikiwemo maduka mengi kuchelewa kufunguliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.