asilimia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Championship

    Asilimia tisini ya silaha za nuclear za Urusi zimesha-expire

    Japokuwa urusi inasema kwamba wanazo nuclear warhead 6257, nyingi zilishapitwa na wakati. Silaha za nuclear zinaishi kwa miaka 45 (plutonium) na 85 (tritium). Za urusi zilizotengenezwa na USSR miaka ya 1960s mpaka 1990s zimeshakufa maana zilikuwa plutonium. Ikumbukwe kwamba urusi hakuwa na...
  2. M

    Wabunge nao walipwe pension kwa kikokotoo cha asilimia 33%. Kama Rais Samia unaona hicho ndio kinachofaa, basi kifae kwa wote!

    Kuna mambo mengine huwa yanakera sana!! Kama Rais Samia anaamini kwa dhati IMANI ya CCM kuwa binadamu wote ni sawa na kuwa kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake, inakuwaje akaona kuwa watumishi wengine wanastahili mafao kwa kikokotoo cha asilimia 33% wakati wabunge...
  3. L

    Mapato ya chai ya Kenya yaongezeka kwa asilimia 10 katika robo ya kwanza ya mwaka huu

    Bodi ya Chai ya Kenya jana ilitangaza kuwa ingawa mapambano kati ya Russia na Ukraine yameathiri shughuli za uchukuzi, lakini mapato ya chai ya Kenya inayouzwa nje yameongezeka kwa asilimia 10.4 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 ikilinganishwa na mwaka jana kutokana na ongezeko la bei duniani...
  4. L

    Idadi ya watalii wa Kenya yavuka asilimia 85 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022

    Kulingana na takwimu mpya za kiuchumi kutoka Ofisi ya Takwimu ya Kitaifa ya Kenya (KNBS), idadi ya watalii waliofika Kenya imevuka asilimia 85 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 huku hali ikirejea kama kawaida katika sekta hiyo baada ya kukatizwa na COVID-19. Takwimu hizo zinaonesha kuwa Kenya...
  5. M

    Na hili la asilimia 33% mafao uzeeni badala ya asilimia 25% (kwa iliyokuwa PPF na NSSF) na badala ya asilimia 50% (kwa iliyokuwa PSPF na LAPF)

    Hapa imetumika chenga ya mwili!! Kwenye taarifa moja kutolewa habari ya ongezeko la mishahara kwa asilimia 23.3 kwa kima cha chini na habari ya kupandisha mafao ya uzeeni huko PSSSF toka asilimia 25% iliyokuwa imekataliwa na waliokuwa wanachama wa PSPF na LAPF (waliokuwa wakipata asilimia 50%)...
  6. The Sunk Cost Fallacy

    Uganda: Utafiti wabaini Asilimia 58.9% ya Waganda hawajali wanavyotumia pesa, Tanzania itakuwa ni asilimia ngapi?

    Moja kwa moja kwenye mada.. Inaelekea licha ya watu kutafuta pesa kwa jasho na mateso mengi lakini hawajali kabisa matumizi ya pesa zenyewe.. Uganda inaweza kuwa mfano na kuwakilisha matumizi yasiyowajibika kwa jamii kubwa ya watu wa Africa. Si ajabu 93% ya watu Wana accounts zenye less than...
  7. ACT Wazalendo

    Dkt Nasra: Asilimia 85 ya Watanzania Hawana Bima ya Afya

    OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA. HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA AFYA DR. NASRA OMAR – ACT WAZALENDO KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23. Utangulizi: Leo tarehe 16 Mei 2022, Waziri wa Afya Mh Ummy Ali Mwalimu (Mb.), amewasilisha Bungeni...
  8. Mwande na Mndewa

    Ongezeko la 23.3% ni kwa watumishi wote au asilimia inashuka mshahara unavyopanda?

    ONGEZEKO LA 23.3% NI KWA WATUMISHI WOTE AU ASILIMIA INASHUKA MSHAHARA UNAVYOPANDA!? Leo 12:15 hrs 15/05/2023 Tangazo la kuongeza mshahara la Zanzibar,Kenya na Uganda vs tangazo la kuongeza mshahara Tanzania bara "Tanganyika" kuna maana mbili tofauti,Zanzibar,Kenya na Uganda wametangaza...
  9. D

    Kiukweli asilimia ya mshahara kupanda haikutakiwa kutangazwa ili kudhibiti mfumuko wa bei

    Nchi yetu ya Tanzani, mifumo ya kudhibiti mfumuko wa Bei Bado hauko vizuri, ukilinganisha na nchi zingine. Kutangazwa Kwa wastan wa kupanda Kwa mishahara kutaendana na mfumuko wa Bei za vitu kuanzia mwez Julai, kutokana na iman Kuwa wafanyakaz Kwa Sasa wana hela. Nakumbuka kipindi Cha Mzee wa...
  10. F

    Tanzania haina Mapato ya kubeba ongezeko la Mishahara yote kwa asilimia 23.3%

    Ukisoma vizuri kitabu cha WHY NATIONS FAIL ( The Origins of Power,Prosperity & Poverty) cha DARON ACEMOGLU na JAMES A.ROBINSON utajua kwa uhakika ni kwa nini Tanzania yetu ni masikini hivi na itachukua muda mrefu kubadili hali hii. Kwa ufupi ni kwamba tunacho kila kitu kinachohitajika kwa ajili...
  11. Kijakazi

    Jinsi ya kukokotoa Ongezeko la Asilimia Mshahara!

    Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango...
  12. John Haramba

    Daktari: Mimba zinapoharibika, Asilimia 80 vyanzo vya kuharibika huwa havijulikani (sababu zinazotajwa huwa ni 20% tu)

    Tatizo la ujauzito kuharibika limekuwa likitokea kwa wingi miaka ya hivi karibuni hasa katika nchi zinazoendelea na zile zinazoendelea, utafiti wa kitaalamu ni kuwa asilimia 80 ya mimba zinazoharibika huwa hazijulikani sababu ya kuharibika kwake. Hivyo, zile sababu ambazo huwa zinatolewa na...
  13. sky soldier

    Mafuta kwa Zanzibar bei nafuu, mishahara yapandishwa kwa asilimia 15. Zanzibar ni kama mkoa?

    Hali ndivyo ilivyo hapo.. Wana raisi wao na huku pia ni lazima (sio ombi) aidha awepo raisi au makamu wa raisi wa Zanzibar mwenye kitambulisho cha uraia wa Zenji. Achana na bei za mafuta kwa zanzibar kuwa 2600 huku kwetu yakiwa 3,300. Hii ya ongezeko la mihahara kwa asilimia 15.6 bado zanzibar...
  14. Tony254

    Mwaka wa 2021 Uchumi wa Kenya ulikuwa kwa asilimia 7.5

    Uchumi wa Kenya ulikuwa kwa 7.5% mwaka wa 2021. Hii ni asilimia kubwa sana ya ukuaji wa uchumi katika East and Central Afrika na ni mojawapo ya asilimia kubwa ya ukuaji wa uchumi duniani katika mwaka wa 2021. ========= Economy grows fastest in 11 years on easing Covid curbs THURSDAY MAY 05 2022...
  15. BabaMorgan

    Kuna hekima kubwa yenye mantiki juu ya asilimia kubwa ya vijana kukosa pesa za ziada

    Ni vyema vijana tukashukuru mfumo wa maisha uliopo ambao sio rafiki kwa sisi vijana kumiliki pesa nyingi katika umri mdogo. Kama tunavyojua ujana una mambo mengi na pesa ni lugha ya dunia combination ya vitu hivi viwili yaani pesa na ujana matokeo yake kwa vijana wachache yaweza kuwa mazuri ila...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Huyu Dada amewakilisha wanawake Asilimia 99

    Wakuu! Bila kupoteza muda
  17. JanguKamaJangu

    Utafiti: Asilimia 10 ya Watanzania wana Kisukari

    Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga, Dk. Omary Ubuguyu amebainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, zaidi ya milioni 5.7 (takribani asilimia 10) wanusumbuliwa na ugonjwa wa Kisukari. Aliyasema hayo jijini Dodoma katika uzinduzi wa mpango wa kuzuia ulemavu wa kutoona unaoweza kusababishwa na...
  18. JanguKamaJangu

    Utafiti Tanzania: Mimba milioni moja zisizotarajiwa utungwa kwa mwaka, 39% huharibiwa

    Licha ya sheria kukataza utoaji mimba, vitendo hivyo hufanyika na mara nyingi kwa njia zisizo salama. Pamoja na kwamba takwimu zinaonesha tatizo la vifo vya uzazi linapungua, bado kuna baadhi ya mambo yanachangia liendelee kuwepo ikiwemo suala la utoaji mimba usio salama ambao unachangia tatizo...
  19. chiembe

    Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  20. babu M

    Elon Musk ofa kuinunua Twitter kwa asilimia 100 kwa dola bilioni 41. 39

    Elon Musk ametoa ofa ya kuinunua kampuni ya Twitter kwa dola 54.20 kwa kila hisa. Hii ni ongezeko la asilimia 38 tangu tarehe 1st April Twitter alipotangaza amenunua asilimia 9. Elon mwanzoni mwa wiki hii alikataa maombi ya kujiunga na bodi ya Twitter. Wataalamu alitafsiri kukataa kwa ilo ombi...
Back
Top Bottom