asilimia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mfumuko wa bei kwa sasa imefikia asilimia ngapi

    Kwa siku za karibuni kila kitu kimepanda ukianzia vyakula, vifaa vya ujenzi, mafuta n.k. Nawauliza Ofisi ya Takwimu kwa sasa mfumuko wa bei bado ni single digit au double digit?
  2. MK254

    Treni Nairobi-Kisumu yafufuliwa baada ya miaka 15, abiria wakata tiketi kwa mpigo na kufikisha asilimia 90%

    After a 15-year break, the Nairobi-Kisumu passenger train service resumed Friday on a high, with over 90 percent of seats booked by Thursday. Queues were still long at the Nairobi Railways Central Station Thursday evening as families heading to the village for festivities booked tickets. “The...
  3. U

    Kwanini asilimia 98 ya watanzania wanaojua Kingereza wanaongea Broken!! Tumerogwa au

    Kuna shida Gani, Sasa hivi suala la kuongea Kingereza limezidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kusogea, Sasa hivi yani watanzania wengi Wana elimu ya form four au six , Ila wengi hawajui Kingereza, na hao wachache wanaojitahidi au tumasema wanakijua asilimia kubwa zaidi ya 98 ukiwasikiliza...
  4. Twilumba

    Makalla: Asilimia 99.99 ya Malalamiko yaliyotolewa hawahusu utendaji wa Polisi

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema asilimia 99.99 ya malalamiko yaliyowasilishwa kwake katika kipindi cha kusikiliza kero za wananchi jijini Dar es Salaam siku chache zilizopita hayakuwataja Polisi kama watu wanaosababisha kero jijini Dar es Sallam na hivyo kumshukuru Afande IGP...
  5. Ngungenge

    Rais Samia kushinda uchaguzi ujao kwa Asilimia 86% kihalali Uchaguzi ujao 2025

    Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu. Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi...
  6. Memento

    Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

    Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua. Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee Eti watu waanze kupanga kazi zao
  7. M

    Rais Samia awapa shavu Wazanzibar: Ajira asilimia 21 za Muungano kuwa za Wazanzibar

    Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira Hongera mama, Charity begins at home. Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la? Hebu tazama 1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania...
  8. Equation x

    Wadada wenye maumbo mazuri kwa asilimia kubwa wakikutana na mwanaume huhisi kutongozwa tu

    Kuna siku nilitembelea benki fulani, kwa ajili ya kupata utaratibu wa kupata mkopo kwa ajili ya biashara yangu. Kwa bahati nzuri nilipokelewa na mdada, ni mzuri na anashepu ya kuvutia, nyuma amejaziwa kweli. Akanihudumia, na akanipatia namba yake kwa ajili ya kufuatilia. Cha ajabu, nilipokuwa...
  9. B

    Mradi wa maji chalinze umekamilika asilimia 98

    CHALINZE Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amekagua na kuridhika kuruhusu maji yaanze kutumiwa na wananchi katika maeneo ya Chalinze ambapo miundombinu imekamilika. Hizi ni habari njema kwa wananchi wa Chalinze ambao kwa muda mrefu wanahangaika na shida ya maji. Kwa upande wa Mbunge wa Jimbo...
  10. buffalo44

    Nahitaji Chumba Single Sinza, Magomeni Kanisani, Kawe, Mbezi au Goba

    Hello wakuu. Nipo natafuta chumba single. Kuanza life baada ya chuo. Naomba mwenye nyumba yoyote aliye maeneo hayo anisaidie room single Bajeti yangu ni 60k - 80k kwa mwezi. Dalali niseme hela yako inaniwia ngumu. Ikiwa 50% nipo tayari. Msaada wenu.
  11. F

    Kwa asilimia kubwa sana dunia inaendeshwa na mawazo ya kike

    Kama dunia imekwama mahali fulani au imefanikiwa sana basi yote hayo mawili yamesababishwa na mwanamke. Wanaume wote kabisa kwa 90% ni wanawake kwa mawazo yao (ambayo ndiyo yanayotengeneza tabia zao na mifumo ya maisha yao), pia wanaishi mfumo ambao siyo dume bali jike (feminism) kasoro...
  12. sky soldier

    Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

    Kwanza nitoe pongezi kwa serikali iliyosikia kilio cha vijana kwa kutoa ajira zaidi ya elf 1 TRA. Kama mnavyojua, Kwenye ajira wazanzibar hupewa asilimia 21, kwa hio katika hizi nafasi 1,097 ni sawa na wazanzibari 230 tu, 230 hao bado ni wachache kulingana na idadi kubwa ya vijana wanaomaliza...
  13. Teleskopu

    Ongezeko la vifo kwa asilimia 5,427

    Huku akitumia data za: CDC (Centre for Disease Control) FDA (Food and Drug Administration) na VAERS (Vaccine Adverse Events Reporting System), Dr Jessica Rose amewasilisha uchambuzi wake unaobainisha ongezeko KUBWA la vifo kwa asilimia zaidi ya 5,000 😲:oops: kwa kipindi cha chini ya miaka hii...
  14. polokwane

    NMB hiyo tozo ya serikali mliyotuma SMS mnakata kwenye account zetu ni kiasi gani, asilimia ngapi?

    Kuna sms inatumwa na NMB kuwa wanakata tozo ya serikali kuanzia September 8 hadi Oktoba 10 ya miamala cha ajabu hawasemi wanakata Tsh ngapi au asilimia ngapi sasa kupitia hili watu wasije ibiwa pesa zao bank kwa kigezo tozo maana sasa tozo zimezidi. Mliotumiwa SMS kama hii na mna ufahamu na...
  15. W

    Tumeambiwa Shilingi Trilioni 1 itajenga Madarasa, ni vema tozo ipunguzwe

    Serikali yetu inajikanganya sana. Tuliambiwa lengo la tozo ni kujenga madarasa nchi nzima. Kwenye hotuba ya Rais wetu mpendwa, akasema kunakifedha kakipata mahala. Cha ajabu serikali inakuja na mpango wa kujenga madarasa kila jimbo kwa fedha ya mkopo wa corona! Imenishangaza sana! Hivi kweli...
  16. M

    #COVID19 Hadi 07/10/2021 wananchi wa Marekani waliochanja ni 65%. Lakini maambukizi mapya ni 102,000 na vifo kwa jana ni 1,709!

    Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna...
  17. Lycaon pictus

    Gharama za vifurushi zimepanda kwa asilimia 100

    Hili suala kwakweli limekuwa baya sana. Kadri siku zinavyosonga, maisha ya watu yanazidi kutegemea mtandao. Na kwa kawaida teknolojia inavyozidi kukua ndivyo bei inapozidi kushuka. Sasa inakuwaje hawa jamaa wanaongeza bei kwa asilimia 100. Kwa Tsh 1000 nilikuwa napata GB 1 ya tigo. Sasa napata...
  18. M

    #COVID19 BBC: Watanzania waliopata chanjo ya COVID-19 ni asilimia 0.6 tu!

    Kwa mujibu wa habari hii iliyo katika tovuti ya BBC, Watanzania waliochanjwa ni asilimia 0.6 tu ya watu wote. Kujua asilimia za waliochanjwa katika nchi mbalimbali, bonyeza nchi husika kwenye ramani iliyo kwenye taarifa hii na utapata matokeo. https://www.bbc.com/news/world-56237778
  19. Superbug

    Asilimia kubwa ya sisi members wa jamiiforum tuna stress za maisha

    Kubali ukatae asilimia 90 ya sisi members wa jf ni stressed people hebu ona. Magret thinkers tunapoangukia ilinujue tuko stressed. 1. Wengi tuna kazi Bora. (Kazi huleta stress) 2.wengi tuna pesa.(pesa huleta stress) 3.Wengi tuna ndoa (ndoa huleta stress) 4. Wengi tuna chepuka.(kuchepuka huleta...
  20. MK254

    Mapato ya SGR yazidi kupaa, yaongezeka zaidi kwa asilimia %

    Ngoma inazidi kunoga.... Revenue generated from the standard gauge railway (SGR) rose 25 percent in the seven months to July, driven by increased imports. Latest data from the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) shows that revenues rose to Sh9.08 billion from Sh7.2 billion in similar...
Back
Top Bottom