asilimia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Asilimia 90 ya ngano inatoka nje, kwahiyo tunakulaga chapati za Urusi, wananunua wanapaki wanatuuzia

    Hivi Tanzania hatuwezi kulima ngano, maana tunanunua ngano nyingi sana nje, hizo feza zingebakia hapa. Ardhi ipo ya kutosha ni. Serikali tu kuweka mipango na kuwawezesha watu. Hizi pesa anazotumia bakharesa kununua ngano Urusi zingerudi kwa watanzania na nchi ingepiga hatua, nimeona watanzania...
  2. Lady Whistledown

    Ummy Mwalimu: 1.4% ya Watanzania bado wanajisaidia vichakani

    Waziri wa afya amesema kuwa idadi ya Watanzania wanaojisaidia vichakani imepungua kutoka asilimia 5.7 hadi 14 Desemba 2021. Ameyasema hayo leo Jumatatu, Aprili 11, 2022 wakati akitaja mafanikio yaliyopatikana kupitia kampeni ya Nyumba ni Choo kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka mitano ya...
  3. T

    Jumanne Kishimba: Asilimia 90 ya wataalam wetu wanajua kusoma na kuandika ila hawana maarifa

    Akichangia bungeni leo mbunge huyo wa kahama ameshangazwa na namna wataalamu wetu wanaacha mambo ya kuwasaidia wananchi na kuiga mambo na kufanya kwa kufuata mkumbo badala ya kutumia akili zao kufikiri namna ya kuwarahisishia maisha wananchi. Ametoa mfano wa baadhi ya mambo yanayofanywa bila...
  4. K

    Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  5. Erythrocyte

    TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS . Bila shaka sasa kuna haja ya kufuata matakwa ya wengi.
  6. Analogia Malenga

    Uchumi wa dunia unatarajiwa kupungua kwa asilimia 2.6 kutokana na vita vya Ukraine

    Wachumi wa Umoja wa mataifa wanaonya kwamba matarajio ya ukuaji wa uchumi mwaka huu yanafifia kwa haraka kutokana na athari mbaya za vita nchini Ukraine. Shirika la biashara na maendeleo la Umoja wa mataifa(UNCTAD) limeshusha sana makadirio ya awali yenye matumaini ya ukuaji wa uchumi wa dunia...
  7. samwel phanuel

    Kwanini 90% hawafaidi hatua ya ujana?

    Ujana : nihatua ya ukuaji anayoipitia mtu baada ya kumaliza hatua ya utoto ili kuelekea utuuzima na uzeeni na hii hatua hutakiwa kuwa Makini na mtulivu wa fikra pamoja na akili nyingi kuliko hatua nyingine yoyote, na hii ndio hatua pekee ya utambulisho halisi wa mtu kifikra, kiutendaji na hata...
  8. Roving Journalist

    #COVID19 Serikali: Waliopata chanjo ya UVIKO-19 Tanzania ni asilimia 9.81

    Kauli za Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akipokea chanjo aina ya Sinovac dozi milioni moja kutoka Serikali ya Uturuki, leo Machi 23, 2022. "Kwa niaba ya Serikali chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaishukuru Serikali ya Uturuki kwa kupokea ufadhili...
  9. John Haramba

    Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

    MBOWE ANAZUNGUMZA MAAZIMIO YA CHADEMA, ASEMA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA Sehemu ya nukuu za Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Machi 18, 2022: "Leo nazungumza na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza baada ya miezi saba na nusu ya kuwa...
  10. John Haramba

    Asilimia 70 wauguzi Hospitali ya Amana ni wanawake

    Madaktari Bingwa 30 hutoa huduma katika Hospitali ya Rufaa Amana Wilayani Ilala. Hayo yalisemwa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa Amana, Dkt.Bryson Kiwelu katika madhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambapo alishiriki siku hiyo na Watumishi wake Wanawake. Dkt.Bryson Kiwelu alisema...
  11. Nyendo

    Dkt. Jabir Bakari: Asilimia 27 pekee ya Watanzania ndio wanamiliki Simu janja (Smartphone)

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabir Bakari amesema hadi takwimu za mwezi January mwaka huu ni Asilimia 27 pekee ya Watanzania ndio wanamiliki Simu janja (Smartphone) na kusema malengo ya Serikali ni kuhakikisha Watumiaji wa Smartphone wanafikia 100%, Dr. Jabir...
  12. MK254

    Urusi imehusisha asilimia 75% ya jeshi lake lote kwenye huu ugomvi, na bado shughuli ipo

    Ama kwa kweli Urusi amedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kwamba ahusishe asilimia 75% ya jeshi lake lote na kuacha nyumbani asilimia ndogo ilinde nchi, yote hii kupambana na kataifa kadogo kama Ukraine, na mpaka sasa wiki imeisha hajafaulu kukafagia......kwamba hata akifaulu kuteka Kiev leo hii...
  13. L

    Uuzaji wa bidhaa za photovoltaic za China nje ya nchi wapanda kwa asilimia 60 mwaka 2021

    China imeshuhudia uuzaji mwingi wa bidhaa zake za photovoltaic (PV) nje ya nchi mwaka jana wakati dunia inaongeza juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda na TEHAMA, mwaka 2021 uuzaji nje wa bidhaa za PV za China ulipita dola za kimarekani bilioni 28.4...
  14. Analogia Malenga

    Zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wanatumia tiba asili kujitibu

    KAIMU Mkurugenzi wa huduma za tiba Wizara ya Afya Dk. Caroline Damiani, amesema, zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wanatumia tiba asili kwa ajili ya kujitibu magonjwa mbalimbali kabla ya kwenda katika vituo vya kutolea huduma za afya au baada ya kupata huduma katika vituo vya kutolea huduma za...
  15. John Haramba

    Asilimia 97 ya historia ya binadamu haijulikani, hii iliyopo sasa ni 3% tu

    Maisha ya binadamu ya sasa hivi tuliopo inaelezwa kuwa historia yetu ilianza miaka 200,000 iliyopita, lakini hakukuwa na rekodi halisi zilizowekwa kwa kuwa rekodi za nini kilifanyika na kwa kiwango gani zimeanzia miaka 6,000 iliyopita. Hivyo kwa mujibu wa baadhi ya wanahistoria ni kuwa hiyo...
  16. luangalila

    Asilimia kubwa ya wanawake siku hizi wana hips na wowowo za kutisha, inasababishwa na nini?

    Kwa utafiti tu kutazama ktk pirika pirika na mihangaiko ya hapa na pale hapa jijini Dar es Salaam. Katika maeneo tofauti tofauti kwenye mkusanyiko mfano katika vituo vya mwendokasi, ferry Kigamboni, nimegundua wanawake wa siku hizi wengi sanaaa wana hips za kuvutia, rangi za ngozi wengi ni...
  17. The Sunk Cost Fallacy

    Baada ya TRA kuvuka malengo, Halmashauri nazo zavuka malengo ya Makusanyo ya Mapato ya ndani kwa asilimia 107%

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Akitoa taarifa ya Makusanyo na matumizi kwa Halmashauri kwa kipindi cha nusu mwaka(July- December 2021/2022,Waziri wa Tamisemi Innocent Bashungwa amesema Halmashauri zimevuka malengo ya Makusanyo Kwa kukusanya sh.Bilioni 470 sawa na asilimia 107% ya lengo. Aidha...
  18. Lager

    Hakuna freewill ya asilimia mia

    Tangu tumekuwa katika hii sayari tumekuwa tukifikiri Kuna hichi kitu "Freewill!". Ukweli mchungu ni huu,mazingira hayajatupa hiyo nafasi yakuwa na uhuru wa maamuzi ktk kila kitu ama kwa asilimia mia!. Unayo nafasi ya kupumua ila hauna nafasi ya kupumua milele yote!,unayo nafasi ya kufa ila...
  19. babu M

    Rostam Aziz anunua asilimia 31.5 ya Williason Diamonds (Mwadui)

    Caspian Limited imefikia makubaliano na Kampuni ya South Africa Petra Diamonds ya kununua asilimia 31.5 ya hisa za Williamson Diamonds Limited(WDL) kwa thamani ya dola za Kimarekani million 15. Caspian Limited ambaye ni technical services contractor wa WDL wamefikia makubaliano mwishoni mwa...
  20. S

    Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

    Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu! Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama...
Back
Top Bottom