Tangu tumekuwa katika hii sayari tumekuwa tukifikiri Kuna hichi kitu "Freewill!".
Ukweli mchungu ni huu,mazingira hayajatupa hiyo nafasi yakuwa na uhuru wa maamuzi ktk kila kitu ama kwa asilimia mia!.
Unayo nafasi ya kupumua ila hauna nafasi ya kupumua milele yote!,unayo nafasi ya kufa ila...