askari

An askari (from Somali, Swahili and Arabic عسكري ʿaskarī, meaning soldier, or military) was a local soldier serving in the armies of the European colonial powers in Africa, particularly in the African Great Lakes, Northeast Africa and Central Africa. The word is used in this sense in English, as well as in German, Italian, Urdu and Portuguese. In French, the word is used only in reference to native troops outside the French colonial empire. The designation is still in occasional use today to informally describe police, gendarmerie and security guards.During the period of the European colonial empires in Africa, locally recruited soldiers designated as askaris were employed by the Italian, British, Portuguese, German and Belgian colonial armies. They played a crucial role in the conquest of the various colonial possessions, and subsequently served as garrison and internal security forces. During both World Wars, askari units also served outside their colonies of origin, in various parts of Africa, the Middle East and Asia. In South Africa the term refers to former members of the liberation movements who defected to the Apartheid government security forces.

View More On Wikipedia.org
  1. Captain 22175

    Songwe: Askari waliovuka mpaka kuingia Malawi kinyume cha sheria wafukuzwa kazi

    Septemba 15 askari Polisi wa Tanzania waliingia Malawi kinyume cha sheria wakimfukuza bodaboda waliyedhani amebeba biashara ya magendo ambapo walipoingia Malawi walipigwa mawe na wamalawi na kuokolewa na Polisi wa Malawi Askari 7 wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamefukuzwa...
  2. Analogia Malenga

    Askari waliopambana na Hamza wapewa zawadi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ametoa zawadi ikiwemo fedha na vyeti kwa maaskari polisi walioshiriki katika tukio la kupambana na Hamza aliyezua taharuki karibu na zilipo ofisi za ubalozi wa Ufaransa Dar es Salaam Agosti 25 mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 20...
  3. K

    Kwa Askari kujaa ndani ya mahakama kuzuia raia kukai haiwezi ukawa mtego wa wao kusababisha taaruki wapate sababu yakusema raia wamefanya fujo?

    Katika zama hizi tunapaswa kuwa makini Sana na ila za movu shetani kupitia akili za wanadamu wenye madaraka. Mahakama ya mafisadi katika kesi ya Mbowe na wenzake naona kuna Askari wamewahi ndani kukaa raia wasipate nafasi za kukaa, wanaulizwa wanadai Wana haki yakusikiliza kesi na raia...
  4. Pununkila

    Arusha: Askari SUMA JKT wakamatwa kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia askari watatu wa Suma JKT kwa tuhuma za kumtesa hadi kumuua mkazi wa eneo la Ngaramtoni wilayani Arumeru, Almasi Mohamed wakimtuhumu kwa wizi wa mahindi. Kamanda wa Polisi Mkoa Arusha, Jastine Maseju akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Septemba 7...
  5. kavulata

    Ni kosa kubwa sana kwa askari kunyang'anywa silaha yake

    Nilipitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka mmoja miaka hiyo. Baada ya kumaliza ukuruta (pass out) tulipatiwa uwezo wa kulinda vituo mbalimbali kwa kutumia silaha za moto. Onyo kali tulilopewa ni kuhusu ubaya wa askari kunyang'anywa au kupoteza silaha yake, kofia, buti au chochote...
  6. Suley2019

    Mbagala, Dar es Salaam: Mahabusu wadaiwa kumpiga askari na kutokomea kusikojulikana

    Mahabusu waliokuwa wanashikiliwa kwenye Kituo cha Polisi cha Maturubai, kilichopo Mbagala wilayani Temeke wametoroka baada ya kumpiga askari kisha kuvunja lango la chumba cha mahabusu na kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa moja usiku, jijini Dar es Salaam...
  7. P

    Rais Hakainde Hichilema amuapisha askari aliyemtendea wema akiwa gerezani kuwa naibu kamishna wa Magereza

    Njia ya Mungu ni fumbo RAIS HAKAINDE HICHILEMA AMUAPISHA ASKARI ALIYEMTENDEA WEMA AKIWA GEREZANI KUWA NAIBU KAMISHNA WA MAGEREZA. KUNA SOMO LA KUJIFUNZA Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ameteua Bwana Kuyomba Bwalya kuwa Naibu Kamishna Jenerali wa magereza "Zambia Correction Service"...
  8. BAK

    Handeni, Tanga: Polisi wadaiwa kushika nyeti za wanawake kwa nguvu bila ridhaa

    Jeshi la Polisi Handeni linalalamikiwa kushika Nyeti za wanawake Wilayani Handeni mkoani Tanga kwa nguvu bila ridhaa ya wanawake hao.
  9. F

    Wizara ya Maliasili Mtatoa lini Ajira kwa vijana Askari Wahifadhi?

    Wasalaam ,kwa Wanajukwaa wote imekuwa ni kipindi kirefu tangu vijana waajiriwe tangu mwaka 2018 ,sasa Tunawaomba Sana mhe waziri Atuangalie vijana tuohitimu mafunzo tangu mwaka 2020 hatujaajiriwa tangu tuhitimu na ukizingatia kuna takribani hifadhi mpya NNE zilianzishwa na bado hazina watumishi...
  10. master09

    Askari wanavizia bajaji Morocco Bus Stand kwenda Posta

    Habarini, Leo asubuhi foleni imekuwa kubwa sana barabara ya Ali Hassani Mwinyi. Hivyo basi, abiria wengi wanatumia bajaji au pikipiki cha ajabu askari wanawakamata boda na bajaji kisa wametanua. Bajaji wangu nimemkingia kifua kwamba hakuna kosa kutumia njia mbadala inaruhusiwa pale panapokuwa...
  11. C

    Nimetafakari sana juu ya uwezo wa Askari Polisi

    Majuzi lilipotokea tukio la kutupiana risasi baina ya vijana wetu wa jeshi la polisi na bwana Hamza vimenifanya nifikirie saana juu ya uwezo wa polisi katika kulenga shabaha! Hamza alikuwa sehemu ya wazi! Lakini zilitumika risasi nyingi saana na polisi kumshambulia hamza. Mwishowe tulisikia...
  12. rushanju

    Askari kuvaa kiraia huku wakiwa mamebeba silaha si sahihi

    Wakati wa shambulio la Bw. Hamza, tumeona watu wengine kwenye eneo la tukio wakidhani Hamza ni Askari. Hii imekuwa kawaida kuwavalisha Askari wetu nguo za kawaida harafu mnawapa bunduki. Inasemekana mmoja wa Askari alijeruhiwa na Askari wenzie maana alikwa na bunduki bila ya sare. Juzi...
  13. Mystery

    Jeshi la Polisi kujipa jukumu la kuchunguza mauaji ya askari, ni sawaswa na kesi ya nyani kumpa ngedere

    Jeshi la Polisi nchini limejipa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyotokea kwenye daraja la selander, ambapo mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, aliwafyatulia risasi askari watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA na kuwaua wote na askari wengine kadhaa kujeruhiwa na hatimaye yeye mwenyewe...
  14. Mtu Asiyejulikana

    Video: Ni Askari hawa mnaotaka tuwaonee huruma?

    Hawa wanaofanya hivi kwa Raia? Inaumiza sana. Watanzania wameshachoka sana na haya mambo. Mimi nawaambia tunakoenda ni kubaya sana.
  15. S

    Nimehesabu, Polisi walimpiga Hamza risasi 19 baada ya kuwa ameanguka chini na sio tishio tena kwa usalama

    Nimeangalia video juu ya tukio la huyu mtu anaetuhumiwa kuua askari, na kuangalia kilichotokea. Baada ya kuwa amemaliza risazi katika SMG ya pili aliyokuwa nayo na kunyoosha mikono juu, polisi walimpiga risasi ambayo ilimfanya aanguke chini. Hakukuwa na haja tena kuendelea kumpiga risasi mtu...
  16. 100 others

    Baadhi ya askari hawana nia njema, wanawatesa wananchi na kudhulumu mali zao

    Kuna kijana mtaani kwangu alikuwa anatoka kazini usiku, amepanda boda anaelekea nyumbani, ikatokea gari kwa nyuma na kuanza kumfuatilia, jamaa kafika nyumbani na kuingia ndani, sekunde chache tu akasikia mlango ukigongwa kwa nguvu na sauti za kibabe "fungua!!!, fungua!!!". Jamaa akahoji nyie...
  17. Narumu kwetu

    Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

    Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.
  18. Mchochezi

    Askari waliomsindikza Mbowe mahakamani

    Kwa mbwembwe tu, askari wetu wako vizuri!
  19. Poppy Hatonn

    Jambo gani litatokea kesho? Kanisa la Ufufuo litazungukwa na askari?

    Hili ni jambo dogo lakini linanihangaisha sana ninapolifikiria. Askofu Gwajima anahatarisha afya ya Watanzania kwa kukataa chanjo na kuwashajiisha watu wasichanje. Lakini jambo gani litatokea? Askofu Gwajima anashusha hadhi ya Bunge. Hiyo ni kiashiria ya Askofu kufukuzwa ubunge? Askofu huyu ni...
Back
Top Bottom