kusema ukweli Askofu Gwajima amekua na tabia ya kuzikana kauli zake anazozungumza, hii inanipa shida sana kuamini kama hiki anachokisimamia leo hatakikana,
hebu tufuatilie kidogo hizi clips fupi fupi sana
hapa askofu alizungumza wazi wazi mbele ya waumini wake na kutuhumu dini za watu lakini...
Ni wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti kiti wa CCM na jopo la wataalamu katika masuala ya chanjo ya Covid 19.
Inavyoonekana Askofu...
Kwa muda mrefu sasa Askofu Gwama ametangaza wazi wazi kwamba hataki kuchanja chanjo ya Corona, ninamuelewa kwani ni haki yake binafsi kukataa, maana chanjo ni hiari. Mahali ambapo simuelewi ni pale anapofanya kampeni ya makusudi, ya waziwazi, tena kwa kutumia lugha kali sana kuwashawishi na...
Askofu Josephat Gwajima ameandika hivi punde kwenye ukurasa wake wa Facebook kwamba kabla hujaongea kuhusu mimi lazima utafakari sana kwanza.
Familia zangu zipo nne ambazo ni:-
Familia ya Ufufuo na Uzima
Familia ya Waislamu
Familia ya Watanzania
Na familia ya wasionipenda (Assigned to sharpen...
Gwajima ameendelea kujibu mashambulizi yanayoelekezwa kwake na amesisitiza kuwa yeye si aina ya watu wanaobadilika badilika akisema hivi leo ni hivyo hivyo mpaka anakufa na amesisitiza kuwa kuna hoja nyingi kuhusu chanjo ambazo alizitoa hadi leo hajaona majibu yake zaidi ya kuona uzushi wa yeye...
KABLA Joseph Kibweteere, kushawishi mamia ya wafuasi wa kanisa lake kuamini dunia ilikuwa mwishoni, kisha kusababisha vifo vya watu 778, Uganda, dunia ilishakuwa na madhehebu ya Heaven's Gate (Geti la Mbinguni).
Heaven’s Gate ni kanisa lililoasisiwa mwaka 1972 na watu wawili, wa kwanza ni...
Askofu Gwajima alitoa hoja nzito na anaendelea kutoa hoja nzito.
Akina Kigwangala na wenzake wanakuja na hoja nyepesi. Wengine wanakuja na hoja za kitoto eti Gwajima afukuzwe oh! Auliwe. Ni upuuzi.
1. Hoja ya kwanza kwanini chanjo zingine hazina fomu ya kujaza. Lakini chanjo ya korona unajaza...
Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa.
Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na...
Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake.
Sasa Rais Samia kaingia, Askofu kapoteza...
Hana shida na Ubunge amechoka nao au haoni kama ni big deal hivyo anaongea anachokiamini bila woga/shaka.
Si mnafiki anazungumza anachokiamini. Mtu wa namna hii ni mzuri akipata wasaa wa kuamini jambo lenye faida kwa Taifa. Hayumbishwi. Tunapaswa kuwa na watu wa namna hii
Huyu ni mtu wa system...
Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona.
Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu...
Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi na wananchi wanaohimiza watu kuchanjwa chanjo dhidi ya Covid19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo kwa sababu ya kile alichokiita chanjo hizo kuwa na madhara kwa binadamu na hazizuii maambukizi ya Corona
---
Nahisi...
Wanabodi
Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri.
Kwenye visions za trends readings zangu, zinanionyesha "Mbunge Wangu wa Kawe, Baba Askofu, Mheshimiwa sana, Dr. Josephat Gwajima" akichanjwa...
ASKOFU MWAMALANGA ATUMA UJUMBE MZITO KUHUSU FREEMAN MBOWE!
"Mpendwa Askofu Mwamakula, nakutumia ujumbe huo ninataka usomwe na watu wote!
Kukamatwa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe na kubambikiwa Kesi ya Ugaidi ni kitendo cha kulibandika kinyesi Taifa la Tanzania mbele ya mataifa. Kwetu sote...
PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
askofuaskofu gwajima
daraja
gwajima
habari
kwanza
mambo
mamlaka
mbunge
miradi
miti
mlimba
morogoro
msingi
nchi
picha
tanzania
tarura
ujenzi
uvccm
wataalam
Kama ambavyo tumekuwa tukiimba kwa katiba bora yetu ya Chama kuliko vyama vyote nchini na Afrika,ni wazi kabisa kua Askofu Gwajima ameleta sintofahamu kubwa sana nchini huku akijua kitendo kile kilikua ni cha uchochezi wa makusudi na alidhamiria.
Mwanachama mzima wa CCM huwezi kusimama...
Ana maadui wengi kuliko marafiki. Upande wa CCM na Wapinzani. Alishaharibu kote.
Mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja ya watu ambao wanaonesha kuwa waliathiriwa sana na Gwajima hasa jimboni Kawe. Mpaka leo amebaki kuwa na chuki si Pascal yule kabla ya kubadilika na kuwa mwanasisi emu njaa.
Mimi...
Utangulizi- Nawaomba Mods msihamishe uzi huu.
Mchungaji Josephat Gwajima asimamia maeneo mawili katika hoja yake.
Kwanza, kilichomo kwenye chanjo na pili chanjo dhidi ya wanajeshi na walinda usalama wa nchi.
La kwanza kuhusu kilichomo kwenye chanjo au (content).
Mchungaji Gwajima anadai ni...
Dodoma. Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19.
Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi ameyasema hayo leo Jumanne Julai 28 2021 mara baada kumalizika kwa...
Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii
1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi
7. Leo Askofu anatangaza dua...