Haya madaraja ya ATCL safari za ndani yana tofauti gani? TWiga Basic, Twiga Gain, Twiga Comfort, Twiga Business. Inakuwaje ndege moja inakuwa na madaraja mengi kiasi hicho? Nimezowea kuona ndege nyingi zikiwa na Business Class na Economy Class tu, ila hapa kwa ATCL ninashindwa kuelewa...