atcl

Air Tanzania is the flag carrier airline of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Simchezo

    ATCL iendeshwe na viongozi wazungu...

    Sioni dalili yoyote ya ATCL kujiendesha kwa kwa faida na kushindana na makampuni mengine ukiwa itaendeshwa na Watz, Asilinia kubwa ya Waafrika hasa Wabongo wana weakness ya asili hata aende shule vipi! ndio maana shirika ili linaleta hasara kila mwaka. Napendekeza lifanyiwe overhaul na uongozi...
  2. Jidu La Mabambasi

    ATCL, Airline in Total Confusion!

    Je, umesafiri kwa ndege za ATCL hivi karibuni? Basi utakumbana na madudu ambayo yalikuwepo miaka takriban 20 iliyopita. Schedules za ndege ni kizungumkuti. Unaweza kusubiri ndege airport utafikiri unasubiri basi la kwenda Igunga. Ndege kuchelewa kuondoka kwa masaa 3 hadi 4 sasa ni jambo la...
  3. S

    Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

    Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini? ATCL “Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea...
  4. benzemah

    Kwa aliyoyasema Rais Samia kuhusu ATCL, ni vyema Mkurugenzi akajiuzulu mapema kabla hajatumbuliwa

    Leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa sana na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku...
  5. Bhaghosha

    Ndege za ATCL na huduma ya Kahawa

    Kwa wasafiri wa ndege zetu za ATCL, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa? Ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi. Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia...
  6. Richard

    Wakati ATCL imelala usingizi wa pono Rwandair waongeza ndege nyingine aina ya Aibus A330-200

    Source: RwandAir- Ndege hiyo mpya ikiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kigali. Shirika la ndege la Rwanda Rwandair Ijumaa ilopita ilipokea ndege ingine mpya kubwa ya Airbus A330-200 kutoka Ufaransa. Ndege hiyo itakuwa ikisafiri masafa marefu kwenda barani Ulaya na Mashariki ya Kati. Lakini...
  7. Teko Modise

    Kwanini hayati Magufuli hakupenda ushindani wa shirika la ndege la Fastjest dhidi ya ATCL?

    Hapo zamani nauli za ndege hasa kwa upande wa fast jet zilikuwa nafuu sana hadi mnyinge kama mimi nikapanda kama mara tatu hivi. Lakini alipoingia hayati magufuli akawafukuza fast jet nchini. Akanunua ndege za kutisha lakini mpaka anafariki nauli hazishikiki. Kwanini hayati Magufuli...
  8. BARD AI

    Ndege 3 za Air Tanzania (Air Bus) zimepata hitilafu ya kiufundi, haziruki

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema kusimama kwa ndege hizo za Shirika la Ndege (ATCL), aina ya Airbus a220-300 kumetokana na hitilafu ya kiufundi na ambapo watengenezaji waliagiza zisiruke. Amesema Serikali inaendelea na mazungumzo na watengenezaji kuhusu matengenezo ya Ndege hizo...
  9. K

    Tetesi: ATCL yafilisika rasmi, haina ndege za kutosha baada ya ndege tatu kukamatwa. Wanaghairisha safari bila taarifa

    ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika...
  10. Replica

    Kweli biashara ya ndege ngumu, Kenya Airways na ukubwa wote wamechemka. Ruto kuiuza kwa Wamarekani. ATCL vipi?

    Rais wa Kenya, William Ruto amekutana na viongozi wakuu wa shirika la ndege la kimarekani la Delta katika mpango wa kuwauzia hisa zote 48.9% zinazomilikiwa na Serikali ya Kenya kwenye shirika hilo. Kenya Airways imekuwa ikitegemea hazina ya Kenya kuweza kujiendesha huku kipindi cha Januari-Juni...
  11. peno hasegawa

    Ndege aina ya Airbus A220 ya (ATCL) ilifikaje nchini Uholanzi na kukamatwa?

    Nimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi? 1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi 2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa 3. Haikwenda kwa matengenezo ikakamatwa 4. Ndege zote kubwa zimepakiwa kisingizio injini ni mbovu Kumbe...
  12. Replica

    Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

    Muwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea. Mgogoro huo umetokana na kufutwa mpango wa kuendeleza mashamba ya sukari wilayani Bagamoyo umbao ulikuwa na malengo ya...
  13. figganigga

    Ndege ya Air Tanzania yashindwa kutua Bukoba, yageuza kwenda kutua Mwanza

    Ndege ya Air Tanzania imeshindwa kutua Bukoba Airport imerudi Mwanza. Stay tuned ====== UPDATES Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imeshindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera kutokana na hali mbaya ya hewa. Badala yake ndege hiyo imelazimika kutua salama katika...
  14. JanguKamaJangu

    Mbunge Sanga alia gharama kubwa za tiketi ATCL

    Mbunge wa Makete Festo Sanga ameitaka serikali kuangalia upya bei ya tiketi ya Shirika la Ndege la Air Tanzania kwa kuwa ni kubwa kulinganisha na uhalisia." Ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mapendekezo ya Mapango wa Taifa. Sanga amesema: "Ukikata tiketi ya DSM kwenda...
  15. GENTAMYCINE

    Tafadhali mwenye Tangazo la Pole kutoka kwa ATCL kwenda kwa Precision Air aniwekee hapa tafadhali

    Zawadi Nono itatolewa na Wadau.
  16. BARD AI

    ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 27 mwaka 2021/2022

    Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma, Jerry Silaa imeonesha kuwa hasara ya shirika Shirika la Ndege Nchini (ATCL) imepungua kutoka Tsh. Bilioni 36 mwaka 2020/21. Aidha ameishauri Serikali kuharakisha mchakato wa utekelezaji wa kuhamisha umiliki wa...
  17. Kichuguu

    Kulikoni ATCL Safari za Ndani?

    Haya madaraja ya ATCL safari za ndani yana tofauti gani? TWiga Basic, Twiga Gain, Twiga Comfort, Twiga Business. Inakuwaje ndege moja inakuwa na madaraja mengi kiasi hicho? Nimezowea kuona ndege nyingi zikiwa na Business Class na Economy Class tu, ila hapa kwa ATCL ninashindwa kuelewa...
  18. Jamii Opportunities

    Senior Internal Auditor (Re-Advertised) at ATCL

    Air Tanzania Company Limited (ATCL) is implementing its five years Corporate Strategic Plan (2022/2023-2026/2027) which includes the network expansion in local, regional and international destinations as well as improvement of its internal operations and human capital management. Therefore...
  19. M

    SI KWELI ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Inasemekana kuwa ATCL imefuta safari zake kuelekea Chato kutokana na ukosefu wa Abiria wa Kutosha.
  20. benzemah

    Safari za ATCL kwenda China ziwe neema kwa wafanyabiashara nchini

    Tanzania na China zimekuwa na mahusiano ya muda mrefu, toka enzi zile za kufuata misingi mikuu ya Ujamaa chini ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Baba wa Taifa la China Mao Ze Dong. Kwa miaka 61 sasa nchi hizi zimeendelea kushirikiana katika mambo kadhaa lakini zaidi ni namna asilimia kubwa ya...
Back
Top Bottom