atcl

Air Tanzania is the flag carrier airline of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. King_Villa

    Kitu gani hasa kimekuwa na mchango mkubwa katika Uchumi wa Tanzania kati ya Filamu ya Royal tour na Ufufuaji wa shirika la ATCL

    Habari za wasaa wakuu. Wakuu leo nilikuwa natafakari mwendo wa Uchumi wetu katika nyanja hizi mbili ila nikaona niwashirikishe wadau wa JF nione maoni yao . Ila kwanza nianze na tafakari zangu binafsi kwa pande zote . 1.The Royal tour inamchango mkubwa kwasababu nchi yetu bado Uchumi wake uko...
  2. GENTAMYCINE

    Ofisi ya Makamu wa Rais tafadhali tumeshachoka na Picha za Kila Siku za Makamu wa Rais akiwa anasalimia Abiria ndani ya ATCL

    Hebu jitahidini basi kuanzia sasa muwe mnatuwekea Picha zake akiwa anakagua Mashamba ya Wakulima, anahutunia Maakongamano ya Watu wenye Akili duniani na anatattua Matatizo muhimu na ya Kimsingi ya Watanzania na siyo kila mara tu mnatuonyesha jinsi anavyoongea na Abiria ndani ya Bombardiers na...
  3. Roving Journalist

    ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi la ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii

    Salaam, Shirika la ndege Tanzania, ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi ya ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii ambayo inaonesha tairi iliyoisha. UFAFANUZI KUHUSU HALI YA TAIRI LA NDEGE YA KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ILIYOSAMBAA KATIKA MITANDAO YA JAMii ATCL inapenda...
  4. Infopaedia

    Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

    Jana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana. Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika...
  5. khumbu_peresa

    Tetesi: ATCL yashindwa kutua Comoro na kurudi Dar es Salaam kufuatia hali mbaya ya hewa

    Habari wana Jamvi, Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa sekta au tasnia ya usafiri wa anga kwa ndani ya nchi na kimataifa. Siku ya jana tarehe 21/04/2022 shirika la ndege la Tanzania lilikua na ndege yake Airbus namba TC 210 ambayo inatoka DAR-HAH (DAR-COMORO) ambayo iliruka saa 4 asubuhi kuelekea...
  6. Stuxnet

    Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege. ===== UPDATES ====== Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato. Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
  7. N'yadikwa

    ATCL haina utaratibu wa kutoa taarifa ya uthibitisho kwa kukata tiketi kwa email

    Enzi za FASTJET ukikata tu tiketi unapata notifications kama zote na unakuwa na uhakika ulicholipia kimefika kweli...ila hawa ATCL ni jipu hawatoi notifications yaani wapo kizamanizamani sana. Nani mtu wenu wa IT desk nyie!! Nawaza FASTJET iruhusiwe kurudi ilete ushindani hili shirika lichangamke.
  8. ACT Wazalendo

    Fatma Ferej: Ni Faraja Kwetu Serikali Kupitia ATCL Kwenda Kuwachukua Watanzania Wenzetu

    Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa faraja hatua ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwanusuru Watanzania walioko nchini Ukraine nchi ambayo iko vitani na Urusi. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema Serikali inachukua hatua za haraka...
  9. Quimica

    Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

    Habari za jioni wana Jamii Forums, kwa kweli nimeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine kutolewa na mataifa yao sababu kubwa ni nini? Putin anahusikaje? Tujuzane. Maestro de Quimica!!OP
  10. Analogia Malenga

    Tanzania yajiandaa kupokea ndege tano ilizozinunua hivi karibuni

    Siku chache baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwasilisha bungeni taarifa yake ya utekelezaji wa shughuli kwa mwaka 2021/2022 ilieleza kuwa Shirika la Ndege la Tanzania limepata hasara jumuishi ya Sh152.96 bilioni tangu mwaka 2015/16. Leo Jumatano, Februari 23, 2022 Naibu...
  11. beth

    PAC: ATCL ilipata hasara ya Bilioni 60.24 kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kuwa Shirika la Ndege (ATCL) lilipata hasara ya Sh60.24 bilioni kwa mwaka wa fedha 2019 /2020. Mwenyekiti wa PAC, Naghenjwa Kaboyoka ameyasema hayo leo Alhamis Februari 17, 2022 wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za kamati kwa kipindi...
  12. M

    Mtaturu: Gharama za ATCL ndani ya Tanzania ni kubwa kuliko zile za Dubai

    Mbunge Miraji Mataturu alia na bei za ATCL === Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu ameitaka Serikali kutafuta suluhisho la bei kubwa ya usafiri katika ndege za Shirika la Ndege Nchini (ATCL) ambapo amezifananisha gharama hizo na gharama za kwenda Dubai. Mtaturu ameyasema hayo...
  13. K

    Kulikoni Ofisi za ATCL Mwanza?

    Leo nimebahatika kufika Ofisi ya ATCL Mwanza kwa ajili ya booking. Niliyoyakuta pale haileti hadhi kuwa ile ni ofisi ya ATCL. Kihadhi kwa kweli ofisi imechoka mbaya. Ofisi haikupakwa rangi kwa kweli muonekano wa nje ni chafu. Nilipoingia ndani nimewakuta watumishi watatu. Nimewakuta hawana...
  14. NairobiWalker

    Je, shirika la ATCL linatoka Shimoni kwenda gizani?

    https://www.bbc.com/swahili/59765481?at_campaign=64&at_custom1=%5Bpost+type%5D&at_custom3=BBC+Swahili&at_custom4=86F55B8E-63A2-11EC-A562-145816F31EAE&at_custom2=facebook_page&at_medium=custom7
  15. X

    Jobs Vacancy at ATCL December 2021

    air tanzania jobs 2021, air tanzania cabin crew vacancy, air tanzania internship 2021, precision air jobs 2021, precision air jobs 2020 ABOUT ATCL Air Tanzania Company Limited (ATCL) (Swahili: Kampuni ya Ndege ya Tanzania) is the flag carrier airline of Tanzania based in Dar es Salaam with its...
  16. J

    Rais Samia aipongeza ATCL kwa kuchanja mbuga, Kenya sasa ni Tshs 770,000 tu

    Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza ATCL kwa kupanua biashara ya usafiri na usafirishaji ya anga, hasa baada ya ATCL kuongeza safari zake za kibiashara kwa karibu mara tatu. Rais Samia ameipongeza zaidi ATCL kwa kurejesha Safari za Kenya Nairobi tena kwa gharama ndogo ya...
  17. Sophist

    Nini kilipelekea vijana wa Tanzania kuteka ndege ya ATC 1982 Mwanza?

    Hi there! Do you remember our history. Here is a story written 27 years ago: Tanzania Jet Hijacked; 2 Are Reported Killed Published: February 27, 1982 Hijackers demanding the resignation of President Julius K. Nyerere of Tanzania seized a Tanzanian jetliner with more than 90 passengers...
  18. M

    ATCL yatakiwa irejeshe Serikalini Tsh bilioni 896 ilizopewa kama ruzuku bila kufuata utaratibu

    Tanzania (TC, Dar es Salaam) will have to repay TZS896 billion shillings (USD388.8 million) illegally received from government coffers without prior approval from the country’s Ministry of Finance and Planning, according to the Parliamentary Accounts Committee (PAC). Committee Vice-Chairman...
  19. luangalila

    JKIA (KEN) get ready for ATCL

    Final our new bird will start flying to KEN from TZ.
  20. Kinuju

    Ratiba ya safari za ATCL kuelekea Chato Airport

    Wote waliotangaza kuwa Chato airport imegeuzwa ya kuanikia mahindi na dagaa na walelewa Ubelgiji wote waje washuhudie ratiba ya ATCL hapa chini. ATCL inatua Chato mara tatu kwa wiki na ikiwa imejaza abiria.
Back
Top Bottom