atcl

Air Tanzania is the flag carrier airline of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanamaji

    Another milestone: Klabu ya Simba SC na shirika la ndege ATCL zaingia mkataba wa udhamini kwa miaka miwili

    Klabu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam na shirika la ndege Tanzania, ATCL zimeingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani milioni mianne. Katika makubaliano hayo, Shirika la ndege ATCL litakua ndio mshirika rasmi wa klabu ya Simba katika masuala ya safari za anga za ndani na nje...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwa mwenendo huu wa kibiashara, shirika la ATCL litakufa kibudu siku si nyingi

    Kusudio la kuanzishwa, kufunguliwa na kuhuishwa kwa shirika mama la usafiri wa anga la nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa lijiendeshe kibiashara, lipate faida na liweze kujisimamia na kujihudumia lenyewe bila kuwa mzigo kwa serikali. Shirika la ATCL limekuwa na flight cancellation za mara kwa...
  3. BAK

    ATCL yaanzisha kibubu kwa abiria wanaotaka kulipia nauli kidogo kidogo

    ATCL yaanzisha kibubu kwa abiria wanaotaka kulipia nauli kidogo kidogo THURSDAY SEPTEMBER 09 2021 Summary Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeanzisha mpango wa "kibubu" utakaowawezesha wananchi kulipia kidogo kidogo mpaka atakapo kamilisha malipo ya tiketi yake ya ndege. By Waandishi Wetu...
  4. M-mbabe

    ATCL tunakwama wapi katika azma yetu ya kuwahudumia wanyonge wa nchi hii?

    Hapa chini ni bookings za ATCL & Precision zilizofanywa na vijana fulani wanaotarajia kusafiri miezi kadhaa ijayo. Tarehe, destinations na madaraja - vyote vinafanana kwa bookings zote mbili. Tumekuwa tukiaminishwa kuwa ATCL, pamoja na malengo mengine, ipo kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania...
  5. mshale21

    ATCL waanzisha kibubu kwa abiria wanaotaka kulipia nauli kidogo kidogo, Wahamasishaji kupewa zawadi

    Dar es Salaam Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeanzisha mpango wa "kibubu" utakaowawezesha wananchi kulipia kidogo kidogo mpaka atakapo kamilisha malipo ya tiketi yake ya ndege. Katika mpango huo, mwananchi atatakiwa kuweka Sh50,000 kwa mara ya kwanza na kiasi kinachobakia atatakiwa kulipa...
  6. msovero

    Je, serikali ilitudanganya kwamba shirika la ndege ATCL linajiendesha kwa hasara?

    Kuna muda nakuwa nashindwa kuielewa hii serikali yangu. Pengine labda ni kutokana na uelewa na ufahamu mdogo nilionao kuhusu uendeshaji wa shirika letu la ndege kwani kauli na kaguzi zinazotolewa na serikali kuhusu uendeshwaji wa shirika hili zinanichanganya sana. Kwenye ripoti ya ukaguzi wa...
  7. K

    Wastaafu ATCL bado hawajalipwa licha Waziri Mkuu kueleza umma vinginevyo

    Muda usiopungua miaka kumi na hadi sasa wapo wastaafu wa Air Tanzania Company Limited wanadai mafao ya PPF sasa PSSSF hawajalipwa. Wastaafu wa ATCL wanadai haki yao kwa kuwa walikatwa kutoka katika mishahara lakini haikupelekwa PSSSF (PPF) hivyo kuwafanya waambulie mafao kidogo wakati wa...
  8. S

    Kwanini Tanzania iendelee kununua ndege?

    Leo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala mzuri na mkubwa sana. Ni hivi, katika juhudi za kufufua Shirika la ndege na kuimarisha sekta ya anga...
  9. MK254

    Watani acheni mzaha, deni la ATCL bilioni 472.8B??? Mbona kama mlikurupuka kwenye hii biashara

    Hamkutulia mfanye utafiti nini tija ya hii biashara na namna gani inaendeshwa, mkawakuta Fastjet na kuwatupia nje....yaani deni lote hili mbona linatia kiwewe...na bado mnasubiri mindege ije.
  10. S

    Kamati ya Fedha ya Bunge PAC yatoa tamko: ATCL iko mahututi, itakufa hivi karibuni

    Katika kuthibitisha kile ambacho wanasiasa wa upinzani na wananchi kwa ujumla wamekuwa wakikipigia kelele siku zote na serikali kujifanya kiziwi haitaki kusikia, makamu mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Bunge, Japhet Hasunga, ametoa tamko rasmi kwamba shirika la ndege la Tanzania ATCL liko...
  11. Return Of Undertaker

    Kamati ya Bunge yapigwa butwaa na Deni la ATCL kufika bilioni 472. Kuna hatari ya shirika kufa

    Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati. HT gazeti Mwananchi.
  12. Mpinzire

    David Mataka wa ATCL, ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa kulisababishia hasara ya Tsh Bilioni 71 shirika

    Bosi wa zamani wa ATCL, David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh bilioni 100. ==== Mataka wa ATCL Ahukumiwa Jela Miaka 4 August 20, 2021 Mkurugenzi Mkuu wa...
  13. M

    Ukipanda Basi unafika Dar mapema kuliko aliekata tiketi ya ndege za ATCL

    Iwe unatokea Mbeya au Mwanza ukipanda basi lolote lile hata iwe luwinzo mbona unaweza kufika mapema kuliko aliyekata tiketi ya ndege za ATCL. Au mmoja akitoka Mwanza akifika Tinde akapanda tank la mafuta mbona unatangulia kufika yaani wewe wa basi unaenda kumpokea mtu aliyepanda ndege...
  14. BAK

    Askofu Bagonza: ATCL imekosa aibu, basi iwe na huruma

    ATCL Imekosa Aibu basi Iwe na Huruma Ndani ya miezi miwili nikisafiri na ndege za ATCL nimeona haya: 1. Nilishindwa kuhudhuria mazishi ya ndugu na kukaa airport siku nzima 2. Nilishinda uwanjani Dar na kuondoka usiku wa manane siku ya pili. 3. Nilikosa connection ya ndege Dar baada ya ndege...
  15. MK254

    Noma sana! KCB net profit doubles as balance sheet hits Sh1.12trn

    KCB Group doubled its net profit for the half-year to June on increased income from a balance sheet that crossed the Sh1 trillion mark for the first time. The Nairobi Securities Exchange-listed firm reported net earnings of Sh15.3 billion for the six months, up 102 percent from Sh7.58 billion...
  16. J

    ATCL yatoa ufafanuzi kuvurugika kwa ratiba za ndege zake, yasema nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa

    Msemaji wa ATCL ndugu Josephat Mwingira amesema pamekuwepo na mabadiliko ya mara kwa mara ya ratiba za ndege zao takribani wiki mbili sasa kwa sababu ndege nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa. Mwingira amesema nyingi ya ndege zao zilinunuliwa kwa wakati mmoja ndio maana hata matengenezo...
  17. S

    Kwanini Rais Samia anatumia ndege za ATCL kwa safari zake hata fupi badala ya ndege ya Rais?

    Nimeona katika picha Rais Samia alitumia ndege ya ATCL Airbus 220 5H-TCH (Dodoma - Hapa Kazi Tu) kwenda Malawi kwenye mkutano wa SADC. Ndege hii ina uwezo wa kubeba abiria kama 120 hivi. Sio kwamba ninataka tu kumkosoa Rais Samia, lakini najiuliza sana, kwamba ni kwa nini anapofanya safari kama...
  18. MSAGA SUMU

    ATCL kama ATCL

  19. Jaji Tz

    Air Tanzania (ATCL) kichocheo cha ukuaji wa uchumi Tanzania

    The Diplomat Air Tanzania (ATCL) ni shirika la umma na limekodishiwa ndege na serikali kutoa huduma kwa wananchi ,na kwa mara kadhaa hasa kipindi hiki cha corona halijatengeneza faida shirika kama shirika lakini faida ya ndege hizi ni kubwa hasa kwenye sekta nyingine za uchumi ikiwemo biashara...
  20. J

    Rais Samia kupokea ndege mpya ya ATCL Julai 30, 2021

    Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan kesho atapokea ndege mpya ya ATCL. Ndege hiyo ni miongoni mwa zile 11 zilizoagizwa na serikali yy awamu ya 5 chini ya hayati Magufuli Mtanikumbuka - JPJM Mungu ni mwema wakati wote! === Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Julai 30, 2021 anatarajiwa...
Back
Top Bottom