atcl

Air Tanzania is the flag carrier airline of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Waitara: Duniani kote watakwambia tunapata hasara kwa sababu ndege sio faida moja kwa moja

    Leo Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara alikuwa kwenye kipindi cha 'Morning Trumpet' cha Azam TV na amegusia mambo mbalimbali ikiwemo hasara ATCL, ujenzi bandari ya Bagamoyo, ujenzi reli ya SGR na uagizaji wa mabehewa pia ujenzi bwawa la Nyerere === Mtangazaji: Umezungumza kuhusu...
  2. Gazeti la Nipashe: Posho za wafanyakazi ATCL ni kufuru, mabilioni yateketea

    Habari. Kwa wanaoshangaa wazo la waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba la kuja na tozo kwenye miamala ya simu ili aweze kupata fedha za kukamilisha miradi ya kimaendeleo wanaombwa kusoma gazeti la nipashe la leo limekuja na ripoti maalum ya upotevu wa mabilioni ya fedha kwenye shirika la ndege la...
  3. ATCL ni vema mkatuonesha risiti za malipo ya kukodi ndege za umma zinazotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM

    Katibu Mkuu wa CCM ameonekana Zanzibar na kwingineko katika ziara za chama chake, ameonekana akitumia usafiri wa ndege za ATCL ambalo ni shirika la umma. Sasa ili kuondoa minong'ono ya chini chini iliyoanza kusikika kwamba ANATUMIA NDEGE HIZO BILA KULIPA CHOCHOTE , Ni vema basi shirika hilo...
  4. Rais Samia hivi ndivyo ATCL wanavyokuza uchumi wakati tukisubiri Katiba Mpya?

    Huwezi kuamini tupo uwanja wa ndege tangu asubuhi tunasubiri ndege ya ATCL mpaka sasa ilikuwa tuondoke saa tano asubuhi wakasogeza mpaka saa tisa now wanasema mpaka tena saa kumi na mbili. Watu wapo na watoto wanaliaa, wengine tulikuwa tunaenda msibani tumeshachelewa, wengine wana biashara zao...
  5. Tutegemee ATCL kupata faida awamu hii ya 6?

    Ndege moja imetoka Dodoma kwenda Dar iko na Samia, nyingine Iko Burundi na Waziri Mkuu Majaliwa nyingine Ipo Ufaransa Makamu Wa Rais Dkt. Mpango nyingine ndo iko na Mzee Kikwete. Kwenye mazishi Huko Zambia. Nadhani Samia hapendi kuwepo kwa Makao Makuu ya Nchi Dodoma, Maana shughuli nyingi za...
  6. B

    Masha afafanua kuhusu kufa kwa Fast Jet

    31 May 2021 MASHA ANAONGEA : ALIYEIUA FAST JET, HOFU, ATCL WAFANYE NINI. Huyu ni Lawrence Masha, nguli wa Sheria na Mfanyabiashara. Aliwahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. . Pia alinunua shirika la ndege la #FASTJET, Likapata vikwazo yeye akiwa mmiliki. source ...
  7. Mafanikio ya ATCL: Safari za moja kwa moja kutoka Tanzania kwenda Guangzhou China zaanza

    Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) imefanya safari yake kwanza leo alfajiri kuelea mji wa kibiashara Guangzhou nchini China. Air Tanzania itakuwa inafanya safari zake moja kwa moja toka Dar es Salaam, Tanzania mpaka Guangzhou nchini China huku ikitumia takribani masaa 11 ikiwa angani.
  8. Air Tanzania (ATCL) yasitisha safari za Ndege kwenda Mumbai India

    Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limesitisha Safari zake kwenda Mumbai nchini India kuanzia leo Mei 4 kutokana na ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona. Abiria wote walioathiriwa na uamuzi huu watarudishiwa gharama zao za Safari. INDIA: VISA VYAFIKIA MILIONI 20, UPATIKANAJI OXYGEN BADO...
  9. P

    Ukiondoa hasara ya shirika la Ndege ATCL, ni wapi tena penye ufisadi wa serikali ya awamu ya tano?

    Hivi, ufisadi wa JPM Ukiondoa zile hasara zilizosababishwa na ufufuaji wa shirika changa la Ndege ATCL ni wapi tena palipofanyika ufisadi mithili ya kipindi cha awamu ya nne! Na Kwa nini ufisadi wake umechuja Kwa Kasi ya ajabu kutajwatajwa mitandaoni ili Hali bado tunakumbukia Lichimondi, EPA...
  10. Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  11. B

    Waziri Mkuu anavamia lini ATCL?

    Mabibi na mabwana tumesikia Waziri Mkuu kuvamia UDART leo tena kazukia SGR. Vipi kwenye madege yetu? Tupeane habari wakuu. Je, anao mpango wa kutimba chighafla ghafla hapo ATCL pia? Bila shaka yale mabilioni alivyosema CAG yatakuwa yanamfikirisha naye pia. Mrejesho tokea ATCL utatupa picha ya...
  12. Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

    ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2021 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera. Dulu zinabaini milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia Safe imevunjwa inaamika wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa Shirika hili la...
  13. ATCL shusheni bei ili mtengeneze soko kubwa la ndani, kwa namna hii mtapata faida. Kumbukeni the higher the price...

    Ni suala la kitalaamu kiuchumi ambalo lipo katika maisha ya kila siku. Kwamba bei ikiwa ndogo uwezo wa kulipia huduma huwa mkubwa na kuongeza soko. Kwa hiyo ili kuruhusu soko kubwa lipanuke na kuweza kupata wateja wengi ni vyema Atcl wakashusha bei kama ilivyokuwa kwa Fastjet. Mfano kama...
  14. J

    CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

    CAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake. Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya biashara kupata faida na huamuliwa na bodi kiasi gani cha faida kigawiwe kama dividends. Uttoh amesema...
  15. ATCL imeanza kupaa sana kimapato. Mbunge Zungu Ashauri serikali iige inachofanyiwa Ethiopian Airline na Serikali yao

    Toka bunge hili lianze mbunge ninayeona katoa hoja nzito ni Zungu Kaeleza vizuri sana kuhusu ATCL NA NAMNA YA KUIFANYA IWE NA FAIDA KUBWA Kasema kabla ya Magufuli Mishahara yote ya wafanyakazi wa ATCL KWA ASILIMIA 100 ilikuwa ikilipwa na serikali sasa hivi serikali inalipa asilimia 17 tu kiasi...
  16. Mbunge Jerry Silaa hajui kitu kuhusu ATCL, asijifanye mjuaji

    Wasalaam wapenzi wa jukwaa hili! Ndugu zangu huwa napata ukakasi sana ninapoona mtu ambaye anaonekana anajiita msomi lakini anyoongea hayana reflection na usomi wake. Tena kijana ambaye nafikiri kesho angeweza kua Key figure kwenye ujenzi wa taifa. Ndugu yangu bwanamdogo Jery Slaa ni mpotoshaji...
  17. J

    Badala ya kujibishana na Mbowe ambaye si mbunge, Ndugai angetujulisha tu kama ruzuku ya ATCL aliipitisha hapo Bungeni

    Nakubaliana kabisa na Spika Ndugai kwamba hoja nyingine za uchaguzi ni ndogo ndogo lakini zinakuxwa tu. Mfano Chadema wamepata hati safi lakini kuna zaidi ya tsh milioni 300 CAG amedai zimetumika bila kufuata utaratibu. Maana yake ni kwamba fedha hizo hazijaibwa ila taratibu tu za kuhalalisha...
  18. S

    Serikali ilitoa ruzuku ya shilingi bil. 153.7 kwa ATCL na shirika limepata hasara ya bil. 153 huku zaidi ya tril .1 ikitumika kununulia ndege

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya uchambuzi wa ACT Wazalendo wa taarifa ya CAG ya mwaka 2019/2020. Je, hili shirika halijageuka "mchwa" kwa watanzania? Hivi viongozi wa nchi hii wanaohusika na ufanyaji wa maamuzi wako mentalily fit na zaidi wako comfortable na hali hii? Halafu bado...
  19. Hayati Magufuli ni shujaa anayepigana na walio hai

    Nimekuwa kimya kwa siku mbili tatu ili kujipa muda kuifuatilia na kutafakari FILAMU inayochezwa na CAG akishirikiana na wanamapinduzi wanaopambana usiku na mchana kuifuta LEGACY ya MWAMBA HUYU KUTOKA CHATO. Nilichokibaini kwenye report ile ya ndugu kichele ni kwamba ,inajaribu kutengeneza...
  20. Suala la ATCL kupata hasara ya Tzs bilioni 60 na kuendeshwa kihasara kwa miaka 5

    Mwishoni mwa mwezi Machi Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alipokea ripoti mbili za CAG na TAKUKURU na moja ya mambo yaliyoibuka na kuchukua mjadala mpana na mkubwa sana ni hatua ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Bwana Charles Kichere kusema kwenye ukaguzi wao wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…