aunt ezekiel

The gens Atia, sometimes written Attia, was a minor plebeian family at Ancient Rome. The first of this gens to achieve prominence was Lucius Atius, a military tribune in 178 BC. Several of the Atii served in the Civil War between Caesar and Pompeius. The gens Attia of imperial times may be descended from this family, although its members lived nearly a century after the more notable Atii, and are not known to have been related.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel azua taharuki Muonekano wake kwenye Movie mpya 'REHANI'

    Muigizaji Mkongwe Nyota Kwenye Kiwanda Cha Filamu Tanzania Aunty Ezekiel amezua taharuki leo kwa muonekano mpya akiwa amevaa mavazi ya Magereza na amenyoa kipara. Siku ya jana Oktoba 6, 2026 kuna video pia ilisambaa mtandaoni akionekana anakamatwa na Polisi lakini hekaheka zake zote leo...
  2. JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel: Kusah ni mwanaume hasa , yule mwingine nilikosea

    Muigizaji nchini, Aunt Ezekiel, amemmwagia sifa kedekede mumewe, msanii wa muziki Kusah, na kumwelezea kama mwanaume aliyeumbwa mahsusi kwa ajili yake kutokana na moyo wake wa kujitolea na kuwajibika kikamilifu katika familia. Aunt Ezekiel aliyasema hayo jana jijini Arusha wakati wa maandalizi...
  3. JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel: Nachukia Kuitwa Mshangazi na watu wa nje wakati mume wangu Kusah ananiita Binti yangu

    Mwigizaji na mfanyabiashara maarufu nchini, Aunt Ezekiel, ameonyesha kukasirishwa na vitendo vya baadhi ya watu kumwita jina la "Mshangazi", akisisitiza kuwa umri wake bado ni mdogo na haujafikia hatua hiyo. Akizungumza kwa hisia kali, msanii huyo amewataka watu wa nje kuacha mara moja kumtumia...
  4. JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel: Zuchu kajifungua kwa upasuaji kama Wema, leo hii anakata mauno na hamsemi

    "huyu zuchu kajifungua Kwa Upasuaji kama Wema, Leo hii anakata mauno na watu hawaulizi kuhusu mshono, ila Kwa Wema kipindi kile kucheza tu na kupokea Wageni watu walikuwa wakiongea sana mara oooh hakuna aliye jifungua hapo, mara kaiba Mtoto. Leo niwaulize kwanini Kwa Zuchu hamuongei, hivi Wema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…