Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani.
Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake.
Viongozi waliohudhuria ni...
Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani.
Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na New Zealand kwenye bahari ya Tasmania?
Chinese exercises 150km from Sydney
Ikumbukwe kuwa...
Mashindano ya kutafuta Malkia wa Nguvu Duniani. Yatafanyika Sydney, Australia tarehe 29/03/2025. Katika ukumbi wa Sydney International Convention and Exhibition Centre. Tuwape support.
***Kwa wanaotaka kuhudhuria punde utaratibu (viza, malazi na nauli) utatolewa
Wakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA.
1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri kwa miaka 100.
2. Niliona kabisa kuwa Waafrika wengi ni kama hatuna akili hasa tunapokuwa katika...
Bunge limeidhinisha zuio la Watoto wenye chini ya miaka 16 kutumia Mitandao ya Kijamii kwa Kura 103 dhidi ya 13, ikiwa ni uamuzi unaotajwa kuwa mgumu zaidi na ulioungwa mkono na Wananchi waliodai Mitandao imekuwa ikiathiri Afya za Kimwili na Akili kwa Watoto.
Uamuzi wa Serikali umeitaka...
Serikali ya Australia imetangaza mpango wa kuanzisha sheria inayozuia watoto chini ya miaka 16 kutumia mitandao ya kijamii
Hatua ya kuanzisha sheria hii ni kwa lengo la kupunguza athari zinazotokana na matumizi ya mitandao hiyo.
Aidha, serikali imesema sheria hiyo haitahusisha watoto ambao...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa hivi karibuni alidokeza kuwa hakubaliani na dhana ya kwamba uwekezaji wa Taifa la China barani Afrika unapelekea bara hili katika "mtego wa madeni,"
Ramaphosa alitoa kauli hiyo wakati wa mkutano wa kilele cha China na Afrika huko Beijing, ambapo wajumbe...
1. Ndugu zetu Maasai pale Ngorongoro wanalindwa/kutambuliwa na mikataba ya Kimataifa mfano United Nations Declaration No. 169 on the Rights of Indigenous People - jamii husika inatambulika na kuheshimiwa katika Ardhi Yao ya asili, Mila na tamaduni. Na wanao Uhuru wa kuamua maendeleo yao.
2...
Zaidi ya 80% ya mimea, mamalia, reptilia na vyura ni wa kipekee kwa Australia na hawapatikani popote pengine ulimwenguni zaidi ya bara hilo pekee. Hawa ni baadhi tu
Ifahamu nchi ya Australia
1. Australia ina zaidi ya maeneo 60 tofauti ya mvinyo
2. 90% ya Waaustralia wanaishi pwani.
3...
Dubai ni moja ya miji mikubwa duniani yenye majengo marefu na ya kuvutia. Ukuaji wake wa haraka umehusishwa sana na sekta ya ujenzi na maendeleo ya miundombinu. Kuanzia majengo ya kipekee kama Burj Khalifa, jengo refu zaidi duniani, hadi visiwa bandia kama Palm Jumeirah, Dubai imekuwa...
1. Pigo jingine kwa Benjamin Natenyahu; ushindi mwingine kwa wapalestina na HAMAS.
2. Wapigania katiba wa kwetu hawatambui haki hupiganiwa kwa jasho na damu ikibidi. Wamekaa kitako, kuilaumu CCM.
3. Viva HAMAS, viva Palestina; mlidhamiria na kwa hakika ushindi unanukia sasa kuliko wakati...
Wanaukumbi.
Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese amesema leo kwamba Idara ya Mambo ya Nje na Biashara ya nchi hiyo imemwita balozi wa Israel kuhusu mauaji ya Zomi Franckom, raia wa Australia.
Franckom ni mmoja wa wafanyakazi wanne wa kimataifa wa Jiko Kuu la Dunia (WCK) waliouawa jana...
Wanaukumbi.
Israel imewaua wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wa Poland, Australia, Ireland na Uingereza kimakusudi. Angalia pasipoti zao.
Adui wakubwa wa Israeli ni wasema ukweli.
Hivi ni vita dhidi ya Hamas wanasema bahati nzuri wanauwana wao kwao ambao wanajiona wana haki ya kuishi tofauti na...
Kampuni ya Resource Mining Corporation Ltd (ASX:RMI) imegundua uwepo wa madini ya nikeli (nickel) na shaba (copper sulphide) katika Mradi wa Nickel wa Liparamba nchini Tanzania, hii ikiwa ni uthibitisho wa kwanza wa uwepo wa madini hayo katika eneo hilo.
Kampuni hiyo ambayo imejikita katika...
Mwanariadha wa kimataifa Gabriel Gerald Geay ashindwa kumaliza baada ya kupata changamoto ya kiafya kuanzia kilomita 30 na alipofika kilomita 35 akashindwa kuendelea na kapumzika.
Walichoandika World Athletics (WA);
After a half way split of 1:03:56, they passed 30km together in 1:30:58 but...
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay atua jijini Sydney Australia kushiriki mashindano makubwa ya kimataifa ya Sydney Marathon tarehe 17 septemba 2023 jumapili.
Mashindano hayo yanatarajiwa kushirikisha wanariadha zaidi ya elfu arobaini (40,000) wanaotoka katika nchi 66...
Ni nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
UPDATE
TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia
Mwanamke mmoja nchini Australia amekutwa na mnyoo akiwa hai, mwenye urefu wa sentimeta 8, kwenye ubongo wake wa mbele.
Mnyoo huyo aina ya Ophidascaris robertsi mwenye umbo la kamba, kwa kawaida hupatikana kwenye nyoka wasio na sumu, wanaopatikana zaidi Australia, huku ikidhaniwa kuwa huenda...
Naangalia kombe la Dunia la Wanawake hapa, michuano inayofanyika kwa ushirikiano wa nchi mbili ndugu, New Zealand na Australia. Mchezo wa kwanza New Zealand kashinda 1-0 dhidi ya Norway, sahizi ni Australia na Republic of Ireland.
Timu za taifa zinatumia jezi zenye rangi ya bendera yao, lakini...
Interesting...
Timu ya wanafunzi ya wanawake kutoka China imeweza kuchukua ushindi wa nafasi ya kwanza katika mashindano maarufu ya hisabati ya European Girls Mathematical Olympiad yaliyo fanyika nchini slovenia
Mashindano hayo yalihusisha team 55 (38 kutoka mataifa ya ulaya).
Nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.