australia

  1. S

    Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana. Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya...
  2. S

    Waziri Mkuu wa Australia aonya waAustralia wasijaribu kwenda pigana na majeshi ya Russia nchini Ukraine

    Waziri Mkuu wa Australia kawaonya raia wa nchi yake wasijaribu kusafiri kisirisiri kwenda kupewa silaha na rais wa Ukraine ili kupigana na majeshi ya Russia. Onyo hilo la Waziri Mkuu limejiri baada ya rais wa Ukraine kuomba msaada wa raia wa nchi nyingine waende Ukraine wakasaidie kupambana...
  3. beth

    #COVID19 Australia kufungua Mipaka yake baada ya takriban miaka miwili

    Taifa hilo limesema litafungua Mipaka yake kwa Wasafiri waliopata chanjo dhidi ya COVID19 kwa mara ya kwanza ndani ya takriban miaka miwili. Waziri Mkuu amesema Mipaka itafunguliwa Februari 21. Australia ilikuwa miongoni mwa Nchi zilizoweka kanuni kali zaidi duniani kufuatia Milipuko wa Virusi...
  4. Miss Zomboko

    Australia: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya Djokovic kupinga Visa yake kufutwa

    Mahakama ya Shirikisho la Australia siku ya Jumapili Januari 16 ilikataa rufaa iliyoletwa na Bingwa wa Tennis duniani Novak Djokovic dhidi ya kufutwa kwa visa yake na kufukuzwa nchini. Mahakama inaamuru kwamba rufaa itupiliwe mbali kwa gharama ya mlalamikaji," umebaini uamuzi huo ulioidhinishwa...
  5. Miss Zomboko

    #COVID19 Nchi ya Australia, kwa mara ya pili imesitisha Visa ya Novak Djokovic kwa kutokuchoma Chanjo

    Nchi ya Australia, kwa mara ya pili imesitisha kibali cha kuingia nchini humo cha mchezaji maarufu wa tenesi, Novak Djokovic, kutokana na utata kuhusu haki ya kuendelea kubaki nchini humo bila ya kuwa amechoma chanjo dhidi ya UVIKO-19. Uamuzi huu uliotangazwa na waziri wa masuala ya...
  6. Sam Gidori

    Australia: Sheria itakayoiwajibisha mitandao ya kijamii kwa watumiaji wasiojulikana kutungwa

    Serikali ya Australia imepanga kutunga sheria itakayolazimu mitandao ya kijamii kuonesha utambulisho wa watumiaji wasiotumia majina halisi watakaochapisha maudhui yenye kuudhi, au kulazimu mitandao hiyo kulipa faini kama fidia kwa madhara yatakayotokana na maudhui hayo ikiwa watashindwa kutoa...
  7. Sky Eclat

    Maisha siku za awali ya Waingereza waliohamia Australia na New Guinea

    Baada ya Uingereza kutangaza Australia kuwa ni koloni lao, walianza kupelekwa wafungwa wa muda mrefu, waliohukumiwa kifo na wale waliofungwa kwenye jela zenye ulinzi mkali. Walipelekwa pia watoto yatima na wale waliokua chini ya uangalizi wa social system.
  8. beth

    #COVID19 Australia yarekodi visa 1,000 kwa mara ya kwanza tangu mlipuko kuanza

    Kwa mara ya kwanza tangu mlipuko wa Virusi vya Corona kuanza, Taifa hilo limerekodi visa vipya zaidi ya 1,000 huku Hospitali mbili ambazo ni kubwa zaidi Jijini Sydney zikiweka mahema nje ili kusaidia kukabiliana na ongezeko la wagonjwa Sydney imetajwa kuwa kitovu cha mlipuko mpya Nchini...
  9. Miss Zomboko

    Waziri Mkuu wa Australia atetea kufungwa shughuli za umma kupambana na COVID-19

    Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrison ametetea mkakati wa taifa hilo wa kuzifunga shughuli za kawaida kama sehemu ya juhudi za kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona hadi angalau asilimia 70 ya watu wa nchi hiyo watakapopata chanjo ya virusi hivyo. Akizungumza kwenye mahojiano na shirika la...
  10. beth

    Australia yarekodi idadi kubwa zaidi ya maambukizi

    Australia imeshuhudia idadi kubwa zaidi ya maambukizi ambapo visa 361 vya Kirusi Delta vimerekodiwa kutoka New South Wales, Victoria na Queensland Asilimia 60 ya Wakazi wa Australia (sawa na takriban watu Milioni 15) wapo Lockdown. Taifa hilo lenye visa zaidi ya 36,000 na vifo 937 kwa kiasi...
  11. Mathanzua

    #COVID19 Australia health Minister says '‘we’ve got to accept that the New World Order is here"

    However disturbing it might be,Australia Health Minister has openly said, ‘we’ve got to accept that the the New World Order is here.He said this as harsh COVID lockdowns are being imposed in Australia. A disturbing footage out of Australia shows a New Wales’ MP openly declaring the beginning...
  12. A

    Aboriginals ndiyo wenye asili ya Australia

    Kule Afrika ya Kusini wasingepigana na kuwashinda Wazungu sasa hivi wangekuwa wameiteka kama walivyoiteka Australia.
  13. beth

    #COVID19 COVID-19: Miji kadhaa Nchini Australia yaweka lockdown

    Takriban nusu ya watu katika Taifa la Australia wametakiwa kutekeleza agizo la kukaa nyumbani huko Sydney, Brisbane, Perth, Darwin, Townsville na Gold Coast Mamlaka zinafanya jitihada kudhibiti maambukizi ya Kirusi cha Corona aina ya Delta ambacho kimetajwa kusambaa kwa kasi huku Viongozi wengi...
  14. beth

    Australia yapiga marufuku raia wake wanaotokea India kurejea Nchini humo

    Wakazi pamoja na Raia wa Australia ambao wamekuwa India watapigwa marufuku kuingia Nchini humo kuanzia Mei 03, 2021 na wale watakaokiuka wataadhibiwa kwa kifungo na kutozwa faini. Kuanzia Jumatatu, mtu yeyote ambaye amekuwa India ndani ya siku 14 kutoka tarehe yao ya kuwasili Australia atapigwa...
  15. Analogia Malenga

    Facebook yawafungia watumiaji wa Australia

    Mtandao wa Facebook umewafungia watumiaji wa Australia ikiwa ni njia ya kupinga suala la Australia kutaka Facebook wawalipe watumiaji wake wanaochapisha habari mbalimbali nchini humo Australia ilizitaka kampuni mbili kubwa za mtandao, Facebook na Google kuwalipa wanaochapisha habari katika...
  16. stakehigh

    #COVID19 Australia Abandons COVID-19 Vaccine Trials After False Positive HIV Results

    SYDNEY - Clinical trials of a COVID-19 vaccine being developed by Australia’s University of Queensland in partnership with biotech company CSL have been abandoned after participants returned false positive HIV test results. The treatment was a key part of Australia’s response to the pandemic...
  17. Son.j

    Tukio la utata Kupotea kwa rubani wa Australia 1978

    Frederick Valentich ni rubani mwanafunzi aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha akiwa katika mazoezi kwenye ndege ijulikanayo kama Cessna 182L light aircraft mnamo 21 October 1978. Tukio lililo acha maswali mengi ambayo yamekosa majibu mpaka leo kwani Nadharia za mamlaka na maofisa wa...
  18. Sam Gidori

    Google yatishia kusitisha huduma zake Australia ikiwa Serikali haitabadili sheria mpya ya malipo ya maudhui, Facebook yafuata mkumbo

    Kampuni ya Google imetishia kufunga huduma zake nchini Australia ikiwa Serikali ya nchi hiyo haitabadili muswada unaoitaka kampuni hiyo kulipia maudhui yanayotoka nchini humo. Mkurugenzi Mtendaji wa huduma za Google Australia, Mel Silva aliiambia kamati ya Senate kuwa hatua hiyo ya serikali...
  19. J

    SYDNEY AUSTRALIA: Ufahamu moto unaowaka bila ya kuzima kwa miaka takriban 6,000

    Eneo hilo lililopo Kaskazini mwa Jiji la Sydney nchini Australia limekuwa likijulikana kama 'Mlima Unaoteketea'. Kwa asili inaaminika kuwa mlima huo ni wa volkano lakini moshi unawaka haukugundulika hadi mwaka 1829 Haikufahamika ni nini hasa kinachosababisha moto huo mwanzo ilidhaniwa kuwa ni...
  20. Analogia Malenga

    Athari za COVID-19: Australia imekumbwa na mdororo mbaya zaidi wa uchumi tangu miaka ya 1930

    Australia imekumbwa na mporomoko mbaya zaidi wa uchumi katika robo ya kwanza tangu kutokea kwa mdorororo mkubwa kabisa wa kiuchumi duniani wa miaka ya 1930. Hali hiyo inatokana na janga la virusi vya corona, ambapo data zilizotolewa leo zinathibitisha kuwa nchi hiyo inakabiliwa na mdororo wake...
Back
Top Bottom