Nchi ya Australia ipo katika kipindi kigumu baada ya mifumo yake ya kompyuta kudukuliwa na majasusi na kuharibu mifumo yake ya mashule, vyuo na mahospitali
Mashambulizi hayo pia yamevuruga na kuharibu mifumo ya kompyuta za masuala ya biashara na mifumo ya serikali kwa ujumla
Taarifa yaendelea...
AUSTRALIA has hit back at threats from China to punish Australia for daring to question the origin of the coronavirus, after Beijing vowed to wipe £20billion off the Australian economy.
Australian Prime Minister Scott Morrison has hit back at China for threatening to punish Australia...
BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imefanya mkutano na Mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi zilizopo kanda ya Asia na Australasia kwa lengo la kuimarisha mikakati thabiti ya utekelezaji wa kuvitangaza vivutio vya utalii wakati wa kipindi hiki ambapo sekta ya utalii duniani...
A COALITION of 62 countries are now supporting Australia's call for an independent probe to investigate the causes of the coronavirus pandemic that started in Wuhan, China.
But, Australian Prime Minister Scott Morrison has felt the wrath of Beijing, after China threatened to decimate his...
Waziri Mkuu wa Australia, Scott Morrison amesema takribani watu 600,000 wamepoteza #ajira kutokana na janga la #CornaVirus nchini humo
Waziri amesema, japo kasi ya maambukizi inapungua lakini nchi inapaswa kujiandaa kwa ugumu wa uchumi watakao kumbana nao
Chuo Kikuu cha Johns Hopsins...
Waziri Mkuu wa Australia Bw. Scott Morrison akiwa katika mkutano na waandishi wa habari alitangaza kuongeza zuio la wananchi wake kusafiri kwenda nchini Italia ikiwa ni miongoni mwa mkakati wa nchi hiyo kuwalinda Wananchi wake dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Sambamba na hilo, meelezwa kuwa nchi...
Mwanamke mmoja nchini Australia amefariki dunia baada ya kushiriki shindano la kula keki katika siku maalumu ya Australia (Australia Day) mjini Queensland.
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 60 alikabwa kooni na kupoteza fahamu wakati akiwa katika harakati za kushindana katika shindano hilo...
Ndege inayotoa msaada kwa kuzima moto kwa kutumia maji dhidi ya moto wa nyika Januari 10, 2020 huko Penrose, New South Wales, Australia.
Ndege iliyokuwa ikitoa msaada wa kuzima moto kwa kutumia maji kwa minajili ya kukabiliana na...
Ni kawaida kwa Australia kupata majanga ya moto, kwa kile kipindi ambacho kinafahamika kwa jina la fire season, Msimu wa moto. Lakini mwaka huu msimu huu wa moto ni mbaya kuliko yote, hali inayofanya kuvunja rekodi.
Kwa hivi sasa Australia inapambana na msimu mgumu wa moto, unaosababishwa na...
Australia has experienced its hottest day on record with the national average temperature reaching a high of 40.9C (105.6F), meteorologists say.
The Bureau of Meteorology said "extensive" heat on Tuesday tipped the mercury past the previous record of 40.3C set on 7 January 2013.
Taking the...
Ikiripotiwa kwenye blog ya daily “If the proposal was to become law, telling someone you love them when you don’t, pretending to be rich and well connected when you are not, claiming educational achievements that you don’t possess, denying a complex sexual history – say, with same sex partners –...
Shirika la ndege la nchini Australia, Qantas limefanya safari ya majaribio ya ndege za kibiashara moja kwa moja kutoka New York, Marekani hadi Sydney nchini Australia ikiwa ni majaribio ya huduma itakayokuwa ya safari ndefu zaidi ya ndege za kibiashara Duniani.
Safari hiyo iliyohusisha ndege...
Documentary kuhusiana na Julian Assange Muastralia aliyeanzisha Wikileaks www.wikileaks.org
HIS HISTORY
Julian Paul Assange (born Julian Paul Hawkins; 3 July 1971) is an Australian journalist, computer programmer, and the founder and director of Wikileaks. Assange describes himself as an...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.