Ni kawaida kwa Australia kupata majanga ya moto, kwa kile kipindi ambacho kinafahamika kwa jina la fire season, Msimu wa moto. Lakini mwaka huu msimu huu wa moto ni mbaya kuliko yote, hali inayofanya kuvunja rekodi.
Kwa hivi sasa Australia inapambana na msimu mgumu wa moto, unaosababishwa na...