Kuanzisha mradi ni jambo lingine na kuusimamia ukamilike ni jambo lingine!
Nastaajabishwa sana na wale wote ambao hawauoni upiganaji wa waziri wetu wa fedha hasa katika dhamira yake ya kuhakikisha anatumia kila senti katika kumaliza miradi iliyoachwa ambayo mingi ilikuwa chini ya asilimia 15...
Wamachinga wa Mwanza waliandamana leo kupinga maamuzi ya uongozi wa soko la makoroboi la kuwahamisha
Wamachinga hao wametaka ujumbe umfikie Rais Samia kuwa wananyanyasika na kama wanataka kuharamisha umachinga basi wawatafutie kazi nyingine za kufanya
Awamu ya tatu na ya nne tulikuwa na wazir mwenye misimamo mikali kabisa alieitwa John Pombe Joseph Maghufuli, Kwa sasa tuna wazir wa namna hyo hyo anaitwa Hussen Bashe .....
Bashe ni mzalendo , Bashe ni mpambanaji , very young and highly exposed , anayevaa uhusika , mwenye misimamo isiyoyumba...
SOPHIA MJEMA:SERIKALI AWAMU YA SITA IMEDHAMIRIA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO.
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesisitiza moja ya mikakati ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha huduma za afya hasa ya Mama na Mtoto inaendelea kuboreshwa...
Labda Siku atakayomjibu hovyo Boss wake ambayo naiona haiko mbali ndipo ataondolewa katika Wizara aliyoko ili Watanzania tupumzike na Dharau zake, Kiburi chake na Ushamba wake.
Kuna mambo yanafikilisha sana katika nchi za Kiafrika.
Tunaendelea kuangalia kwa makini namna ambavyo kuna uchochoro wa kuliwa kwa mali za umma na watu binafsi unavyoendelea kutengenezwa.
Tumeona kuanzia wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki, sasa hivi kuna watu walitaifishwa mali za umma...
By Luqman Maloto
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha 2020-2021, imehitimisha awamu ya Dk John Magufuli. Ukaguzi ujao utaanza kummulika Rais Samia Suluhu Hassan.
Taifa lilitangaziwa kifo cha Magufuli Machi 17, 2021. Kipindi ambacho bajeti ya...
Majambazi ndio hutukia bunduki kupora na kuua watu, kuteka watu na kudai fidia
Awamu ya 5 ina sifa zote za ujambazi
Walikuwa wakivamia maduka ya kubadilishia fedha na bunduki na kuchukua fedha
Waliweka watu Rumande na kuwaambia watoe mabilioni ndio itawaachia huru
Walipiga watu waliokuwa...
Kipindi Cha awamu ya tano ya jpm ajira zote ziliyeyuka ikawa kila msomi ambaye Hana ajira anafikilia kuwa machinga na rais anafurahia Hali hiyo.
Tukianza na private sector kama mabank, hospitali binafsi au shule binafsi hazikiwa zinataka kuajiri kabisa na zaidi sana zinapunguza hata waliopo...
Nilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano yaliyofanywa tunaona polisi amerejea kwenye kazi yake ya kulinda amani ya mwananchi.
BEFORE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Mpango ameweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Ziwa Victoria kwa mji wa Tinde. Hii ni baada ya miradi mingine mikubwa ya maji kukamilika ikiwemo:
Mradi wa maji Nzega (Igunga Tabora) wenye thamani ya shilingi bilioni 6.72...
Mpaka sasa hatuna cha kukosoa Serikali ya Awamu ya 6. Ndio maana ukija kwenye mikutano yetu tunaizungumzia zaidi serikali ya awamu ya 5 ambayo haipo.
Hata kwenye Kampeni 2025 tutaiponda tutakuwa tunashindana na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo haipo kuliko ya Awamu ya 6 ambayo ipo. Sababu ya Awamu...
Sijui imekaaje hii kisiasa mimi sio mwanasiasa ila naamini nguvu yoyote bila legitimacy ya umma haiwezekani.
Mbowe alikuwa akimwaga sifa kwa Mama Samia uku akiiponda serikali ya Magufuli.
Maoni yake yamewakera sana wananchi na wameonesha hisia zao kupitia kurasa ya Instagram ya jamiiforums...
"Political manipulation with protection and defence"
Chadema iliyolamba asali, ACT iliyolamba asali, NCCR na CUF za Msajili, na vyama vingine mdebwedo, jiandaeni kwa vichekesho. Mimi sio mtabiri ila hali ndio itakuwa hivyo, hii inaitwa awamu mpito na awamu mseto.
Tanganyika haina furaha na...
Iweje wengi wahusishwe na uporaji, unyanyasaji, upokaji ardhi, mali, magari na mengi mabaya kinyume na katiba yetu?
Kwa haya inanishawishi kuona ya kwamba viongozi hawa huenda walikuwa chini ya agenda maalumu na mkakati madhubuti wa sirini including illegal cash collections na kadhalika.
VIFARANGA KWA MAELFU VYACHOMWA MOTO AWAMU YA SITA! UCHOKOZI WA RAIS SAMIA!
1.0 Utangulizi
1) Rais Samia Suluhu Hassan alimkashifu Hayati John Pombe Magufuli hadharani kwa eti kuchoma moto vifaranga. Mbaya zaidi, hii ilitokea mbele ya mgeni, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya.
2) Ndio maana...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) umesema mwakani unatarajia kuanza ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Kasi (BRT) katika awamu ya nne na ya tano.
Mtendaji Mkuu wa Dart, Dk Edwin Mhede amesema mikakati hiyo inakuja baada ya Serikali kupata mkopo wa Sh650 bilioni kutoka kwa washirika...
Kwa mtindo wa Force Account uliofanyika mahali pengi nchini, sasa upigaji mkubwa unadhihirika kwa hata viongozi wa Mikoakuchoshwa.
Siyo rahisi kuyaficha hayo madudu yanayoanza kufichuka kutokana na eti "Kamati za Miradi".
Airport ya Mwanza imejengwa kiholela chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa, na...
Huyu JPM ndiye mtu ambaye alijinasibisha na usafi,kupinga ufisadi, wakati akiwa anaila nchi bila kunawa. Ni vile tu awamu hii Wana kifua Cha kukaa kimya, msikilize Malima, RC Mwanza
Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza.
Ni star tv tu ndio walirusha habari hiyo kama ya mwisho, ishara ya wazi ya chuki kubwa waliyo nayo dhidi ya SSH.
Wahusika wanamtumia Alloyce Nyanda kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.