awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Katazo na Marufuku ya Michango mashuleni hapa Nchini ni Kongole kubwa kwa Awamu ya 5 na ya 6. Michango ilikuwa mzigo kwa wananchi

    Moja ya Vitu ambavyo Serikali inapaswa kupongeswa navyo katika swala la Elimu ukiachilia mbali miundombinu ya madarasa nk basi huachi kabisa kuipongeza serikali hii inayoongozwa na Dk. Samia Suluhu pamoja na ile ya mtangulizi wake Hayati John Magufuli kwa katazo na marufuku ya Michango mashukeni...
  2. ESCORT 1

    Mtaje kiongozi yoyote wa awamu ya tano aliyekuwa maarufu lakini siku hizi hasikiki...

    Mimi naanza na Doto James Mghosha. Huyu alikuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha, alilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana. Kwasasa simsikii kabisa sijui yuko wapi?
  3. D

    Awamu hii kama una silaha usitembee nayo. Utawala wa kambare, kila mtu anasharubu. Unaweza jikuta unaua mtu bure

    Huko barabarani siku hizi madereva wa magari ya serikali wamekuwa wababe kupitiliza! Nchi inaongozwa kwa sheria na taratibu! Usalama barabarani unaongozwa na sheria za usalama barabarani. Lakini bahati mbaya sana madereva wa magari ya serikali na polisi, Trafiki ,wanaUsalama, wanajeshi...
  4. NetMaster

    Wengi tungeswekwa magerezani awamu ya tano wakati Serikali inataka IP adress za accounts zinazoikosoa, tunashukuru JamiiForums mlitusimamia

    Kuna kipindi hapo awamu ya tano palikuwa na hali ya hatari kwa mtandao wa jamii forums kushinikizwa kutoa kutoa namba za utambulishi za internet IP ADRESS za wanachama wanaokosoa serikali. Ili uzielelewe kirahisi ip adress ni kwamba tunavyopiga simu ama kutuma meseji namba zetu huwa...
  5. kavulata

    "Block farming" ni agenda ya kitaifa au ni agenda ya CCM Awamu ya Sita?

    Nianze kwa kusema hata mimi nauona mwanga kwenye kuwekeza kwenye kilimo chenye tija kutokana na ukubwa wa nchi yetu yenye kila kitu kinachofaa kwa kilimo, ufugaji na uvuvi. Hofu yangu kuu kuhusu huu mkakati wa Waziri Bashe na Rais Samia wa block farming nauna kama vile hauna tofauti na ule wa...
  6. B

    Rais Samia kuongoza kilele cha miaka miwili ya awamu ya 6 asubuhi hii

    RAIS SAMIA KUONGOZA KILELE CHA MIAKA MIWILI YA AWAMU YA 6- LEO SAA 4 ASUBUHI HII. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Machi 19, 2023 atakuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha miaka miwili ya Uongozi wa Awamu ya 6 unaoongozwa na yeye mwenyewe...
  7. R

    Je, wasiojulikana walichangia chochote kwenye upatikanaji wa Fedha awamu ya Tano?Je, waliopotezwa thamani Yao inaweza kulinganishwa na miradi?

    Awamu iliyopita kuliibuka kikundi cha wasiojulikana, wanapewa nguvu kubwa kiasi kwamba binadamu walioripotiwa kupotea au kutokuonekana au kutekwa vyombo havikuona umuhimu wakuwatafuta Kwa kigezo kwamba wamejiteka wenyewe. Kisiasa tulielezwa kwamba KAZI NI moja Tu, miradi ya maendeleo. Hakuna...
  8. Akilitime

    Ajira Serikali awamu ya sita

    Wasalaam! Nani anaelewa kuhusu Ajira za SERIKALI ya AWAMU YA SITA? Kuna madaktari wetu wapo mtaani miaka 4 sasa. Kuna walimu wetu waliosomeshwa kwa pesa za wananchi, kwa mkataba wa kurudisha pesa hizo baada ya Ajira, lakini wapo mtaani miaka 4 na zaidi. Kuna wataalamu wetu WA kilimo wapo...
  9. J

    Wakuu wa Wilaya kipindi cha Samia hawachapi kazi kabisaHawachapi kazi kama awamu ya 5

    Kipindi kirefu sana sasa sijasikia DC amemsweka mtu ndani kwa saa 24 au 48 Kipindi cha Magufuli ilikuwa ni kawaida kusikia DC kamsweka mtu ndani sababu kadhaa DC inakuita anakuhoji akiona umemzidi kwa hoja basi anaagiza uwekwe ndani..😂😂😂 Ilikuwa wafanyabishara, wanasiasa, viongozi wa dini...
  10. N

    Serikali ya Awamu ya Sita inajali Wananchi wake

    Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ukweli ni kwamba serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inawajali sana wananchi wake kupitia utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa Bomba la mafuta la Tanzania na Uganda Serikali ya Rais Samia Suluhu imetoa Kiasi cha shilingi...
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Mbowe: Awamu ya Magufuli watu waliporwa mali na fedha

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema miaka saba iliyopita ilikuwa ya bonde la maumivu makali kwa wananchi wote. Alitaja maumivu hayo akihusisha wale waliofungwa magerezani na watumishi waliofukuzwa kwa kigezo cha vyeti feki. Mbowe aliyasema hayo jana mkoani Njombe alipokuwa...
  12. P

    Wanaolia teuzi za Rais Samia wameshaisahau Awamu ya Tano na tuhuma za 'Kanda Maalum'

    Binadamu husahau mapema sana. Nimekisikiliza kilio cha Msomi Kitwanga na nikagundua ni kinyongo halisi kinachokuwa katika maongezi ya kundi zima lililokuwa nyuma ya hayati JPM miaka ile akiwa ikulu. Na maisha yanakwenda kasi sana. Wahenga tunaoazima mara nyingi busara zao wanayo misemo...
  13. Crocodiletooth

    Ipo haja ya kufuatilia na kuirejesha trilioni 1.5 iliyoyeyuka katika awamu ile

    Wana bodi mnaonaje kuhusu suala hili? Hizi ni fedha nyingi mno kwa kweli zilizoibuliwa na mzalendo halisi na CAG wetu, Prof. Assad.
  14. peno hasegawa

    Mikutano ya hadhara imeruhusiwa na Serikali ya Awamu ya Sita ili kudhihaki Magufuli?

    Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini. Ninaomba michango yenu.
  15. benzemah

    Vijana 812 waliochaguliwa kujiunga katika Programu ya BBT-YIA awamu ya kwanza

    Tarehe 23 Februari, 2023 Jijini Dodoma, Wizara ya Kilimo imetangaza awamu ya kwanza ya majina 812 ya vijana waliochaguliwa kujiunga katika programu ya Building Better Tomorrow: Youth Initiative in Agribusiness (BBT-YIA). Serikali kupitia programu hii itawawezesha vijana kushiriki kilimo biashara...
  16. D

    Nashangaa niliwezaje kujenga kipindi cha Hayati Magufuli lakini awamu ya sita najaribu mambo hayasomeki

    Kipindi cha Magufuli cha awamu ya tano pamoja na madili kuwa magumi lakini kilichopatikana kilifaa hadi nikajenga nyumba si haba Nashukuru Mungu. Siyo kujenga tu hata tuvituvitu nilinunua, watoto walikula vizuri, na walipendeza siyo haba. Maduka yangu ya vifaa vya simu kariakoo niliyafunga...
  17. BARD AI

    Serikali: Mfumuko wa Bei za Vyakula na Vinywaji bado ni Himilivu

    OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetabiri kwamba mfumuko wa bei za bidhaa za vyakula na vinywaji baridi unatarajiwa kupungua kwa asilimia moja katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka huu. Pia imesema mfumuko wa bei kwa ujumla unahimilika kwa kuwa bado uko kwenye tarakimu moja. Mtakwimu...
  18. J

    Charles Kimei: Vunjo tunaanza upya. Katika awamu ya 5 kulikuwa hakuna ushirikiano na Serikali. Mrema na Mbatia hakuwaleta maendeleo Vunjo

    ..ni mahojiano na Dar24. Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake. Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo. Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk...
  19. Superbug

    Manusura wa utawala wa awamu ya tano waliokimbilia nje wote ni kama Mwenyezi Mungu amewabariki

    Huwezi amini fadhili za Bwana ni za milele. Manusura wote wa mkono wa chuma wa awamu ya tano waliokimbilia nje ya nchi kuokoa roho zao Mungu hakuwatindikia wao na familia zao. 1. Tundu Antipas Mughway Lissu. Anapanda mwewe daily mitoto iko USA unyamwezini. Yani lisu huyu kawa more international...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Serikali inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri

    Serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri.
Back
Top Bottom