awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Askofu Pengo ana upendo na watanzania? Awamu ya tano wakati wanaokotwa kwenye viroba na kupigwa risasi hakuongea! Ni rafiki mkubwa wa Makonda

    Najiuliza sana kuhusu huyu askofu lakini makosa jibu. Askofu Pengo alikuwa mtu wa karibu sana wa waandamizi wa awamu ya tano. Wakati huo hakufungua mdomo wake kukemea chochote kile, japo baadhi ya watanzania, na pengine waumini wake aliowabatiza na kuwahibiria upendo, waliokotwa ndani ya viroba...
  2. chiembe

    Watumbuaji wa Awamu ya Tano walia njaa, waomba Rais Samia awarudishe kazini hata kwa vyeo vya chini

    Kitwala aliwahi kuwa mkuu wa Wilaya ya Mkoani Tabora, enzi zake alisimamisha kazi makumi ya watumishi na kuwafukuzisha kazi. SSH akapita naye kama mwewe, akawa raia wa kawaida. Kumbe chini ya kapeti akaomba awe Afisa sheria pale PSSSF, cheo Cha chini kabisa kutoka katika ukuu wa Wilaya. Hakika...
  3. Roving Journalist

    Baada ya Serikali kutenga Tsh. Bilioni 1.4 kwa ajili ya Chuo cha VETA Rorya, awamu ya kwanza ya ujenzi yaanza

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi (VETA) cha kwanza kitakachojengwa Wilaya ya Rorya. Chuo hicho kitajengwa kwa awamu mbili ambapo kwa awamu ya kwanza ni ujenzi wa majengo 9. Mkuu wa...
  4. Heavenlight Boman

    SoC03 Utawala bora ndio umebeba mustakabali wa maisha

    Utangulizi TANZANIA ni miongoni mwa nchi inayoendelea barani Afrika, huku ikipambana kujikwamua kiuchumi kwa kupigana na umasikini, ujinga, maradhi pamoja na rushwa. Licha ya kuwepo mapambano hayo lakini bado suala la utawala bora limekuwa changamoto kubwa bila kujua ndiyo limebeba msingi na...
  5. chiembe

    Mama Janeth Magufuli anazidi kung'ara kwa siha na wajihi katika awamu hii ya sita

    Mama Janeth Magufuli kwa kweli amezidi kupendeza, nimefuatilia sana matukio yake katika awamu ya sita, ni mtu mwenye furaha sana, anatabasamu, kwa kweli anaonekana mtu mwenye amani sana, hana mawazo, amesakata dansi pale ikulu chamwino, Mwenyezi Mungu amuweke.
  6. chiembe

    Makusanyo ya Kodi kupanda kutoka trilioni 1.2, mpaka trilioni 2 awamu ya 6, ni nani hawa walikuwa wanakwepa Kodi ya bilioni 800 Kila mwezi?

    Samia Suluhu Hassan katika makusanyo ya Kodi, amepanda kutoka trilioni 1.2 mpaka trilioni 2, swali la kujiuliza, hii Kodi ya bilioni 800 nani alikuwa anakwepa kuilipa? Na je akibanwa? Tunatarajia hatapiga au hawatapiga yowe? Piga hesabu bilioni 800 zilikuwa haziingii hazina zikajenge...
  7. P

    Taifa lililojaa wezi wa kila awamu, ni wafanyabiashara waliochoshwa wenye ujasiri wa kusema hapana yenye kishindo

    Awamu ya sita imefanya kikao cha wazi na wafanyabiashara pale Mnazi Mmoja na kamera za runinga zimeweka ushahidi wote hadharani. Hiki ni tofauti kidogo na kile kikao cha hayati JPM alichofanya na wadau wa sekta ya madini pale ikulu mwaka 2017. Kimeweza kufanyika kwa kutegemea nguvu kubwa ya...
  8. benzemah

    Kilimo, Miundombinu, Uzalishaji Kuipaisha Awamu ya Sita

    Mtaalamu wa wa Uchumi na Fedha, CPA Issa Masoud, ametaja sekta tatu zinazoipaisha nchi kiuchumi, chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Masoud alizitaja sekta hizo kuwa ni kilimo, usafirishaji na sekta ya huduma, ambazo zimeboreshwa kupitia uwekezaji mkubwa unaofanywa na serikali...
  9. Makonde plateu

    From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

    Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni Ijumaa, Aprili 14, 2023 Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura...
  10. N

    Tanzania sasa ina uchumi mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya

    TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi za Rais Samia Suluhu zinaleta mageuzi makubwa nchini Kwa ukuaji huu ni dhahiri kuwa uchumi wa...
  11. benzemah

    Rais Samia na awamu ya pili ujenzi wa sekondari za kata zote nchini

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili. Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
  12. Lugoda lwa chuma

    Sijawahi kuona wabunge washamba wa kamera kama awamu hii

    Nimeangalia matangazo ya bunge kwa siku tatu mfululizo waheshimiwa wengi ambao ni wageni mjengoni, wamekuwa na katabia kama ka mashabiki wa mpira wa bongo wakiwa uwanja wa taifa wanavyofanya pindi camera ikiwazoom kwenye tv la pale uwanjani nadhani mwafahamu wanavyo fanyaga. Kituko hiki...
  13. JanguKamaJangu

    Gachagua adai madeni ya Awamu ya Kenyatta ni chanzo cha mishahara kuchelewa kulipwa

    Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amedai Serikali yao inapata changamoto ya mishahara kuchelewa kwa kuwa Serikali haina fedha kutokana na ukopaji uliopitiliza uliofanywa na utawala uliopita wa Rais wa zamani Uhuru Kenyatta. Watumishi wa umma katika Kaunti 47 nchini Kenya wamekaa kwa miezi...
  14. pantheraleo

    CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

    Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani ========= Na Waandishi Wetu...
  15. kyagata

    TTCL inadai Tsh Bilioni 21 ila haijui inayemdai

    Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki? Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako? -- Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.
  16. chiembe

    Leo ni siku ya aibu sana kwa Utawala wa Hayati Magufuli baada ya Sabaya kukiri alikuwa akitumwa kutekeleza uovu

    Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli. Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi...
  17. R

    Ni kweli awamu hii hakuna utekaji, unyang'anyi na mauaji?

    Kwa uzoefu wangu kwa awamu nilizoshuhudia matukio ya utekaji na matukio mengine karibu awamu zote huwepo tofauti kubwa huwa namna yanavyotekelezwa na kuripotiwa. Nimekuwa napitia comments nyingi sana humu JF ni kana kwamba mambo yamebadilika sana. Je, ni kweli? Awamu iliyopita inatupiwa lawama...
  18. Logikos

    Awamu ya Sita, Vitendo vinaongea zaidi kuliko Maneno

    Tunasema tunataka kukuza ajira kwa vijana, tumepata mikopo kwa ajili ya kukuza Teknolojia. Tunasema Teknolojia ndio kila kitu kwa Dunia ya sasa, tunashauri vijana wajifunze na kuwekeza kwenye teknolojia, ni Vema na Haki, yet tunasababisha kitendea kazi muhimu (bundle) kisishikike; hapo tunajenga...
  19. JackisonDubai

    Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu hamuioni ripoti ya CAG?

    Ni masaa sSasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa Serikali ya awamu ya tano wako kimya. Twitter Zitto Kabwe yuko kimya kabisa au ndiyo kusema asali tamu sana?
  20. Chizi Maarifa

    Kwa hili wapinzani wawe na shukrani sana, awamu ya 5 isingewezekana

    Kwa kweli sasa maisha yamekuwa mazuri na mama amefungua sana Ikulu na Nchi ujumla. Natembea barabarani na mwona na Mbowe naye kwenye mabango. Hii isingewezekana awamu ya Tano. Mbowe ashukuru sana. Sasa atulie tu ale taratibu. Mama ana huruma hawa jamaa walipata mateso sana na shida wakati ule...
Back
Top Bottom