Kushindwa kupo tu, lakini si kwa awamu hii ya sita! Hii ndo imeshindwa kila kona kiasi cha kutia hasira ndugu zangu!
Mtu akiniambia kwamba, awamu hii ipo kwa ajili ya wananchi wote, nitamuona hana akili sawasawa,
Mpaka hapa tulipo, ni kwa lipi awamu hii imefanya hadi tuseme, oooh! Kweli bhana...