azam

  1. Feisal alikimbia kupokea medali ya FA kwenye mchezo wa fainali wa kombe la shirikisho la CRDB

    Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi. Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao wanajitahidi kuwepo hata kama timu imeshindwa kuchukua Kombe. Hata Jana nimemuona mchezaji mmoja wa...
  2. Kama kuna kombe jingine uko la maana yanga waambiwe maana ndio kazi zao hapa mjini

    Ni vyema timu ya wananchi ikajulishwa Kama kunakuwepo na makombe yanayoeleweka ili waende kuyabeba kwani wamethibitisha ubora wao kwenye eneo ilo! Timu kubwa siku zote inabeba makombe na timu ndogo inakamia mechi, Azam ilishachagua kukamia mechi pindi wanapocheza na yanga lakini wakicheza na...
  3. Golikipa wa Azam ndie alistahili kuwa Man of the Match ila kapewa BACCA kwa sababu imepangwa iwe kwa Mzanzibar

    Alieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match. Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar. Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI, MUDATHIRI na BACCA. Ila all in all BACCA hajastahili sisemei...
  4. Nisaidieni namna ya kulipia siku nione mechi ya Yanga akimuua Azam FC kwenye Azam tv

    Wakuu nisaidieni namna gani naweza lipia kifurushi cha siku kwenye Azam tv alafu nione mechi ya final Yanga vs Azam.
  5. Gamond "Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu"

    Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu, najua kesho kutakuwa na upinzani mkubwa na sisi tumejiandaa na hilo Mchezo huo wa Fainali utapigwa katika uwanjwa wa New Amaan Complex Zanzibar saa mbili na dakika 15 usiku Nani kusepa na kombe hilo?
  6. M

    Jhonier Alfonso Blanco striker mpya wa azam ni Habari nyingine

    Nimemuangalia huyu striker mpya wa Azam you tube, natema mate Chino.Hawa Azam safari hii labda wafanyiwe kafara zito, Blanco ana balaa, pengine anaweza kuwa striker bora ambaye hajawahi kutokea hapa nchin, mabeki wavivu na wachovu kama Bacca, Mwamnyeto, Che Malone, Job aisee kama hamtakuwa na...
  7. G

    Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu?

    NB: pesa hizi hazihusiani na ubingwa, kila team inapewa Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu? Ewe mdau wa soka la Tanzania, umeona mabadiliko?
  8. Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC

    Sasa ni rasmi msimu ujao Klabu ya Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC licha ya wote kuwa na pointi 69 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara iliyotamatika leo. Licha ya Simba kushinda mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania lakini...
  9. Je, Azam wamedhamiria kuchukua nafasi ya Simba Klabu Bingwa au wanatuzuga tu?

    Ukiangalia namna viongozi wa Azam na wachezaji wake wana hali ya usimba na uyanga mle. Kitendo cha Azam kufungwa goli tatu na Simba kulileta tafsiri ya aina yake kwasababu Azam walihitahi tu point moja kwa Simba ili kujiwekea uhakika wa kucheza klabu bingwa ila cha ajabu tuliona jinsi Azam...
  10. Hii live coverage wanayofanya Azam imekaa kihujuma hujuma kweli.

    Imagine coverage Haina drone camera hata Moja picha za juu za kawaida kweli kweli Sauti nadhani Kila mtu anaisikia hata Millard Ayo angefanya vizuri zaidi ya hii NB: Mtu ambae Azam imempa uongozi wa picha na video kwa Sasa ni anafeli kwa nyanja zote ukiangalia upandishaji wa picha na video...
  11. G

    Azam TV hawaonyeshi matukio ya sherehe za ubingwa, wamegeuza kiwe kipindi cha kutembeza mic kufanya mahojiano

    Nilijianda kuangalia sherehe hizi za ubingwa lakini inakaribiaa lisaa sasa nachoona ni mahojiano tu, inakera sana. Kipindi kimegeuka kuwa kama cha Seki ama Skonga, tunaemuona ni mtangazaji anazunguka uwanjani kuhoji wachezaji na benchi la ufundi. Leo ni siku ya sherehe za ubingwa, Hakukuwa na...
  12. Azam Media mkanyeni mtangazaji Ngoda kuchanganya mpira na vyama vya siasa

    Hii mechi kati ya Simba na KMC leo imetangazwa na Ramadhan Ngoda muda mwingi katumia kuitaja CCM kila mara ajue kabisa anaharibu kuchanganya mpira na shetani CCM. AKOME
  13. Kwanini TFF mnaipeleka fainali Zanzibar?

    Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika? Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza imepeleka fainali Ireland, au Scotland? Lini mmewahi kuona FA ya Ujerumani imepeleka fainali zao...
  14. M

    TFF hakikisheni Simba inakuwa ya pili ili iungane na Yanga kuiletea nchi heshima. Sio Azam

    Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa. Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani. NAFASI YA PILI KWA SIMBA...
  15. FT: Federation Cup: Azam FC 3 - 0 Coastal Union | 18 May 2024 | CCM Kirumba Stadium

    Tumeanza mechi. Kikosi cha Azam FC kinachoanza Kikosi cha Coastal Union kinachoanza Dakika ya 41 Azam wamepata penalty... Gooooal - Sopu
  16. M

    Azam Fc nafasi ya pili ni ya kwao iwapo wataamua kushinda vishawishi vya simba

    Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu. Mechi 3 zilizobaki ikitokea Azam afungwe au atoke sare ITAKUWA NI UJINGWA ULIOPITILIZA
  17. Azam TV yarudisha tena La Liga kuanzia msimu ujao

    Kupitia ukurasa wao wa Instagram, AzamTv imetangaza kurusha tena ligi kuu ya Hispania ( La liga) kuanzia msimu ujao 2024/2025 Awali AzamTv walikuwa wanarusha ligi hiyo kabla ya kuachana nayo na kisha kurudia tena! Ikumbukwe AzamTv anarusha ligi ya Ufaransa, Saudi, Ujerumani, Tanzania na Kenya...
  18. Naanza kuamini kua Azam ile game aliuza

    Vipi Team turudiane tuanze kurudiana? 😂😂 Mnamfunga Azam mnaanza kusema mrudiane na Yanga. Mliwaza kuomba kurudiana na Yanga kila kona mnapiga pambio leo kimewalamba😂 Nawaza sana nilisema kwa ule mpira wa siku ile wa Azam..wachezaji wachuñguzwe na viongozi pia wa Azam wachunguzwe na TAKUKURU...
  19. S

    Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga

    Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya 2.5M. Wazazi wake wamejengewa nyumba ikiwa ni sehemu ya kumshawishi ajiunge na Azam. Dirisha...
  20. Bashungwa azikutanisha TEMESA na Azam Marine uboreshaji Huduma za Vivuko

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameukutanisha Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Kampuni ya M/S Azam Marine kujadili namna ya kuendelea kushirikiana kwa pamoja kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko katika eneo la Magogoni – Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kikao hicho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…