Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri uendelevu wa huduma ambapo TEMESA inailipa Azam...
Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga. Tangazo gani la namna ile?
1. Tangazo halina vibe lolote.
2. Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo akimfunga Yanga?
Viongozi wa Yanga ingilieni kati otherwise mechi yenu uwanja utakuwa mweupe...
Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari.
Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia lakini Ina watangazaji, waandishi na watendaji ambao wanashindwa kutenganisha kati ya kazi ya kuidhamini...
Azam media wameomba Radhi mashabiki, uongozi wa Yanga Sc na wadau kwa ujumla.
---
Azam Media Limited imepokea mrejesho kuhusu mahojiano yetu na Fiston Mayele, aliyewahi kuwa mchezaji wa Young Africans Sports Club.
Tumejiridhisha kuwa Young Africans Sports Club haikupewa nafasi ya kujibu hoja...
Baadhi ya mikoa Azam Antenna ilipotea hewani. Na Visimbusi hivyo vya Azam vikawa vinaonyesha Channel za Startimes.
Waelewa tatizo ni Error code 69.
Sasa kama ilivyofanyika kwenye simu kwamba simu zote zitumie type C.
Kwanini serikali isiangalie hili suala na kuruhusu watanzania kulipia...
Hii timu ina mavichaa, ni hapo majuzi tu walitoka kuliporomoshea matusi mazito mazito shirikisho la mpira wa miguu barani Africa CAF, kwa kile walichodai uonevu baada ya kulazimisha wapewe goli lisilo halali.😄😀
Hapo jana baada ya Azam TV kuposti mahojiano waliyoyafanya na Mayele, mashabiki hao...
Niende kwenye moja kwa moj kwenye mada binafsi sio mpenzi sana wa kuangalia tamthilia kutokana na kuchelewa kurudi kutoka kwenye majukumu.
Ila kutokana na hiki kipindi cha sikukuu toka pasaka mpk sasa tunasubiria Idd nimepata muda wa kukaa kidogo kwenye tv na familia aisee tamthilia ni moja ya...
Licha ya Ligi ta azam confederation cup kupata mdhamini mpya CRBD Bank na ligi kitambulika rasmi kama CRDB bank Federation Cup, Azam wamegoma kuitambua benk ya CRDB katika ligi hiyo!
TFF ligi wanaitambua kama CRDB bank Federation cup,.
Azam ligi wanaitambua kama Azam federation cup!
je ni i...
Figisu kwa team ya young African zilianza kwenye match dhidi ya azam ile match tulioangalia wote tutakubaliana hapa kuwa azam alipania kuwaumiza wachezaji nyota wa young African kwa makusudi ili kuwakomoa kutokana na mgogoro uliokuwa umeibuka baina ya team hizo mbili na kupelekea yanga kupata...
Ki ukweli sauti ya Mkandara Lufufu ilikuwa na upekee fulani hivi ambao haupati kwa watu wengi.
Ila hivi juzi nimeona tangazo la ngumi kati ya Karim Mandonga na Mada Maugo huku kuna jamaa kaingiza sauti kama ya Lufufu akisimulia namna mabondia hao wanavyotafutana msituni.
Sasa mimi nilikuwa...
Wakuu,, Sasa hivi home kwangu natumia Dishi ya Azam inayotumia docoder ya kawaida..
So naweza kupata Cam card pekee ili niweze kuweka kwenye TV yangu bila kutumia decorder.. maana hii CamCard inasaidia kupunguza matumizi ya umeme kupitia decoder ya kawaida
Wakati wa uchambuzi wa mechi ya Yanga vs Mamelod, mchambuzi Ramadhani Mbwaduke wa Azam tv alitaja bei ya mchezaji Junior Mendieta kuwa ni $4M. Kwamba hiyo pesa ndiyo iliyotolewa na Mamelod kumnunua.
Nimecheki leo,nimekuta Junior Mendieta alitoka Argentina 2020,akaenda Schellebosch ya South...
Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga.
Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa...
Mechi baina ya Yanga na Azam, imezaa majeruhi wawili ambao ni wachezaji muhimu sana kwa Yanga.Wachezaji hawa ni Pacome na Yao Kouassi.
Tunachojiuliza hii ni bahati mbaya tu au kulikuwa na nia ovu?
Anyway, Yanga tujipange tu kutokana na hali halisi kiuelekea mechi yetu na Mamelodi.
Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
Timu la AZAM limejaa wachezaji wa viwango vya Kimataifa, jana tu mziki ulikuwa ule na bado kuna mijitu ya hatari haikucheza, kuna binadamu linaitwa Akaminko halikucheza, kuna jibaba Sidibe halikucheza, Bajana hakucheza, ina michezaji ya hatari iko kule Africa Kusini ikipatiwa matibabu.
Hawa...
Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas.
Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi...
Pacome Zuzu mjanja sana, ameicheki gemu weekend akaona hapana, hawa viungo wa azam Feitoto na Yahya Zayd sio wa nchi hii, wanakaba mwanzo mwisho, mjinga akaona isiwe tabu akajivunja mapemaaaaaa.
Pacome Zuzu umenchekesha sana leo kwa kujivunja mapemaaaa