Kufuatia mastaa wengi kwenda kucheza ligi ya Saudia huko Uarabuni wakiwemo Cristiano Ronaldo, Sadio Mane, Bobby Firmino, Riyad Mahrez na wengineo wengi, hatimaye Azam Media wameamua kurusha ligi hiyo mubashara.
Mwanasoka utaendelea kuwafatilia wachezaji wako pendwa waliopo Uarabuni kupita Azam...