azam

  1. Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Wakuu kwema… Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu. Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu. Mdau mwingine akasema yeye...
  2. AZAM MEDIA mnaweka camera mita 500 kutoka uwanjani mnatuonyesha video replay wachezaji wanaonekana wadogo kama sisimizi, hivi hamuoni makosa yenu?

    Habari wakuu, Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje! Unasubiri replay, napo unaona video nzuri lakini wachezaji wanaonekana kama sisimizi huwatambui vizuri licha ya kuwa...
  3. Mjadala uliopo ni camera za Azam tv kurudia na kushindwa kuona tukio lililofanya refa kutoa red card je camera hizo hazikuweza kuona tukio hili?

    Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au...
  4. M

    Amri Kiemba angalia gemu ya Coastal vs Azam sasa hiv uone kama kweli Azam wataweza kucheza na Simba hiyo February 24

    Azam hawajui hata wachezeje hapa Tanga vs Coastal union, sioni mipango yoyote ya wao kupata goli hapa, they are playing as if they have forced to play, hawa msije kusema Simba wamebebwa maana uwanja mzima namuona Fei na Nurdin t yule mmanga aliyetoka Singida Black stars. Butua butua nyingiiiii
  5. Hawa Watangazaji Wa Azam TV Wanaotangaza Mpira Wa Ujerumani Wanakuwa Tanzania Ama Huko Huko Ujerumani?

    Msaada tutani
  6. Business Performance and Analytics Manager at Azam Media

    WE ARE HIRING! Position: Business Performance and Analytics Manager Education: BSc in Actuarial Sciences, BSc in Mathematics, or a related field. Key Areas: Design Customer Value Management (CVM) and Customer Experience strategies. Increase revenue and customer satisfaction. Develop...
  7. Wachambuzi Ufm ya Azam na radio One ya ITV wanajua kuchekacheka na kukosoana kugha....

    Nimesikiliza radio One leo, (huwa sisikulizi radio) Sasa jamaa wao ni makelele ya MCHEZO SUPA na kupiga simu Kwa wasikilizaji. Yani jamaa anaongea hajamaliza mwingine anaongea na mwingine anaongea. Kwamba wanabishana. Sasa imefuka saa 10 jamaa kaweka UFM YA AZAM TV. Kwanza mchambuzi mkuu ni...
  8. AZAM MARINE mlete vivuko vyenu Mafia

    Kivuko MV. KILINDONI kinachotoa huduma kati ya Mafia Wilayani Mafia na Nyamisati Wilayani Kibiti Mkoani Pwani kitasimama kutoa huduma katika eneo hilo kuanzia siku ya leo Tarehe 12 Februari, 2025 ili kupisha matengenezo pamoja na kufungwa injini mpya. Kivuko MV. KILINDONI kimewasili leo kikiwa...
  9. Azam FC inavyowapa taabu wachambuzi wa Azam Tv kuwatetea

    Wachambuzi na watangazaji wa Azam Tv wanapata taabu sana kuwatetea akina Faisal na wenzake, Timu inabebwa haibebeki wanaulizwa hiyo ni penati au la, wanapatwa na kigugumizi Kuwatetea Azam FC lazima uwe na sifa za uchawa
  10. Azam FC yaiokoa Simba na mashindano ya Shirikisho

    Leo Azam fc- imekubali kipigo kutoka Kwa Pamba Jiji Hiki kipigo kinamaanisha kuwa ametoa nafasi ya Simba kushika nafasi ya pili Kwa maana hiyo Simba hatacheza tena shirikisho msimu ujao Karibu tena Simba CAFCL tokeni huko shirikisho kwenye mashindano ya akina mama
  11. Hawa azam tv wanashida gani lakini wanaiwaza Simba tu

  12. Simba, Yanga na TFF walamba fidia ya jezi feki. Azam walitoa oda jezi zao feki zichomwe moto

    Kama unakumbuka sakata la Oktoba 25, 2023 la kukamatwa Makontena yenye jezi feki za klabu za Simba, Yanga, Azam na Timu ya taifa zilizoingia kimagendo nchini. Wanahabari walikurupushwa usiku wakati wa ukamataji makontena hayo huku Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe akiwa mstari wa mbele...
  13. Wapinzani wa Simba, Yanga, Azam Kome la Shirikisho la CRDB wawekwa wazi

    Droo ya hatua ya 32 Bora ya kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB FEDERATION CUP) imewekwa wazi ambapo Mabingwa watetezi, Yanga Sc wamepangwa dhidi ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union kwenye 32 Bora huku Simba Sc ikipangwa dhidi ya TMA Stars ya championship, huku Azam FC watacheza dhidi ya Mbeya City...
  14. Game ya Yanga na Azam itapigwa Chamazi?

    Jee kama inapigwa Chamazi CCTV Camera zitakuwepo? Gemu itaanza saa kumi na Moja. Ikifika saa Moja itabidi taa za uwanjani ziwashwe, jee wataendelea kumzimia taa yule mchezaji aliyelogwa ili asifunge goli? Yale mavitu yatakuwepo ama watajidunga huko huko ili asinaswe na kamera?
  15. Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?

    Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?
  16. Azam TV Max Kuna utapeli mwingi watu wanasajili kupitia decoder za watu wengine Free of Charge kuangalia vipindi bure azam Media wanahusika.?

    Habari ndio hiyo. Mjumbe hauwawi azam Media. Kuna malalamiko watu wanasajili azam max kupitia namba za visimbuzi ambavyo si vya kwao. Je taarifa hizi wanazipata wapi kama si kwa Wafanyakazi wenu? Naomba hili suala lichukuliwe siriazi huu ni wizi kama wizi mwingine wa kimtandao. Serikali naomba...
  17. Eng Hersi usijaribu kumsajili Djibril Silla wa Azam

    Djibril Sillah amegoma kuongeza mkataba pale Chamazi Mkataba wake unakoma June, 2025 Inaelezwa kuwa Djibril Sillah yupo kwenye mazungumzo na uongozi wa Yanga na uwezekano mkubwa akatua timu ya wananchi msimu ujao Rai yangu Kwa Eng Hersi na viongozi wengine wasijaribu kusajili hili garasa...
  18. Azam tv mmeweza, lakini kuna shida kundi la vijana

    Azam TV Niwapongeze kwa kusaidia kuleta mapinduzi makubwa kwenye soka la Tanzania kwa sasa kila nyumba ina shabiki wa mpira kama si familia nzima, Mnastahili pongezi. Lakini hofu yangu ni juu ya kuongezeka kwa vijana wavivu wanaopenda kuangalia mpira muda wote wakimaliza NBC PL wanaenda Laliga...
  19. Ulega Azindua AZAM SEA TAXI, Awataka Wavuvi Kutotupa Nyavu Hovyo

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka wananchi wanaojishughulisha na uvuvi maeneo ya Kigamboni kutunza mazingira na kutotupa nyavu katika njia inayopita vivuko ili viweze kutoa huduma ya kuvusha wananchi kwa ufanisi na ubora. Ulega ametoa agizo hilo leo Januari 23,2025 jijini Dar es Salaam...
  20. Azam mkimalizana na matamthilia yenu ya Ottoman mtuwekee na za historia ya Roman, Byzantine, Macedonia ya Alexander, tofauti na hapo mna jambo lenu

    Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman. Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha watu traditions zao. Najua mtaanza na stori za kutengeneza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…