baba wa taifa

  1. Mohamed Said

    Nyerere Day: Baba wa Taifa katika vitabu

  2. L

    Hayati Baba Wa Taifa amewahi kusema kuwa Hatuna mjomba wa kuja kutujengea nchi yetu

    Ndugu zangu napenda niwaambie kuwa Tanzania itajengwa na sisi wenyewe watanzania, Hatuna mtu atakuja kutujengea nchi yetu, Katika kufikia ndoto ya Tanzania tuitakayo na kuwa Kama ulaya Ni lazima tufahamu kuwa Kuna kipindi Cha mpito. Lazima tupitie maumivu Kama walivyo pitia mataifa ya ulaya...
  3. L

    Hatimaye Rais Samia atimiza ndoto za Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere

    Ndugu zangu zilikuwa ni ndoto za baba wa Taifa kuijenga Tanzania yenye usawa na haki kwa watu wote, Tanzania ambayo kila mtu alikuwa ana nafas sawa katika kuijenga na kunufaika na matunda yake, Tanzania iliyokuwa inaheshimika na mataifa yote bila kujali uchumi wetu. Katika kuifikia azima hiyo...
  4. J

    Baadhi ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambavyo ni magodauni na magofu

    Hivi ni baadhi tu ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bahati Mbaya vingi ni magodauni na magofu vijana inawezekana mmesahau 1. TANGANYIKA PACKERS - usindikaji,upakiaji na usambazaji wa nyama ya ng'ombe. Kiwanda hiki kilikuwa Kawe na kingine mkoani...
  5. TODAYS

    Account yenye jina la Baba wa Taifa yaibuka Twitter, lengo lake ni nini?

    Amani kwako ndg mdau. Kuna account naiona tweeter inaonekana haina hata wiki ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere cha kushangaza naona imelipiwa as promoted account. Sijaelewa ipo chini ya nani au imeanzishwa na kuendeshwa kwa makusudi gani? Kuna mdau humu anayefahamu malengo...
  6. Mohamed Said

    Baba wa Taifa akemea udini

    BABA WA TAIFA AKIKEMEA UDINI Mjamaa wa kisasa anamnukuu Baba wa Taifa katika suala la udini msome hapo chini: - Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa Ni kiongozi aliyepiga vita vikali kuhusu ubaguzi wa kidini au kikabila ndani ya taifa letu la Tanzania. - Baba wa Taifa...
  7. Mohamed Said

    Kitabu cha baba wa taifa katika mjadala Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam 26 Mei, 2022

    Kulia Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman Yahya, Dr. Ng’wanza Kamata katika mahojiano na Mohamed Said (out of sight) kuhusu Mwalimu Nyerere wakati wa utafiti wa kitabu chake.
  8. Escrowseal1

    Katika kumuenzi Baba wa Taifa, tuyaangazie mashirika ama taasisi zinazofanya vizuri na yale yanayofanya vibaya katika suala zima la rushwa

    Mwalimu Nyerere hakupenda rushwa na Watanzania wengi hawapendi rushwa japo kuna taasisi za serikali zimeendekeza rushwa. Kwa kuwa JF ipo kwa ajili ya mawazo huru, naomba kwa uhuru wa mawazo yetu kwa uzoefu wa kila mtu tuzijadiri taasisi zetu kwa point mbili. Moja unadhani ni taasisi ama...
  9. Mohamed Said

    Miaka 100 ya Julius Kambarage Nyerere; Mjue Baba wa Taifa

  10. Mohamed Said

    Miaka 100 ya Baba wa Taifa Mwalimu JK Nyerere: Tumkumbuke pamoja baadhi ya aliokuwa nao

    Nimekaa toka asubuhi na mapema nafikiria vipi tutamkumbuka Mwalimu Nyerere katika karne moja lakini pamoja na yeye tuwakumbuke wenzake ambao baadhi yao hawajulikani kabisa. Nikaingia shambani kwangu kuangalia labda ninaweza kuchimba shina moja la muhugo nikachemsha ninywee chai. Shamba langu...
  11. Mohamed Said

    Kwanini Baba wa Taifa Mwalimu J.K. Nyerere hakunyanyua kalamu kuandika maisha yake?

    KWA NINI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE HAKUNYANYUA KALAMU KUANDIKA MAISHA YAKE? Naikumbuka siku hii kama jana vile. Niko nje ya mipaka ya Tanzania ni nyakati za usiku niko kwa rafiki yangu mmoja ambae ajabu sana yeye ananiambia kuwa aliona kitu katika maandishi yangu toka enzi...
  12. Mohamed Said

    Nyumba ya Ahmed Adam aliyofikia Baba wa Taifa wakati wa kupigania Uhuru inakarabatiwa

    NYUMBA YA AHMED ADAM ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE MIKINDANI INAKARABATIWA Mwaka ulikuwa ni 1955 na katika mkutano mkuu wa kwanza wa TANU ulifanyika Ukumbi wa Hindu Mandal Dar es Salaam Lindi iliwakilishwa na Salum Mpunga na Ali Ibahim Mnjawale. Baada ya mkutano wawili hawa walibakia kwa ajili ya...
  13. Mohamed Said

    Makosa yanayojirudia ya Baba wa Taifa na historia ya TANU

    Ndugu zangu, Dudu kaandika hayo hapo chini na mimi nimeona nifungue uzi mpya niweke maelezo katika hayo maneno yake ili kusahihisha makosa ya historia ya TANU ambayo yamekuwa yakijirudia sasa nusu karne: MAKOSA YANAYOJIRUDIA KATIKA HISTORIA YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE NA...
  14. GHIBUU

    Wazanzibar hatuutaki Muungano na Tanganyika

    Kwa Wazanzibar walio wengi leo hii ni kuona kwamba Zanzibar kama Nchi inajitawala wenyewe huku ikiongoza tawala zake kama vile historia ya kweli unavyotufahamisha, jinsi ya utawala halali wa kIzanzibar kabla ya kuja mapinduzi ambayo yamepelekea athari kubwa miongoni mwa Jamii ya Wazanzibar hadi...
  15. U

    Rais Samia akiwa na kitukuu cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere

    SSH amemtembelea Mama Maria Nyerere leo nyumbani kwake leo December 6,2021
  16. H

    Mwalimu Nyerere na sifa zisizobishaniwa

    Bahati mbaya vijana wengi humu JF hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Nyerere. Mimi nilibahatika nyakati hizo nikiwa shule ya msingi, kiongozi wa chipukizi, nilipeana mkono naye kara moja. Na mara ya pili na ya tatu l, akiwa amestaafu. Nilipata kuvisoma vitabu vyake vichache, na wakati...
  17. Baraka Mina

    Rais Samia Suluhu ashiriki katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Mwalimu Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika kilele cha mbio maalum za mwenge wa uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere katika uwanja wa Magufuli - Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Oktoba 2021.
  18. Mohamed Said

    Makazi ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kujiuzulu ualimu 1955

    ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955 Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia. Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
  19. Mohamed Said

    Nyumba aliyoishi Baba wa Taifa baada ya kuacha kazi ya Ualimu 1955

    ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955 Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia. Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
  20. Mohamed Said

    The Torch on Kilimanjaro: kitabu cha watoto kuhusu Historia ya Baba wa Taifa

    "THE TORCH ON KILIMANJARO" KITABU CHA WATOTO KUHUSU HISTORIA YA BABA WA TAIFA Miujiza ya Mwenyezi Mungu haiishi. Maofisa kutoka CCM Dodoma walikuwa wamemaliza mazungumzo na mimi kuhusu mengi katika historia ya Mwalimu Nyerere, TANU na mambo mengi yaliyotokea wakati wa kupigania uhuru wa...
Back
Top Bottom