baba wa taifa

  1. Shujaa Mwendazake

    TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

    Sophia Nyerere, ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Marehemu Sophia ni Mtoto wa John Nyerere. ==== SOPHIA Nyerere, ambaye ni mjukuu wa Baba wa...
  2. Mohamed Said

    Upande wa Pili wa Hotuba ya kuaga ya Baba wa Taifa ukumbi wa Diamond 1985

    UPANDE WA PILI WA HOTUBA YA MWALIMU YA KUAGA Kiasi naogopa kufanya uchambuzi wa hii hotuba kwani kuna mambo nadhani Mwalimu Nyerere kasahau au hakupenda watu wayasikie. Mwalimu hakupokelewa na wazee alipokelewa na Abdul Sykes 1952 tena si New Street kwenye ofisi ya TAA bali nyumbani kwake Mtaa...
  3. B

    Bhoke Nyerere ni mtoto wa nani kwenye familia ya Hayati Baba wa Taifa?

    Mjukuu anayeambatana na Mama wa Taifa kwenda kutoa pole kwa Mama Janeth Magufulu yamkini ni mjukuu mwenye malezi na makuzi Kama ya mama wa Taifa. Namzungumzia Bhoke Nyerere aliyeambatana na Mama Maria Nyerere kwenda kwenye familia ya Mama Janeth Magufuli kumkabidhi zawaidi ya kitenge lakini pia...
  4. Mantombazane

    Baba wa Taifa angekuwepo angeyasema haya kuhusu Bunge

    Baba wa taifa Mwalimu Nyerere alikuwa ni jasiri sana kuwanyooshea vidole viongozi wazembe na wasiojielewa huku akitumia maneno makali bila woga muda wowote wanapomkera au wanapofanya ndivyo sivyo. Alitumia maneno kama wahuni, wapumbavu, wajinga nk. Mfano angekuwepo leo angesema bunge letu...
  5. Z

    Nataka niunde chama ambacho kitawaenzi hayati Baba wa Taifa JK Nyerere na hayati JP Magufuli

    Baada ya kuona wanaodhihaki kazi nzuri aliyoifanya Hayati JP Maguli iliwemo miradi mikubwa ,kutufikisha uchumi wa kati ,kutatua shida za wanyonge waliyokuwa wamedhulumiwa haki zao,kupambana na rushwa nk nataka wazalendo tuunde chama ambacho misingi yake itakuwa ya uzalendo uliyoonyeshwa na...
  6. Victor Mlaki

    Kipindi tunalegeza kamba ili kuvuta wawekezaji wa nje tuukumbuke wosia huu wa Hayati Baba wa Taifa

    Tanzania tuna hazina kubwa sana ya wosia ambao umegusa karibu kila eneo ambalo leo hii tunaouona kama changamoto kwa Taifa. Mimi ni muumini wa falsafa ya ujamaa wa Kiafrika na katika maisha yangu ninatembea na vitabu viwili vikubwa yaani Biblia na Ujamaa. Kitabu cha "Ujamaa" cha mwaka 1968...
  7. Just Distinctions

    Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

    Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania. Tukirejea kwenye mada, aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mnapomuita Magufuli baba wa Taifa, mnakuwa mnamaanisha nini?

    Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini? Je, Taifa Lina mababa wawili? Je, Nyerere kawa babu wa Taifa? Je ,Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu? Naombeni tusaidiane majawabu
  9. M

    Tusijasahaulishe Kimakusudi japo tupo Majonzini, ila Baba wa Taifa Tanzania ni Mmoja tu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Waliomfuata ni..... Mzee Ali Hassan Mwinyi: Baba wa Mageuzi Tanzania. Hayati Benjamin William Mkapa: Baba wa Uchumi Tanzania. Mzee Jakaya Mrisho Kikwete: Baba wa Mapinduzi ya Kilimo Tanzania. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli: Baba wa Utekelezaji wa Miundombinu Tanzania. All - Rounder ( alias...
  10. Swahili AI

    Je, kuna makala yoyote ya Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?

    Habari wana JF, Hivi kuna yoyote aliwahi kuona makala (documentary) inayohusu maisha ya Muasisi wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Mimi binafsi sijawahi. Ila ingekuwa fursa nzuri yakaandaliwa kwa ajili ya vizazi vijavyo na uzuri zaidi mkewe mama Maria bado yupo anaweza akachangia mengi.
  11. A

    Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

    Wadau, Huu ni uzi wa swali. Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake. Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake...
  12. T

    Miaka 21 baada ya kifo cha Baba wa Taifa, mgombea yupi anabeba maono ya Mwl. Nyerere?

    Leo ni takribani miaka 21 tangia kifo cha muasisi wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Tangia kifo cha Baba wa Taifa mnamo Oktoba 14, 1999, Swali kubwa kwa watanzania lilikuwa ni 'Nani atabeba maono ya Baba wa Taifa katika kuiendeleza Tanzania?.' Huu ni mwaka wa uchaguzi na watanzania...
  13. N'yadikwa

    Walioandika Kitabu cha Biography ya Hayati Baba wa Taifa wamekosoa sana. Sidhani kama hiki kitabu kilihaririwa

    Mathalani ukisoma Ukurasa wa 70 na 71 wa Volume 1 kilichoandikwa na Saida kuna statements ngumu ambazo nawasihi mkasome wenyewe na nisingependa kuziweka hapa kwa sababu ya masuala ya Haki Miliki nk. Kwa kweli nimekatishwa tamaa kwa sababu kitabu hakitasaidia kupasisha historia nzuri ya waasisi...
  14. GENTAMYCINE

    CCM kama kweli tunataka 'Kumuenzi' vyema Hayati Mzee Mkapa na hata Baba wa Taifa tukae mbali na 'Unafiki' huu wa Kidemokrasia

    Taasisi ya Tulia Trust imetoa mkopo wa bodaboda 21 zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 50 kwa vikundi mbalimbali vya waendesha bodaboda katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Nipashe. ----------- Ni Mpumbavu (Popoma) tu pekee ndiyo anaweza asigundue kuwa hii tayari ni 'Pre Campaign' ambayo huyu...
  15. Superbug

    Mzee Mwinyi alikuwa na nafasi ya kuwa Baba wa Taifa wa pili baada ya Nyerere ila maboko yake yalimkosesha hadhi hiyo

    Ni Jambo lililo wazi kwamba Mzee Mwinyi ni mtu mwema mpole mnyenyekevu na mkarimu asie na makuu. Alipaswa kuwa na nguvu baada ya Mwalimu kuondoka kwasababu ya kigezo cha seniority list. Lakini maboko yake yalimkosesha hadhi hiyo na kupewa Mkapa. Hebu fikiria mfano huu mdogo. Eti yeye Mzee...
  16. Ng'wamapalala

    Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Katika mwendelezo wa kupinga mawazo na mfumo wa utawala wa Mwl. Nyerere. Tundu Lissu amepasua jipu ambalo wengi huwa wanaogopa kulipasua pale aliposema kuwa Mwl. Nyerere alikuwa ni "msanii wa kisiasa" kwa sababu aliyokuwa anayasema siyo yale aliyokuwa anayatenda kuhusiana na suala la Muungano...
  17. G Sam

    Ipi faida ya Mzee Alli Hassan Mwinyi kuwepo Dodoma kama Baba wa Taifa aliyebakia?

    Upo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi. Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi. Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye...
  18. Jidu La Mabambasi

    Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

    Tundu Lissu na rekodi yake ya kisiasa, ati sasa naye anautaka Urais. ............... APR 17 EDWIN MTEI ASIKITISHWA NA ALAANI KITENDO CHA TUNDU LISSU KUMTUKANA BABA WA TAIFA, MWL. NYERERE Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na...
  19. P

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji mkubwa wa damu. Baada ya mapinduzi kufanikiwa John Okello [kiongozi wa mapinduzi] alichukua jukumu...
  20. A

    Julius K. Nyerere: Ikulu ni pahali patakatifu, sio pango la wanyang'anyi

    "Mimi sikuchaguliwa na watanzania ili niifanye Ikulu kuwa Pango la wanyanganyi" Pili naomba tujadili hali ya ikulu yetu, je ni pango la wanyanganyi au ni mahali patakatifu?
Back
Top Bottom