Shikamoo babu
Salaam kutoka duniani
Tunapoazimisha miaka 20 toka mwenyezi mungu akuvune baada ya kumaliza kazi tunasikitika sana kuona tulio wengi tumesahau uliyotuasa, tumesahau wosia wako.
Nakumbuka pale ulipoona uhuru wa Tanzania si uhuru kama nchi nyingine za afrika haziko huru...