1. Leeds University Scholarship 2023/2024
Programmes: Accounting and Finance
Country: England
Level: PhD
Financial coverage: Fully Funded
Deadline: May 31, 2023
Apply: Leeds University Business School Accounting and Finance Department Scholarship 2023/24
2. University of Oxford Scholarships...
A Bachelor of Science in Social Protection can open up a wide range of career opportunities in various fields related to social work, social welfare, and social development. Here are some areas where graduates with a Bachelor of Science in Social Protection can work:
1. Social work: Graduates...
Mfano kwenye tangazo la ajira linataka Data Analyst ila kwenye qualification wameandika Bachelor degree ila mimi nina Masters
Je, nitakuwa disqualified kwa ku orodhesha kuwa ngazi yangu kubwa ya elimu ni Masters au katika kufanya maombi nisiseme kuwa nina Masters nionyeshe tu nina Bachelor...
Habari zenu wakuu,
Poleni na majukumu,
Moja kwamoja kwenye mada, Kuna bwana mdogo kaniomba ushauri nimsaidie lakini sio mjuzi zaidi nikaona NIVYEMA kuliweka hapa JF.
Huyu dogo kasoma diploma ya Medical laboratory, na mwaka huu kaomba mkopo elimu ya juu akaendelee, chuo alichoomba ikawa ni...
Salam wakuu
Nina project kwenye eneo hilo nahitaji mwenye elimu hiyo tutete. Njoo PM only for the qualified one nje ya hapo usipoteze muda ni swala serious. Mwenye uzoefu wa miaka 2 kwenye ajira husika na kuendelea atafaa zaidi.
Naulizia kuhusu kozi ya bachelor of science in housing and infrastructure planning ndo ikoje yaan inahusu nini na je unawezq jiajiri, mwenye ujuzi msaada wakuu
Nimechaguliwa chuo Cha institution of social work kozi ya human resources nataka kubadilisha nisome kozi ya labour relation na public management naomben ushauri wenu niende ipi Kati ya hizo au nibaki na hiyo niliochaguliwa
Hellow wapendwa samahan na poleni na majukumu
Nilikua napenda kuuliza hiyo kozi tajwa hapo juu Bachelor of science in chemistry ni ualimu au ni nini??
Yeyote Mwenye kufahamu anifamishe msaada
Kwema wakuu.
Ebana ndugu yangu amechaguliwa kozi tajwa hapo juu chuo cha sokoine pale Morogoro, naona Kama hajaridhishwa hivi na hii kozi, lengo lake lilikua asome MD ila vyuo vyote vya medicine alivyoomba hawajamchagua sababu ya ushindani kuwa mkubwa sana mwaka huu. Matokeo yake ya kidato cha...
Wadau habari za leo, naomba mwenye upeo wa kuelewa zaidi anipe ujasiri wa kuendelea na adhma yangu ya kwenda kusoma kozi tajwa hapo juu.
Mimi nipo kwenye system kama CO sasa mwaka huu wa masomo yaani 2022/2023 kuna kozi imeanzishwa bachelor yake ilikuwa ngazi ya Masters tu pale Mzumbe sasa...
Habari wanajamii
Nimekuwa katika wakati mgumu baada kumaliza masomo yangu level ya bachelor degree tangu mwaka 2015 kwani sijawahi pata ajira yoyote ile
Kwa sasa nina miaka 32, nauona uzee huu hapa unasogea ikiwa sina mali, mke wala kitu cha thamani ninachomiliki na mbaya zaidi naishi nyumbani...
The hardest part about us breaking up is letting go of the last piece of my heart. The saddest part isn’t that we never talk and love anymore, it’s that we never talk and love like we used to. Never be sad because it’s over, just be glad that it was once yours and beautiful.
And look at us as a...
Jamani naomba kufahamishwa kwa anayeifahamu kwa ukaribu course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology.. mtu aliyesoma hii course ni kwamba anakuwa Sociologist na Economist kwa wakati mmoja?
Naomba majibu tafadhari
Mdogo wangu amechaguliwa chuo Cha TIA kwenye course business in admistration je kwa wale wanafahamu hiki chuo je ni sahihi kwa mdogo kusomea na vip kwenye wa Ajira kinazingatiwa kwa upande wa hii course
Habari za muda huu wanajamvi.
Naomba kufahamu zaidi kuhusu elimu tajwa hapo juu.
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2022,nimesoma tahasusi ya HKL.
Hivyo naomba mwenye ufahamu anipe dondoo kuhusu elimu hii.
Ahsanteni.
Habari za humu ndani wakuu, kuna kozi imeanzishwa chuo kikuu cha Mzumbe kwa ngazi ya Bachelor kozi tanjwa hapo juu.
Mimi ni Clinical Officer mwajiriwa wa serikali ninawaza kwenda kuisoma kozi hiyo mwaka wa masomo 2022/23 ila sijui upana wake na kana nikirudi recategorization yake kwa sasa ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.