Naombeni msaada.....nasoma chuo X hapa tz , Ni finalist na nnatakiwa kufanya final year project ili niwe awarded degree ya computer science....
Changamoto ipo hivi , tulipebdekeza project title nyingi Sana na baadae moja ikapita,
Title ilikuwa chronic desease management information systems...
Habari wanajukwaa naamini humu kuna watu wa aina Tofauti Tofauti na wengine wamepata kazi zao kupitia hili jukwaa.
Hivyo nakuja mbele yenu kuomba Nafasi au Connection itakayonisaidia Kuweza kupata Ajira ...
Elimu yangu NI BACHELOR DEGREE IN INFORMATION TECHNOLOGY.
nimespecialize kwenye...
Habaro wanajamiiForums.
Nina bachelor ya sociology natafuta kazi yoyote hata ya kuwa counter bar ili niweze kulea watoto
Tafadhali Kama una connection, nipo Mbeya nisaidie
Mimi ni mhitimu wa kozi hii, nilisomea Chuo kikuu cha Rwanda (UNIVERSITY OF RWANDA) Kwa miaka 4 Na mwaka mmoja wa Internship. Nilihitimu mwaka 2020 .Baada ya kumaliza niliomba kufanya Internship hospitali ya Mnazi mmoja -Zanzibar kupitia wizara ya Afya na MCT nikamaliza mwaka Jana 2021...
Wanabodi, naomba kujua hivi vitu wanatumia vigezo gani kufanyika?
1. Nmeshaona jamaa ana Diploma then Masters, hakupiga Bachelor Degree.
2. Nmeona watu wana Bachelor Degree then wana PhD, hawakufanya Master Degree(mfano Prof. Ndalichako n Prof. Mwandosywa)
Swali langu kuweza kutoka Diploma...
Wazee wa "ceteris peribus" habarini.
Bila kuwapotezea muda naomba kujua endapo kama bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) huwa wanatoa mikopo kwa wanafunzi wanaosomea bachelor of accounting and finance mathalani waliopitia diploma ya accounting and finance? Au wanufaika wa mkopo...
Mzuka wanajamvi!
Kuna mtanzania yoyote kweli amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate degree courses kwenye hivi vyuo kweli? Oxford, Cambridge, Havard, MIT, YALE, Stanford na John Hopkins?
Nasisitiza UNDERGRADUATE DEGREE siyo masters ama PhD.
Na kama yupo/wapo anastahili tuzo.
Habari kaka na dada,
Naomba kujuzwa kuhusu hii course ya Accountancy with IT ambayo inatolewa IAA na IFM vp kuhusu soko lake la ajira na je ipi bora Kati ya BA. In Accountancy na hyo BAIT.
Karibuni tujuzane.
Serikali mara kwa mara imekuwa ikiwahimiza wanafunzi kusoma kwa bidii na kufaulu lakini jambo la kusikitisha unapofika wakati wa ajira serikali hiyo hiyo inawabagua tena.
Tumeona kwenye ajira za polisi wanaotakiwa ni wale ambao hawakufanya vizuri kwenye mitihani ya kidato cha nne. Yaani...
I am in dire need to get clarification before making decision where to join
Niko kwenye dilema huyu kijana anakwenda kusoma nini na applicability yake kwa Tanzania.
Inahusu nini hasa maana siyo pure engineering classical one .
Anapata utaalamu gani na position yake katika employment industry...
habari za wakati huu kila mmoja,ndugu zangu naomba kujuzwa hivi kwa matokeo haya EED ya PCB respectively na D ya BAM(basic applied mathematics) kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote tuu ile?! na kama upo huo uwezekano je ni vyuo vipi na kozi zenyewe ni zipi?! msaada tafadhali...
Ndugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm
Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kazini🤗
Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo au ushauri katika kuchagua kati ya hizo kozi mbili nilizo zitaja hapo juu
Kijana wetu amepata bahati ya kupata nafasi katika hizo kozi mbili hapo juu lakini nimeshindwa kumshauri achague ipi kwa vile sina uelewa mzuri wa hizo kozi ,
Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye bachelor, masters na PhD kwaajili ya kuchukua nchi 2025.
Tafuteni wachumi, wanasheria, wanasayansi, mainjinia, wahasibu, watu wasiasa, wanahistoria wenye bachelor, masters, PhD, waandikisheni, jazeni kwenye chama.
Fanyeni hivyo, nendeni vyuoni andikisheni...
Habarini za mchana,
Naomba msaada wa mawazo juu ya hii kozi hapo juu nimechaguliwa UDOM, nikisoma hii kozi kuna uwezekano wa kuwa mwalimu wa Biology au inahusika na nini hasa nje na ualimu.
Habari zenu ndugu yangu amechaguliwa kusom bachelor of Medical Lab Muhimbil na Bachelor of Architecture UDSM kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.