bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kariakoo ni kitovu cha nchi ya Tanzania kibiashara lakini uhuni ni mwingi bado

    Wamekuwa wakitusaidia kupata vitu kwa bei nafuu lakini pia wamekuja na ubunifu mwingine wa usafirishaji kwa njia inayoitwa CARGO ni nzuri na ya haraka.. Pia wanajitahidi kiuaminifu kwa asilimia kubwa sasa, hela inakuwa ktk eneo salama Ila dosari ipo kwenye utumaji wa mzigo hasa watu wa mikoani...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Bado ni baba yangu daima!!

    Katika maisha yapo mengi ya kujifunza kila uchao. Ni ijumaa moja napata rafiki kupitia instagram ambae ni rafiki wa rafiki yangu mkubwa na kwa kuona kwamba mimi ni rafiki wa rafiki yake pia anakua nwepesi katika kujibu na kutoa mawasiliano ya simu. Sio kitu chepesi kwa upande wangu kutoa...
  3. JamiiForums Tanzania Haya chukueni hii ikiwa bado mbichi na mbaki nayo, kwani kwa aina ya Mgeni Rasmi aliyeandaliwa kwa Mchezo ujao hakuna wa Kuthubutu Kugoma / Kumgomea

    Si wanajifanya wote Watoto wa Mjini sana na kutaka kuipelekesha TFF sasa Mchezo wao ujao Mgeni rasmi ni Rais Samia.
  4. JamiiForums Tanzania Mtangazaji na Mchambuzi Hans Rafae wa CROWN FM jiangalie sana kwani Wewe bado ni Kijana na una Safari ndefu utajiharibia

    Haiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni Rafiki yako kutokana na Kujipendekeza Kwako Kwake wala huisemi. Umejaa tu Unafiki, Wivu na Chuki kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Zimwi la tukio la Mwanza bado linaiandama Simba

    Watu wengi hawana upeo wa kuconnect dots kwa hiyo ngoja niwasanue jambo. Kuna lile tukio lililotokea kule Mwanza lililomuhusisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza aliyejaribu kutumia mamlaka yake vibaya hadi kuzua taharuki kubwa. Tukio lile halikuwapendeza baadhi ya watu wanaodhani na kuamini wana...
  6. JamiiForums Tanzania Siku CCM Ikiwa Mpinzani: Sehemu ya Pili

    Siku zilisonga mbele, lakini bado taifa lilikuwa katika msisimko. Mijadala ilikuwa moto, kutoka vijiweni hadi bungeni. CCM sasa walikuwa wakifanya kile ambacho walikuwa wakiwahi kibeza—kupinga sera za serikali kwa nguvu zote. Katika ukumbi wa Bunge, Mbunge mmoja wa CCM mpya, ambaye zamani...
  7. JamiiForums Tanzania Msigwa: Ukimwi bado upo, Vijana wenzangu acheni kutembelea Rim

    Serikali imewatoa hofu watanzania wote wanaoishi na virusi vya ukimwi, kuwa dawa zipo na serikali tayari imesha andaa bajeti ya fedha zitakazo tumika kuhakikisha watanzania wanapata dawa hizo. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna Waafrika wanaamini wataenda mbinguni kwa kwa kubatizwa na kusilimu majina ya kizungu na kiarabu?

    Hivi bado kuna Waafrika wanaamini wataenda mbinguni kwa kubatizwa na kusilimu majina ya kizungu na kiarabu? Ujinga ukizidi ni dhambi!!
  9. JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Samia ni za kuonesha ukwasi wa Serikali kwenye anasa? Hana habari na Trump kukata pesa? Full anasa

    Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo. Hii ni nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Newton aligundua laws nyingi za physics kabla hajatimiza miaka 26, Wewe hapo upo katika 30s ila bado unavuta mlango ulioandikwa "PUSH". 😂

    🎓Kitu ulichogundua kikubwa ni namna ya kumbalance mtoto mzuri pale ukiwa unampiga doggy ya kulala dushelele yako isichomoke and you are very proud of it kwa maana hadi leo haijachomoka.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Bado tupo utumwani? kwanini tunasita kubadili jina la jiji kubwa zaidi Afrika mashariki

    Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ? Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said Kabla ya hapo, eneo hilo...
  12. JamiiForums Tanzania "SGR Imefika Mpwapwa, Lakini Mizigo Bado Inapiga Kambi Bandarini!"

    Kutokuiunganisha Bandari ya Dar es Salaam moja kwa moja na mtandao wa SGR ulikuwa uamuzi usio na mtazamo wa mbali, na ni moja ya makosa makubwa ya kimkakati katika mradi wa reli mpya. Je, Kulikuwa na Ukosefu wa Maono? Ndiyo, kwa sababu bandari ndiyo chanzo kikuu cha mizigo ya transit, na reli...
  13. G

    JamiiForums Tanzania INTERVIEW KADA YA UALIMU BADO SIYO HAKI

    Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikiria kwenye angle hii kemia oral 2800 wanahitajika 541 Bailojia oral 2200 wanahitajika 511 Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya 5000, hesabu rahisi ni 1 ya watano yani hata ukienda oral uhakika wa kuajiriwa inabaki kuwa kudra za...
  14. G

    JamiiForums Tanzania INTERVIEW KADA YA UALIMU BADO SIYO HAKI

    Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikilia kwenye angle hii kemia oral 2800 wanahitajika 541 Bailojia oral 2200 wanahitajika 511 Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya 5000, hesabu rahisi ni 1 ya watano yani hata ukienda oral uhakika wa kuajiriwa inabaki kuwa kudra za...
  15. JamiiForums Tanzania Ninahuzunika sana tanzania yangu ni nchi tajiri lakini viongozi wa ccm bado wanahubiri sisi ni masikini lengo ni kutupumbaza

    Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani. Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

    1. Hakuna madeni 2. Hakuna kusumbua watu michango 3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu hawajitambui! Kimshahara kiduchu lakini bado anasema CCM mbele kwa mbele?

    Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote. Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu CCM. Wana mastress...
  18. JamiiForums Tanzania Uandaaji wa Ramani za Nyumba bado umekua ni shida kwa baadhi ya wataalamu wetu

    Nimekua nikiangalia ramani nyingi sana za nyumba zinazoandaliwa na professionals wetu wengi kwa industry lakini bado nagundua kuna shida,, 1. Ramani zinaandaliwa pasipo kuzingatia proper coordination of Rooms. Mfano: Kuna ramani nmekutana nayo,,Public toilet iko katikati ya Kitchen na Dining🤣🚮...
  19. JamiiForums Tanzania Tasisi za dini za kiisalamu bado zimelala hapa tanzania zikizungukwa na matapeli wakichangisha au kujipigia miradi.

    Nipo mkoa X nilishangaa kuona mkoa ambao unaweza kuchukua kufikia masaa 14 kufikia kuwa wanaitaji uwezeshwaji wa nyumba ya ibada. Hivi hii tabia ilianza pole pole sana ila imekuwa kama muendelezo.
  20. JamiiForums Tanzania Makalla: Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM, bado hajaelewa misingi ya CCM

    Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM kwaiyo bado hajaelewa misingi ya CCM kwaiyo huko aliko akajifunze misingi ya chama cha mapinduzi – Makalla. Chanzo: Wasafi FM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…