bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba kwa ajili ya kazi ya boda boda

    Kwenu wakuu habari zenu Mimi kijana wa miaka 25 Elimu form six Nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba kwa ajili ya kazi ya boda boda kijiwe changu kitakuwa kariakoo Uaminifu ni mkubwa hata ukitaka kupelekwa inapokaa familia yang yaan wazaz na wakanizamin nipo tayar Mawasiliano 0685176087
  2. Mwanaume kama hujawahi kutamkiwa haya katikati/baada ya show jua kiwango chako bado

    Mambo vp wakuu, Kutokana na nyuzi nyingi nazosoma humu ndugu zangu wengi wanapitia mazito kwenye mahusiano yao, swala la kukaa ndani nyumba moja bila kusemeshana, au mwanamke kuchepuka au kususiwa unyumba imekua too much.. inasikitisha sana. Kwa kweli hali za mahusiano ni mbaya sana, sio...
  3. Natamani kujiunga Chama la Kataa Ndoa ila Roho bado inasita-sita

    Natamani kujiunga hili Chama la Wana ila roho bado inasita-sita. Nimejifungia sehemu bado natafakari
  4. Aliekukuta katika hali hii bado mko nae?

    "Pakiwa ndipo unapolala humo humo unatunzia na vyombo vyako basi hicho sio chumba hio ni stoo" alisema kijana mmoja graduate huku akiwa ameegemesha miguu miwili kwenye sofa la shemeji yake
  5. Mungu hufanya kazi kupitia watu na hao watu waweza usiwafahamu ila wapo i call them God's messenger.

    Ijumaa Kareem Unaweza kuwa karibu na watu wenye kila aina ya fursa ,mawazo chanya, kujitoa , Ila wasifanikiwe kukupa hayo mawazo chanya, wala kujitoa kwako wala kukupa fursa. Kuna wakati Mungu Anasema na wewe Ila kupitia watu wengine na sio hao ambao wapo karibu yako. Mwaka Jana nilienda...
  6. Uongozi wa Simba SC mnaweza kutuambia Ziara yenu majuzi Bungeni ilikuwa ya nini mkijua bado tuko Vitani?

    Mmeniangusha mno kwani mlifanya kitu cha Kipuuzi mno ambacho Kimetugharimu (Kuingiza Simba SC Siasani) wakati ni Timu ya Mpira na tuko katika Vita Kubwa ya Ubaya Ubwela.
  7. Naulizia tu..Pugu Boys...aka pond boys yalee maji ya fungus bado yapo??maana wengine yalututesa sana na kupunguza HATA uzao...

    Wale mliopotia pugu sec myanielewa Wengine waliitea pond boys Wengine fungus boys Yaani baadaeee BAADA ya mateso ya kujikuna SEHEMU za Siri kunywaa madawaaa kibaokoo Badoo wengine Hawakufanikiwa kupata uzaooo Na HATA walee waliopanga watoto wengi wakaishia MMOJA ama wwawililii maana Ile...
  8. Wananzengo wanaulizia Hifadhi ya Taifa ya Burigi Chato mbona hatuisikii, Je bado ipo?

    Hifadhi hii ilianzishwa wakati wa awamu ya tano, wanyama wakasafirishwa kutoka maeneo mbalimbali kuelekea Chato kwenye kitovu cha utalii. Muda umepita, hifadhi hii haisikiki tena. Wadau wanaulizia bado ipo, au wanyama washarudi kwenye sehemu zao za asili?
  9. Pre GE2025 Kumbe bado kuna siasa za kuleta lami na madaraja

    Kumeanza kuchangamka sasa. Slogan ni ile ile tetea ugali wako mapema. Sisi Watanzania hakika tulirogwa. Makofi tafadhali.
  10. Tazama hizi video 3 ili ukiri kuwa bado wazee kama Wasira wanahitajika kwenye uongozi wa nchi yetu.

    Sio upinzani wala tawala, vijana bado. Kijana kama Yericko na huyu Assenga wanakatisha tamaa mno. Dunia inaenda mbele ila wao bado akili ziko enzi za mawe. Video ya 3 ni vijana wapuuzi wa UVCCM wakicheza kwenye maji machafu. https://www.instagram.com/reel/DFc4a3wSWhI/?igsh=OHVibDR6bDViYmU3...
  11. Simba bado inajenga timu

    Kwa mechi ya Jana na Tabora na mechi iliyopita na CS Constantine inaonekana kabisa kuna marekebisho makubwa Sana yanatakiwa kufanyika wakati Simba inajenga timu. Kwanza wachezaji waongeze umakini kwenye kumalizia mipira ya mwisho ili yale magoli wanayokosa kwenye Kila mechi wafunge. Naamini...
  12. Hivi tozo kwenye miamala ya simu bado mpaka leo?

    Kuna kipindi walitangaza kwamba tozo kwenye miamala ya simu zimeondolewa. Pia nakumbuka mchanganuo wa matumizi ya hizo tozo ulitolewa ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya, barabara nk. https://www.mawasiliano.go.tz/news/rais-samia-aridhia-kuondolewa-tozo-za-miamala-ya-simu...
  13. Uzingativu wa jinsia: Mfumo dume bado kikwazo katika mitandao ya kijamii

    UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia katika kuripoti habari wakati huu ambao idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania wakitumia mitandao ya...
  14. W

    Wimbi kubwa la wahitimu tegemezi wanaomaliza vyuo wasioweza kujitegemea, kuna faida ya kuwa na elimu ya chuo kama huwezi kujilisha?

    Tunawaona wahitimu wengi sana wakibaki majumbani au kwenda kwa dada zao walioolewa baada ya kuhitimu. Speaking from experience vijana wengi baada ya kumaliza chuo huanza kuomba ajira bila mafanikio (hawana connection, hawana experience), mwaka unakatika wanaona kujitolea (volunteering) kwenye...
  15. B

    Meli imeshusha mzigo, imeelekea Mombasa na kushusha na sasa imeishafika india! Siku 11, bado mzigo haujatoka bandarini, kisa mfumo wa TRA

    Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini? Kila nikiuliza agent (BE FORWARD naambiwa kuwa ni tatizo la mfumo wa TRA. Haya ndio Mabadiriko chanya...
  16. R

    E-mail kutoka TaESA.

    Habari wapendwa. Mimi nimejiunga na TaESA lakini sijafiki asilimia za kuomba reg no. Lakini nimekua ninapokea e-mail zao mfano zinakua zinasema “MAOMBI YA USAJILI WA MWAJILI KWENDA WIZARA YA KAZI YAMETUMWA KUTOKA TAA SONGEA” nashindwa kuelewa naomba mwenye kujua anielekeze nisije kua napishana...
  17. Bado CHADEMA inatawala medani za siasa Tanganyika

    Hatukupoa, hatupoi na moto ni uleule Hakuna nguvu yoyote kubwa inayotumika.. Ni asili imeamua kuchukua mkondo wake.. Imagine hata makada maarufu wa mbogamboga wametekwa bila hiari na CHADEMA.. Kutwa kucha ni CHADEMA midomoni na akilini mwao CCM ni kama kama mgonjwa aliye chumba cha mahututi...
  18. K

    Ana miaka 32 Hana mke Hana mtoto Hana maisha anasema nisioe, kama kuoa ni kutoafanikiwa mbona yeye bado fukara😃

    Unakuta mtu anakushauri oya usioe mpaka ufike 30's yeye wakati ana Zaidi ya 30 hajaoa na maisha magumu vibaya Wakuu hakuna uhusiano wowte wa mafanikio na ndoa kama utapata mtu Sahihi
  19. J

    Jeshi la Uhamiaji Tanzania Bado Lina Hoja ya Kujibu Kuhusu Suala la Kuwapa Uraia Hao Wachezaji wa Kigeni

    1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa inalenga kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala hili. Taarifa husika imeambatishwa hapa kwenye uzi huu. 2...
  20. W

    EQUITY Bank unafungua account na kupewa ATM Card ndani ya dakika 10 , Crdb na Nmb wameboresha huduma zao ?

    Ninahitaji kuongeza account kati ya benki hizo mbili Crdb na Nmb. Nakumbuka hapo zamani Crdb na Nmb process zilikuwa ndefu sana wiki 1 hadi 2 Mambo yamebadilika ????
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…