Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.
Waziri wa uwekezaji Mr. Mwambe amesema hakuna mkataba wowote uliosainiwa hapo awali kuhusu bandari ya Bagamoyo zaidi ya minutes tu za vikao.
Mwambe amesema serikali itaanza rasmi mazungumzo na Oman na China ikiwa na maagizo ya Rais Samia baada ya kuwa amezipitia nyaraka zote.
Chanzo: ITV...
Hatimaye ule mradi mkubwa wa Bagamoyo kurejewa, tiyari wananchi wamelipwa fidia kupisha mradi.
Hekta 9,800 ni za mradi Eneo Maalum la Kiuchumi Bagamoyo, hekta 3,000 ni uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo, Hekta 6,800 zilizobaki tayari hekta 2,600 zimelipiwa fidia kwa ajili ya uwekezaji na Mamlaka...
Mradi wa Bagamoyo ni moja ya miradi iliyoko mioyoni mwa watanzania nikiwemo Mimi japo wengi hawasemi Kwa sasa. Ni Kati ya vitumbua vya Taifa vyenye mchanga. Huu mradi ni kipimo Kwa Serikali ya Mama Samia maana ni kati ya miradi tukiingia kichwa kichwa mchina atakuwa kapata upenyo wa kutukaba...
Msanii Vitali Maembe amekamatwa Leo tar 02 November 2021 mjini Bagamoyo. Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii mwenye nyimbo zinazoitukana serikali.
Taarifa za mwanzo zinasema yeye ni msanii mwenye nyimbo zinazoitukana serikali.
Tuendelee kuomba Msanii wa Umma aachiwe huru ili kuelimisha...
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Zainab Abdallah ameonesha utaalamu na uwezo mkubwa wa kushusha mistari huku akiwa amerelax kabisa.
Binti huyo mrembo, ameonekana katika video inayosambaa katika mitandao ya kijamii akichana kwa lugha ya Kiingereza kwa lafudhi ya Kimarekani kama Mwanamuziki Nick Minaj...
Waziri Ole Nasha ndiye aliyekuwa waziri ambaye kapewa majukumu ya ufuatiliaji wa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo wenye makadirio ya thamani $10B. Watanzania wengi ni lazima tujiulize huyu waziri kijana kuondoka katika mazingira haya akiwa katikati ya mkataba mkubwa hivi.
Kwa kutoa...
Magufuli alimpatia mzee Bakhresa ekari karibia Elfu ishirini huko Bagamoyo ili alime miwa na kuzalisha sukari. Jamaa kafanya kweli. Inakadiriwa kuwa nchi yetu mahitaji ya sukari kwa mwaka ni tani 700,000 lakini uzalishaji ni kama tani 400,000. kiwanda cha Bakhresa kinategemewa kuzalisha tani...
Habari gani Wakuu ninaamini mpo vyema kabisa. Naomba Moja kwa moja niende kwenye mada
Tanzania ni Taifa lenye bahati kubwa. Wazo la bandari ya Bagamoyo ni la kipekee na Mataifa Mengi yangeona yapo nyuma mno kama nchi ya Tanzania ingekuwa na hii bandari leo.
Mradi huu umeachwa na kuchelewa kwa...
Shamba lipo fukayosi Bagamoyo.. lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana.
Lipo Fukayosi Bagamoyo - km 10 kutoka Bagamoyo road, shamba lina heka 15.
Document zote za serikali ya kijiji zipo na halina migogoro yoyote.
Bei ni milioni 15 (15,000,000/=) tu
Nauza lote...
NGOME NDOGO ALIYOJENGA HERMANN VON WISSMAN BAGAMOYO
Kiasi cha miaka 10 iliyopita nilifika kwenye hii ngome ndogo aliyojenga Hermann von Wissman wakati jeshi lake lenye askari wa Kinubi na Kizulu walipokuwa wanapambana na jeshi la Abushiri bin Salim Al Harith.
Wakati huo niliikuta ngome hii...
Kiwanja kinauzwa. (HAKINA UDALALI)
Mahali: Bagamoyo vijijini
Kijiji cha WAMI STATION (MATIPWILI)
Ukubwa: Robo heka na ni TAMBARARE
Kipo kando ya barabara itakayojengwa ya EAST AFRICA.
Huduma za kijamii zote zinapatikana.
Usafiri ni wa Gari na Reli.
Umbali ni 40km kutoka Barabara kuu...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Zinga, Bagamoyo amesema halazimishi watu kupata Chanjo dhidi ya COVID-19 akieleza, "Kila mtu ni mkubwa ana akili yake. Vituo vipo ukijihisi unataka kwenda nenda, ukiona bado hutaki ni wewe na maamuzi yako"
Amesisitiza "Tusidanganyane, COVID-19 ipo na inachukua...
Habari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania.
Karibu uweke comment yako.
apartment
bagamoyo
bei
biashara
eneo
fuso
gari
heka
inauzwa
ist
kawawa
kibamba
kibiashara
kilimanjaro
kinauzwa
kiwanja
kiwanja kinauzwa
kuagiza
kuagiza gari
madale
magari
mbezi
mbezi beach
mkopo
n.k
nauza
nyumba
nyumba kali
nyumba ya kupangisha
plot
shamba
subaru
toyota
uwekezaji
viwanja
yanauzwa
zinauzwa
Nahisi wataalam wetu wanachoamini wao ni kwamba kukiwa na matrafiki light mengi ndio maendeleo...maana walichokifanya saizi kuanzia Mwenge hadi Morocco ni kukomoa. Mwenge taa, TV taa, Bamaga taa, Sayansi taa, Makumbusho taa, victoria taa, mbele ya victoria taa,then unakutana na taa za Morocco...
Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata
Mashamba kilomita
Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka
Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka
Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka
MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10
Mpaka acre 500...
Beach plot inauzwa Nunge Beach Bagamoyo Mjini. Nunge Beach ni maeneo ya ilipokuwa Paradise Hotel and Resort. Ni eneo linalofaa kujenga Hotel za kitalii. Size ya kiwanja ni 11 acres. Bei ni $2M. Serious customers wawasiliane nami kupitia 0687320462.
Hatutaweza kupata mkataba mzuri kama mwekezaji anajua yuko peke yake! Tunachotaka tunajua na mradi utangazwe kama tenda ili wadau wengine na mashirika mengine nayo yaweze kuleta tenda zao. Kuna watu serikalini na wanasiasa wameshawekwa mfukoni na China kwa kupewa visafari na visemina vya kijinga...
Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.
Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.
Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi.
Tunataka siku mkianza kulia tulie...
Mataga sasa hivi wamekuwa kama chapati, kila wakienda upande huu au ule wanapigwa.
Walishangilia ndege ambazo zilinunuliwa kwa mkataba usiojulikana, makinikia yanaenda nje kwa mkataba wa mwendazake, SGR, Stiglers, yote haya yanajengwa bila mikataba inayojulikana na mataga walikuwa...