bajaji

Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.

View More On Wikipedia.org
  1. Omary scotten

    Dereva taxi na Bajaji mtandaoni natafuta kazi

    Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika...
  2. R

    Bajaji mkataba

    Kwa jina naitwa ramdhani napatikana dar es salaam natafuta bajaji ya mkataba na Nina leseni sichagui yeyote pia na uwezo wa kuendesha gar za Uber Kwa mawasilian zaid 0678303923
  3. mtanga255

    Nahitaji bajaji ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari

    Poleni na kazi wakuu, Mimi kijana nahitaji bajaji ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari kufanya biashara ya bajaji mimi niko tayari. Nipo dar Hesabu wiki 100,000/= Mkataba wiki 140,000/= MAWASILIANO 0617562823
  4. Meneja Wa Makampuni

    Usiogope Unaweza Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Kwenye Magari na Bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Usiogope Unaweza kuanzisha Kituo cha Kujaza gesi (CNG) kwenye magari na bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
  6. A

    KERO Arusha jiji iangalie utaratibu wa bajaji za ngusero hadi chini ya mti(katikati ya mji) kutoza nauli kubwa kwa abiria

    Bajaji zakutoka ngusero kwenda chini yamti (katikati ya mji) Arusha mjini kutoza nauli kubwa kwa abiria tofauti na maelekezo ya mamlaka husika. Nauli elekezi ni 600/= bajaji wanatoza nauli ya 700/= ambayo nikubwa sana kwa abiri wa hali ya chini. Kama kina mama zetu wenye mitaji midogo...
  7. P

    Je, bodaboda wa Dar es Salaam kulipwa fidia? Rejea maneno ya Lema: “Bodaboda sio ajira”.

    Watanzania wengi hawapendi kujua ukweli. Nadhani hulka hii inatokana na wananchi kufungiwa nchini mwao na hivyo kukosa nafasi ya kuona jinsi nchi zingine zilivyoendelea. Kuna siku Lema alisema bodaboda sio ajira, watu walikuja juu na kusema kuwa kawakosea watu na ni kama anadharau ajira za...
  8. Mad Max

    Hyundai na TVS waungana kutengeneza "Bajaji" za umeme. Zimekaa Unyama sana!

    Kampuni ya magari kutoka Korea Hyundai, wameungana na Muhindi TVS kuleta "bajaji" za umeme ambazo unaweza ukazitumia kwa business au usafiri private. Hyundai yeye atatoa engineering na technology wakati TVS atafanya assembly na marketing. Bei na specifications zaidi bado hazijawekwa wazi.
  9. D

    Ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa hapa Kahama?

    Habarini wanaJF? Naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa hapa manispaa ya Kahama?
  10. D

    Ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa Kahama?

    Habarini wanaJF? Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,naomba mnijuze ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba hapa manispaa ya Kahama.
  11. M

    Kati ya bodaboda au Bajaji ya mzigo kipi kinafaida?

    Kati ya bodaboda au Bajaji ya mizigo kipi kinafaida endapo mtu akiamua kokomaa kabisa wakuu
  12. Stephano Mgendanyi

    Samia Mtaani Kwetu Kuwajengea Uwezo Madereva Bajaji Ili Wazitumie Fursa Zinazowahusu

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway Tarehe 28/12/2024 alikutana na madereva bajaji walioko Wilaya ya Mpanda ili kutekeleza dhima ya Program ya "SAMIA MTAANI KWETU" yenye lengo la kukutana na makundi yote ndani ya jamii yetu kwaajili ya kujenga Umoja...
  13. Shooter Again

    Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

    Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Ajira ni haki ya kila kijana msomi, lakini kwasababu ya upumbavu wao hawatakuja kuitambua hii haki yao ya msingi mpaka watazeeka.

    Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani. Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad? Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili. Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
  15. gcmmedia

    KERO Mbeya jiji: Kuna Watu wanaotishia waendesha bajaji, hawafanywi chochote na yeyote eneo la geti la Pili kwenye bandari kavu

    Kuna kundi la watu wapo eneo la Geti la Pili kwenye bandari kavu jijini Mbeya, mbele kidogo ya Iyunga unapoelekea Mbalizi. Watu hawa hukamata bajaji mchana kweupe wakiwa na marungu kuzuia bajaji zisiende uelekeo wa Mbalizi. Cha kushangaza, hata kama umekodi bajaji hawa watu hawataki hilo...
  16. Mindyou

    LGE2024 Mbona Tulia Ackson kaanza kampeni mapema hivi? Azindua ofisi ya Chama cha Madereva na Wamiliki wa Bajaji Mbeya Mjini

    Wakuu, Hivi hizi kampeni zinazofanyika sasa si ni kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Au ni kampeni za Uchaguzi Mkuu? Kwa sababu naona kama Tulia ame-lobby hii process na amefanya hii kampeni yote kumuhusu yeye. Na hii benki iliyompa Tulia hizi bajaji nane kwa ajili ya Tulia Trust, mna...
  17. D

    Je naweza kupata bajaji 3 M iliotumika mwaka mmja tu?

    Je naweza kupata bajaji kwa 3 M iliotumika mwaka mmja tu
  18. monotheist

    Hii Mikopo ya Bajaji sasa imekua kama kausha damu, tuwe makini

    Pitapita zangu maeneo ya town nikaona bango kubwa linalohusu mkopo wa bajaji na pikipiki nikaamua isiwe shida ngoja nijisogeze yaliyojiri ni kama yafuatayo; Aina ya bajaji ni RE Kianzio cha mkopo ni 700,000 na marejesho kwa siku ni 28,000 kwa miaka miwili inamaana hapa ndani ya miaka miwili...
  19. milele amina

    TAKUKURU KILIMANJARO: Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji, LATRA NI MZIGO!

    Katika mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji. Vyombo vya usalama vinapaswa kufuatilia hali hii, kwani kuna madai kwamba wahusika wa LATRA wamejifanya kama vishoka. Wasimamizi hao wapo maeneo maalum, wakiwa wamevaa sare...
  20. B

    Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

    Heshima yenu! Wanajamii Jf! Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa! Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
Back
Top Bottom