Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.
Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji Nchi Tanzania leo Septemba 22, 2024 wametoa msimamo wa kutokushiriki maandamano ambayo yamepangwa kufanyika siku ya Septemba 23, 2024 Mkoani Dar Es Salaam yaliyotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Msimamo huo umetolewa na Mwenyekiti...
Habari?
Nina milion2 kama kianzio naona nitafute bajaji ya mkopo, vipi inawezekana na inautaratibu upi?
Hii pesa nimekosa wazo zuri la biashara naona itaisha tu.
Au kama kuna mtu ana wazo zuri wakuu anisaidie.
Natanguliza Shukurani.
Kwema Wakuu!
Nimeamini Mjini mipango. Haka kajamaa bhana kama ungebahatika kukutana nako Mwezi wa Saba mwishoni ungeelewa Kwa nini Wazazi na ndugu Zake walikakatia TAMAA.
Ungeelewa Kwa nini hata Mchumba wake alimbwaga.
Kajamaa kalikuwa kamejichokea haswa.
Moja haisomi Mbili haikai.
Sasa...
Kwa kuwa latra wameshindwa kusimamia bajaji na bodaboda japo wanawapa leseni, kuna uhumuhimu wa kuwa na chombo cha kudimamia hawa vijana maana wasipo simamiwa na janga la taifa.
Bajaji na bodaboda wanafanya kazi nzuri sana hasa maeneo ambayo mabasi na usafiri mwingine haufiki. Pia wanafanya...
Dar es Salaam, 18 Julai, 2024
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) iliona taarifa zilizosambaa kupitia mtandao wa Jamii Forums tarehe 17 Julai, 2024 kuwa, "Afisa anayejulikana kwa jina la Fadhili anawalazimisha Madereva wampe fedha awalipie Faini na Stika za LATRA kwa madai mfumo...
Kuna Afisa mmoja wa LATRA Morogoro anafahamika kwa jina la Fadhili, huyu mtu ni hatari sana kwa Vijana wanaoendesha Bajaji, anatutesa sana sisi Vijana na kinachouma zaidi ni kuwa inavyoonekana Wakubwa wake wa kazi wanajua michezo yake lakini nao wapo kimya.
Afisa huyu ana mtindo wa kulazimisha...
Habari wakuu,
Bila kuwachosha sana niende kwenye mada. Mm ni dereva Mzoefu ninatafuta Bajaj iwe ya mkataba au hesabu popote ndani ya Dar es salaam.
Contacts. 749662314
Nawaslisha.
Wasalaam
Habari zenu Wakuu,
Kwenye harakati zangu mtandaoni nikakutana na Ukurasa huu ambao unatoa Bajaji kwa ufadhili wa Mo Dewji.
Naomba kujua kama huu ukurasa ni rasmi na watoa kweli Bajaji?
Asante.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki vyenye uwezo wa kuzuia jua na kuwakinga na mvua wanaposubiri wateja.
Mhe. Mchengerwa ametoa...
Jiji la Mbeya, kama miji mingi inayoendelea nchini Tanzania, linakabiliwa na changamoto kubwa za usafiri. Bajaji, ambazo ni maarufu kwa kuwa nafuu na rahisi kupenya katika mitaa midogo, zimekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri wa jiji hili. Hata hivyo, kuongezeka kwa idadi ya bajaji...
Utafiti wangu ulochukua miaka mingi hadi sasa umekuja na mkataa wa kudumu wa maneno ya hizi bajaji.
Unaweza hisi inasema sijui nini " Gochionale kikachukattchu ka" 🤨🤨
Mwingine naye atasikia anavyojua yeye 😄😄
Ila ukweli ni kanasemaga "BE CAREFUL THE TRUCK IS BACKING UP" X2
Bajaji inauzwa bei sawa na bure ni kampuni ya Sinoray.
Capacity cc200
Seats 8
Usajiri ni DSG
full document
Ni kununua na kuingia barabarani haina changamoto yoyote
Bei ni Milioni 3,200,000 haipungui
Pia naitoa kwa mkataba kama wewe ni dereva una leseni na una mdhamini.
Mawasiliano 0758161628...
Sijui shida ni nini. Huku south Africa, botwasana, Námibia huwezi oná bodaboda. Zimejaa zile toyota hiace Kila mahali.
Sisi tuliondoa hiace mjini miaka hiyo. Sasa tumesajili bodaboda na bajaji.
Solution ni simple. Waache kusajili bodaboda na bajaji. Waacha kuimport. Hiz zilizopo zifanye route...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.