bajaji

Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Kijana mkazi wa Dar es Salaam anatafuta bajaji ya mkataba

    Bwana mdogo anatafuta bajaji ya mkataba. Ni mkazi wa Dar. Nimefikisha hitaji lake Jamiiforums kama platform sahihi. Wasifu wake: Ameshawahi kuchukua bajaji za mkataba 2 na kufanikisha kumaliza kikamilifu mkataba. Licha ya kutafuta bajaji ya mkataba ana biashara nyingine pembeni. Karibuni wadau.
  2. B

    Washindi watatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ wapatikana, Mmoja aondoka na Bajaji

    Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB ilizindua msimu wa tatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ na kutenga jumla ya zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 470 kwa wateja wake mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
  3. Y

    INAUZWA Nauza Bajaji Namba B

    Bajaji Bei 1.5M, Iko vzur engine iko vzur, njoo ukague ulipie uondoke nayo mawasiliano 0693 794 907 location Dar es salaam Airport N.B haijaenda body.
  4. R

    KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

    Wakuu, Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo! Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
  5. OleWako

    Bajaji za Umeme zina faida gani? Changamoto zao ni zipi?

    Ndugu wataalamu mnaoendesha bajaji za umeme. leo nimeendeshwa na dereva wenye bajaji ya umeme na kuongea naye kumenipa wazo la kununua bajaji ya umeme mwenyewe. Dereva aliniambia bajaji za umeme zina faida tu: matumizi ya umeme ndogo, uwezekano wa kuichaji nyumbani, matengenezo ya gharama ya...
  6. R

    Ni kiongozi gani wa kisiasa amewahi kutumia bajaji na pikipiki kutekeleza majukumu yake? Je, Makonda akiwa RC aliwahi kufanya hivyo? Kwanini sasa?

    Kuna vitu vinatafakarisha. Viongozi wa kisiasa wanatumia magari ya mamilioni na hakuna aliye tayari baada ya kupewa ofisi atumie bajaji wala pikipiki. Leo kuna mtu anaacha V8 na kupanda bajaji kuingia ofisini. Je, haya ndiyo maisha yake? Kama siyo maisha yake anafanya kwa manufaa ya nani...
  7. GENTAMYCINE

    Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

    Afande ( Luteni Kanali ) aliyeuawa jana Kawe Jirani na Baa maarufu ya Bombardier anaitwa Muna. Marehemu ni Mkazi wa Mkoa wa Singida. Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alikuwa kapandishwa Cheo na alikuwa anaenda kuwa Mkuu wa Kikosi Mkoani Arusha na leo Ijumaa ndiyo alikuwa anatakiwa Kuripoti...
  8. Roving Journalist

    Songwe: Watu 5 wapoteza maisha katika ajali ya Lori na Bajaji

    Kuna ajali mbaya imetokea Tunduma mkoani Songwe, ambapo watu watano hadi sasa wamepoteza Maisha. Ajali imetokea maeneo ya Sogea kwenye mteremko wa Mlima Chengura. Taarifa za awali zinadai Kati ya Watu waliopoteza maisha, Watatu ni Familia moja ambao ni Mama na watoto wake wawili mapacha...
  9. Kindeena

    Dereva ninahitaji Bajaji Mkataba

    Habari. Mimi ni dereva wa bajaji. Nina leseni ya udereva Nipo Dar es Salaam. Ninahitaji Bajaji ya mkataba. Kwa mwenye bajaji tuwasiliane kwa ajili ya maelewano. Asanteni!
  10. Uhakika Bro

    Tufanye jaribio, tuwape bodaboda utawala wa mji/wilaya moja tu

    Kila siku ooooh! Bodaboda ni hatari, sijui bajaji usalama barabara imefanyeje. Swali ni je, tukiweka wilaya moja ikawa na bajaji na bodaboda tu na baiskeli. Wao ndio wanadeal na traffic. Wao ndio wanadeal na usafirishaji kila kitu. Afu tuone je? Umahiri na ufanisi wa usafirishaji kwenye hiyo...
  11. Uhakika Bro

    Tufanye jaribio, tuwape bodaboda utawala wa mji/wilaya moja tu

    Kila siku ooooh! Bodaboda ni hatari, sijui bajaji usalama barabara imefanyeje. Swali ni je, tukiweka wilaya moja ikawa na bajaji na bodaboda tu na baiskeli. Wao ndio wanadeal na traffic. Wao ndio wanadeal na usafirishaji kila kitu. Afu tuone je? Umahiri na ufanisi wa usafirishaji kwenye hiyo...
  12. U

    Wenye uzoefu na biashara ya mkataba kwa bodaboda na bajaji naomba mnielimishe

    Gharama anazopaswa kuingia mmiliki ni zipi, marejesho yanapaswa kuwa vipi? Changamoto zake ni zipi? Faida zake zinakuwaje hasa "mambo" yakienda vizuri. Matatizo ya kutarajia ni yapi? Aina nzuri za bodaboda ni zipi? Mkataba unakuwaje? Kimsingi sijawahifanya biashara hii, ninataka tu...
  13. S

    Hii issue ya Daladala na Bajaji Arusha serikali ya mkoa imeshindwa

    Tulishuhudia mgomo wa daladala za kutoka Morombo kwenda mjini Arusha, wakaahidiwa kulishughulikia. Wakiwa ktk mchakato wa kulishughulikia bajaji wakaandamana, serikali ikawagwaya, imewaogopa maana waliitishia serikali kuwa watarudia kazi yao ya kuvunja na kuiba. Nafikiri Rais angewaondoa hao...
  14. Influenza

    TRA: Taarifa ya Bodaboda na Bajaji kuanza kulipa Kodi sio taarifa rasmi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebainisha kuwa taarifa iliyotolewa awali na Afisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi wa Mamlaka hiyo kuwa bodaboda wataanza kutozwa kodi sio rasmi Afisa huyo, Hamad Mterry alieleza kuwa Kodi mpya za Pikipiki za Matairi Mawili (Bodaboda) itakuwa Tsh. 65,000 na Bajaji...
  15. UMUGHAKA

    Bodaboda na Bajaji mnapaswa kulipa Kodi kwa Mujibu wa Sheria Mpya ya Kodi. Acheni kuleta Blah blah!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Pesa za kuhonga huwa zinapatikana ila za kulipa Kodi mnaanza kuleta singeli za kipumbavu!. Huwa mkisikia kulipa mapato(stahiki ya serikali) mnaanza ngonjera kibao kana kwamba ni dhambi kulipa mapato. Kama unafanya kazi kila siku na unapata faida...
  16. K

    Anahitajika Dereva Bajaji Arusha

    Mimi Nina Bajaji RE 250 Nimeinunua Mwezi Wa 3 ipo Arusha, Kazi Zangu Nyingi Zinanifanya Nisiwepo Arusha Hivyo Usimamizi Unakua Mdogo Na Madereva Wakishajua Haupo Wansumbua kutoa Hesabu Ya Day Hivyo Nahitaji Dereva Anayetaka Bajaji Ya Mkataba 1) Awe Na Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA) 2)...
  17. Donnie Charlie

    Tanzania kutengeneza magari, bajaji zisizohitaji dereva

    Katika mkakati wa kukuza TEHAMA na Ubunifu nchini, Tanzania imealika kampuni 15 za Misri, huku lengo likiwa kuhakikisha katika miaka michache ijayo, Tanzania itengeneze magari na bajaji za umeme na zisizohitaji dereva. Akizungumza katika maonyesho ya biashara baina ya wafanyabiashara wa...
  18. Mamujay

    Bajaji ya kuchaji unahitaji vibali Latra?

    Je Bajaj ya kuchaji unahitaji kuisajili Latra ili upige nayo kazi bararrani? Je unakamatwa na trafiki barabarani?
  19. BARD AI

    Songwe: Ajali ya Malori 2, Bajaji na Bodaboda yaua Watu 5 Momba

    Watu watano wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea katika eneo la Mpakani Wilaya ya Momba mkoani Songwe. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ya simu leo Jumatano Juni 5, 2023; Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Theopista Mallya amethibitisha kutokea ajali hiyo...
  20. S

    Ujio wa DP world: Magari sasa kushuka bei na kuwa sawa na bajaji

    Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4, 5 ama 6. LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20. Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru...
Back
Top Bottom