bajeti wizara ya vijana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge, Liwaka: Wako wenzetu wameichagua Siasa kupandikiza 'maumivu' kwenye Masikio ya Vijana

    Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Fadhili Liwaka, amesema kuna Wanasiasa wengine nchini wameichagua siasa kuyatia masikio ya vijana kauli zenye "maumivu", badala wajikite katika kutoa kauli za matumaini zinazolenga maendeleo. Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Vijana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nanauka: Serikali inatazamia kuanzisha benki ya Vijana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema serikali inaendelea na utafiti wa kuanzisha Benki ya Vijana itakayolenga kutoa huduma za kifedha zinazokidhi mahitaji ya vijana Nchini. Amesema hayo wakati akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge, Kanoni: Fedha Tsh. Bilioni 200 za vijana zipelekwe wizara yao

    Mbunge wa Kalambo, Edfonce Kanoni ameshauri fedha Tsh. Bilioni 200 za vijana zipelekwe wizara yao "Hizi fedha bilioni 200 zimegawika katika wizara za kisekta, ninashauri Serikali fedha hizi zirudi katika Wizara ya Vijana ili Vijana wawe wanajua kwamba sisi fedha zetu zipo katika Wizara ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge, Kafiti William: Tuwaanzishie Vijana mashamba na kuwapa mitaji Wakajiajiri

    Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Kafiti William Kafiti, ametoa wito kwa Serikali kuongeza msisitizo katika sekta ya kilimo kupitia programu ya Building a Better Tomorrow (BBT) kama suluhisho la kudumu la ajira kwa vijana na kukuza pato la taifa. Akichangia mjadala wa Bajeti ya Vijana bungeni, leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…