Wahenga walisema "Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha", baada ya mjadala mrefu juzi Juni 22, 2021 Bunge la Tanzania lilipitisha na kuidhinisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania shilingi trilioni 36.68 (36,681,897,765,000) kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambapo wabunge 361 sawa...