Habari waungwana wa humu.
Bila shaka hakuna aliye mgeni wa kadhia hii kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii zetu..
Kama kawaida ya watu duni umoja wetu ndio nguvu yetu ya kufanikisha yale yanayoonekana yako nje ya kimo chetu kiuchumi.
Mshikamano ni jambo la msingi sana lakini inakuwa...
Serikali itaendelea kuboresha bajeti ya Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori(TAWA), Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kutegemeana na hali ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali ili kuimarisha shughuli za ulinzi na kuboresha miundombinu ya utalii.
Haya...
Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida.
Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae kupata aibu, kuharibu bajeti yako, n.k.
Kumjuza bajeti yako itakusaidia mapema kujua kama yupo nje ya...
Mwanamke aitwaye Nancy Simon, Balozi wa mtaa wa Olekeriani, kata ya Olasiti jijini Arusha, ambaye alikatwa mkono akijaribu kumuokoa mwanamke aliyekuwa akishambuliwa na mume wake, ameeleza kuwa uchunguzi wa kesi yake umegonga mwamba. Askari mpelelezi wa tukio hilo amesema kuwa kesi hiyo haiwezi...
⚡️JUST IN
Serikali ya Iran imeamua kuongeza bajeti ya kijeshi kwa asilimia 200%.
Kulingana na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), Iran kwa sasa ina bajeti ya kijeshi ya dola bilioni 10.3. Kwa ongezeko la asilimia 200, matumizi ya kijeshi ya Iran yatapanda hadi dola...
Habarini wana jamvi,
Ninahitaji mark x au brevis kwa bajeti ya milion 7 hadi 10 kutokana na ubora na model itakayopatikana.
Tafadhali, mimi ni mzoefu wa magari hivyo ukija na deal ni bora uwe serious.
Ninauhitaji wa haraka kidogo kwa ajili ya matumizi binafsi.
PM ipo wazi au unaweza kunipa...
Habari za mapumziko!
Inasikitisha sana kuona sekta muhimu za kuleta maendeleo hazipewi kipaumbele Kwa maana ya kupewa rasilimali pesa kulingana na bajeti zilizopitishwa na Bunge, sekta muhimu kwenye nchi kama Ardhi, kilimo, Mifugo, uvuvi zina hali mbaya kifedha kutokana na kupelekewa bajeti...
Habari zenu wakuu. Mko vizuri?
Nimekutana na video Instagram ya Dotto Magari akiwa na bosi wake Issa Tambuu ambapo Dotto ametangaza kuwa harusi yake itagharimu Milioni 60 kama bajeti.
Dotto alifunga ndoa juzi juzi hapa na mkewe Bi Aisha, harusi ikija siku chache tangu amalize dili la ubalozi...
Katika jamii yetu kawaida ya watu wanashindwa kufikia malengo Yao kutokana na kile wanachoamini kuwa kipato hakitoshi.
Kiuhalisia ukimuuliza matumizi yake ni shi ngapi kwa mwezi au kwa siku hawezi kulipa jibu la moja kwa moja kwani wengine wao hutumia kulingana na kile anachokipata kwa siku...
Ununuzi wa umma unachukua sehemu kubwa ya matumizi ya Serikali barani Afrika, ikihusisha zaidi ya asilimia 70 ya bajeti ya nchi. Hii inatoa fursa kubwa lakini pia inakabiliwa na changamoto nyingi, zikiwemo dosari za vitendo vya rushwa na ubadhirifu wa fedha za umma.
Taarifa za Wakaguzi Wakuu wa...
Akichangia mjadala wa bajeti kuu ya serikali mbunge wa gairo mheshimiwa shabiby amesema kumeibuka wimbi la wasifiaji wa kila kitu na kusema kweli zile sifa hazitoki moyoni bali wanasifia kwa maslahi yao binafsi.
Tumekuwa na wapiga dili karibu kila mahali na mara nyingi utawasikia mama anaupiga...
Namna pekee itayoweza kutuamsha kama nchi toka usingizini ni kujiuliza maswali kadhaa…
1.) Tanganyika inakopa jumla ya Trillion ngapi kwa mwaka?
2.) Tanganyika inalipa madeni Trillion ngapi kwa mwaka?
3.) Tanganyika inakusanya mapato ya ndani Trillion ngapi kwa mwaka?
Majibu
1.) Tangu 2021...
"Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza."
"Ukishusha 2% ya VAT unapoteza...
Leo, Juni 26, 2024, Wabunge wa Tanzania wanatarajiwa kupiga kura ili kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha ujao. Hii ni hatua muhimu katika mchakato wa kupanga na kugawa rasilimali za taifa kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo na matumizi mengine ya serikali. Mchakato huu...
Baada ya kifo cha Magufuli Zanzibar imekuwa na mabadiliko makubwa kiuchumi, barabara zumepigwa lami nyingi sana. Hawajaanza kuchimba mafuta, zile pesa wamezitoa wapi? Ji ukweli Samia kuna namna amefanya, pesa zetu inajenga Zanzibar ndio maana wanataka kumwongezea Mwinyi muda wa uongozi.
Ni wazi...
Njia Tano Bora za Ukusanyaji Mapato Bila Unyonyaji kwa Mwananchi
1. Matumizi ya Teknolojia na Mfumo wa Kielektroniki:
-Ushuru wa Dijitali: Kutumia mifumo ya kielektroniki katika ukusanyaji wa ushuru ili kuboresha uwazi na kupunguza rushwa. Hii inaweza pia kupunguza gharama za ukusanyaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.