DODOMA: Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Bilioni 171,372,508,000 kwaajili ya Matumizi yake kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ambapo zaidi ya Nusu ya Bajeti (Tsh. 93,930,673,000) imeelekezwa katika Matumizi ya Kawaida
Pia, Wizara imeomba kiasi...
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imewasilisha Bungeni maombi ya Bajeti ya Tsh. 285,318,387,000 kwaajili ya matumizi ya Wizara na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2024/25
Kati ya fedha zilizoombwa, Tsh. 11,280,116,000 zitatumia kulipa Mishahara ya Watumishi na Tsh. 15,847,483,000 ni kwaajili...
Ni muda sasa umepita tokea serikali kurudisha umiliki wa hospital ya Dar group na kuwa chini ya Jkci ingawa awali ilitegemewa baada ya serikali kuchukua rasimali zote za hospital hiyo ikiwemo majengo ,vifaa tiba na fedha ktk account ilitarajiwa kutoa ajira rasmi kwa rasilimali watu (watumishi...
Bajeti ya wizara ya viwanda ieleze itakavyosaidia wazawa na wazalishaji wa ndani, kuna wanasiasa wanaingiza baadhi ya bidhaa hazinakodi na zile zinazozarisha ndani ya nchi wanatozwa kodi kubwa kupelekea bidhaa zao kushindwa kushindana sokoni na kisha viwanda kufungwa na kukosa ajira kwa watu...
Jumla Kuu - Tsh. 110,899,722,000
Matumizi ya kawaida - Tsh. 81,115,206,000
1. Mishahara - Tsh. 68,352,946,000
2. Mengineyo - Tsh. 12,762,260,000
Matumizi ya Maendeleo - Tsh. 29,784,516,000
Katika mwaka 2024/2025, vipaumbele vikuu vya Wizara ni sita (6). Aidha, vipaumbele hivyo vitatekelezwa...
Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, tarehe 20 Mei 2024.
HALI YA ULINZI NA USALAMA WA MIPAKA YA NCHI
Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2023/24, haIi ya mipaka ya Nchi yetu yenye urefu wa jumIa ya kiIomita 5,923.41, ambayo inahusisha eneo Ia nchi kavu na eneo Ia maji, imeendeIea kuwa shwari. Mipaka hiyo ni baina ya Tanzania na Burundi, Jamhuri ya...
Kama Tunavyojua Uimara Wa Taifa Lolote Kiuchumi Duniani, Ikiwemo Marekani Na Uchina Basi Ni Kuwekeza Nguvu Zaidi Katika Kuimarisha Ulinzi Na Usalama Wa Nchi. Lakini Jambo Hili Ni Kinyume Kidogo Na Nchi Za Kiafrika Ambazo Bado Zinapambana Kujikwamua Kwenye Lindi La Umaskini.
Lakini Kwa Bajeti...
Usikose Kufuatilia Mubashara, leo Jumatatu.
Hotuba ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itakayosomwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb).
⏰ 3:00 Asubuhi.
🗓️ 20 Mei, 2024.
📍Bungeni, Dodoma
"Namshukuru MUNGU kwa Baraka na Rehema zake kwa kuendelea kunijalia afya njema. Nampongeza sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya Hospitali za Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali za Kanda, Hospitali ya Taifa, Zahanati, Vituo vya Afya, na vifaa...
Wasaalam.
Nawashukuru watanzania wote kwa ufuatiliaji wa wasilisho la bajeti ya wizara ya jamii 2024/25.
Namshukuru Mungu kwamba, mjadala mkubwa wakati wa uwasilishaji, ni ishara ya elimu kuifikia jamii kwa kina kuhusu kupambana na kutokomeza ukatili wa kijinsia na kudhibiti mmomonyoko wa...
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. 67,905,259,000 inayotarajiwa kutumiwa na Wizara hiyo katika kipindi cha mwaka 2024/25
Katika wasilisho lake Bungeni, Waziri Dkt. Doroth Gwajima amesema Tsh. 47,487,079,000 kati ya Fedha hizo...
Kabla ya kusoma maoni yangu tazama hizi takwimu na maelezo ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari:
BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2023/24
Katika Mwaka wa Fedha 2023/24 Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliidhinishiwa kutumia kiasi cha Shilingi bilioni...
"Nampongeza Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya katika Taifa letu la Tanzania na jinsi ambavyo ameendelea kuboresha Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo inasababisha wananchi tuendelee kukaa katika hali ya ulinzi na usalama" - Mhe. Martha Festo Mariki, Mbunge wa Viti Maalum...
"Natoa pole kwa Wananchi wa Jimbo la Kibiti na Jimbo la Rufiji kutokana na kadhia ya mafuriko, nawaomba wananchi waendelee kuwa na subira kwani Serikali ipo kazini inaendelea kuwashughulikia wananchi ambao wamepatwa na mafuriko" - Twaha Ally Mpembenwe, Mbunge wa Jimbo la Kibiti
"Namshukuru...
Waziri Kivuli wa Mifugo na Uvuvi, Ndugu Selemani Misango, amesema bajeti iliyotengwa kwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi haiwezi kukidhi matakwa na matatizo ya Sekta hiyo nchini na kwamba ACT Wazalendo haioni ni kwa nini Sekta hizo mbili zisitowe mchango mkubwa kwenye Pato la Taifa.
Amesema...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 27, leo Mei 16, 2024 ambapo pamoja na Maswali na Majibu, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye atasoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/25...
Sijui kama Watanzania wengi wanajua kuwepo kwa vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea Dodoma. Yaani kuanzia mitaani, mitandaoni, redioni, Kwenye Luninga na magazeti hakuna habari wala mijadala mizito inayoibuliwa kutokea bungeni, yaani kumepoa balaa.
Mahudhurio ya wabunge ni hafifu mno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.