bandari ya bagamoyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijogoodi

    Serikali imeanza kuhakiki mkataba wa bandari ya Bagamoyo

    Gazeti la Mwananchi toleo la leo limekuja na habari kuwa serikali ya Rais Samia imeanza kupitia upya na kuhakiki mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliotiliwa shaka na hayati Magufuli kuwa una mashariti magumu yanayolenga kuuwa taifa kiuchumi na ni kichaa tu anayeweza kusaini na...
  2. Zanzibar-ASP

    Bandari ya Bagamoyo hiyooo inakuja, ama tuikatae sasa au tuipokee milele!

    Bila kumumunya maneno, serikali ya awamu ya sita imedhamiria kwa 100% kuhakikisha mkataba ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo unatekelezwa mara moja, serikali imejipanga kuhakikisha hilo linafanikiwa kwa haraka iwezekano. Bila kusimamia upande wowote katika hili kwenye mada hii, ninapenda...
  3. Stroke

    Rais Samia, usijenge Bandari ya Bagamoyo utaiua nchi kabisa

    Nipende kumuomba CDF amshauri Rais asijenge Bandari ya Bagamoyo kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kuliua Taifa Kabisa. Nimemuomba CDF kwani yeye ndiye mkuu wa majeshi ya Ulinzi, na ulinzi ni pamoja na kuangalia uhai wa Taifa, sio kwa mtutu wa Bunduki tu na mizinga bali hata kwa ushauri wenye...
  4. Mpinzire

    Kulikuwa na sababu gani haswa ambazo zilipelekea Rais Mstaafu Kikwete kuweka jiwe la msingi Bandari ya Bagamoyo kabla ya Mikataba kusainiwa?

    Ilikuwa Oktoba 16, 2015 pale Bagamoyo ambapo Rais wa wakatiuo Jakaya Mrisho Kikwete aliweka jiwe la msingi kuashiria ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza rasmi huku akiwa Mkurugenzi wa kampuni itakayojenga Bandari hiyo. Zoezi ilo lilifanyika siku 8 tu kabla ya Uchaguzi mkuu ambapo Mh Jakaya...
  5. figganigga

    Nape Nnauye amjibu Mangula, ni Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

    Salaam Wakuu, Baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula kuzungumzia Bandari ya Bagamoyo kwamba haipo kwenye ilani, Mbunge wa Mtama Moses Nnauye(CCM) ameibuka na kusema kwamba kuna miladi mingi imetekelezwa ambago haikuwa kwenye ilani. Mangula alisema...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Kama mnaipenda bandari ya Bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza bandari ya Dar es Salaam

    Ni ushauri tu, Sipendi ujuaji sana wa kusoma kwenye makaratasi ila huwa napenda kuchakachua ubongo wangu, Kama kweli mnaipenda bandari ya Bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza bandari ya Dar es Salaam.
  7. Lycaon pictus

    Mimi napinga ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa sababu hizi

    China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha. Tukiwa na bandari ya...
  8. JF Member

    Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndiyo yale yaliyosemwa na Marehemu?

    Natamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo. 1. Je, Gesi ya Mtwara ni ya Kwetu ama tulishauza tukaweka mpunga kwapani? 2. Je, Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndo yale yaliyosemwa na marehemu?
  9. J

    Waziri Mwambe: Mazungumzo ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi

    Waziri wa uwekezaji Mr. Mwambe amesema hakuna mkataba wowote uliosainiwa hapo awali kuhusu bandari ya Bagamoyo zaidi ya minutes tu za vikao. Mwambe amesema serikali itaanza rasmi mazungumzo na Oman na China ikiwa na maagizo ya Rais Samia baada ya kuwa amezipitia nyaraka zote. Chanzo: ITV...
  10. F

    Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo umekumbwa na nini?

    Na Beatrice Kimaro BBC Mchambuzi Tanzania Katika miongo miwili iliyopita, tumeshuhudia uwekezaji mkubwa ukifanywa na Serikali ya Tanzania kwenye miundo mbinu ya usafiri na usafirishaji. Ukiacha ujenzi wa barabara ulioongeza mtandao wa barabara nchini humo hadi kufikia zaidi ya kilometa...
  11. mike2k

    Mradi wa Bandari ya Bagamoyo kuna jini?

    Katika miongo miwili iliyopita, tumeshuhudia uwekezaji mkubwa ukifanywa na Serikali ya Tanzania kwenye miundo mbinu ya usafiri na usafirishaji. Ukiacha ujenzi wa barabara ulioongeza mtandao wa barabara nchini humo hadi kufikia zaidi ya kilometa 86,000, kuna miradi ya Reli ya SGR iliyowekezwa...
  12. K

    Baada ya Ole Nasha kufariki ni wakati wa Mkataba wa bandari ya Bagamoyo kuwa wazi

    Waziri Ole Nasha ndiye aliyekuwa waziri ambaye kapewa majukumu ya ufuatiliaji wa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo wenye makadirio ya thamani $10B. Watanzania wengi ni lazima tujiulize huyu waziri kijana kuondoka katika mazingira haya akiwa katikati ya mkataba mkubwa hivi. Kwa kutoa...
  13. Pile F

    Bribery and corruption: Athreat to an early Bagamoyo Port

    Habari gani Wakuu ninaamini mpo vyema kabisa. Naomba Moja kwa moja niende kwenye mada Tanzania ni Taifa lenye bahati kubwa. Wazo la bandari ya Bagamoyo ni la kipekee na Mataifa Mengi yangeona yapo nyuma mno kama nchi ya Tanzania ingekuwa na hii bandari leo. Mradi huu umeachwa na kuchelewa kwa...
  14. K

    Nairudisha Bandari ya Bagamoyo ukumbini, nikiiunganisha na ujenzi wa Bomba la Mafuta (EACOP)

    Ujenzi wa Bomba la Mafuta toka Hoima hadi Tanga, ni "Joint Venture", na tumekwishashuhudia hatua zote zinazohusika na mradi huo zinavyoandaliwa na kupata maelezo namna mradi utakavyotekelezwa. Haya mambo kwa sehemu kikubwa yamewekwa wazi, na hatujashuhudia kelele nyingi zikipigwa toka kwenye...
  15. kmbwembwe

    Kama Bandari ya Bagamoyo lazima ijengwe, basi sio kwa masharti ya kuweka nchi rehani

    Tukubaliane tusikubaliane Rais Samia kashakubali mradi wa Bagamoyo kwa masharti aliyoyakataa Magufuli na ambayo Kikwete aliyakubali. Kwa hivi sasa ni kiini macho kinafanyika. Watatumwa watu kimbelembele kuendesha mazungumzo. Nionavyo mimi viongozi wabinafsi wamejaa kwenye ranks za CCM na...
  16. SONGOKA

    Tanzania na China: Kwanini tunajadili mkataba mmoja tu kati ya 17 iliyosainiwa?

    Wana bodi nikiri ni miaka mingi nimepotea humu. Wale mlionimiss mniwie radhi. Mods pia acha kuunganisha uzi wangu na mingine isiyohusiana na maswala haya nayoyaongelea. Turudi kwenye Mada: Siku ya tarehe 24 March 2013 (Jumapili) Rais Xi Jinping aliwasili nchini Tanzania akitokea Urusi...
  17. chiembe

    MATAGA mnataka mkataba wa Bandari ya Bagamoyo uwe wazi, mbona hamkuuliza mkataba wa ndege, makinikia na SGR?

    Mataga sasa hivi wamekuwa kama chapati, kila wakienda upande huu au ule wanapigwa. Walishangilia ndege ambazo zilinunuliwa kwa mkataba usiojulikana, makinikia yanaenda nje kwa mkataba wa mwendazake, SGR, Stiglers, yote haya yanajengwa bila mikataba inayojulikana na mataga walikuwa...
  18. Kelvin R Nyello

    Mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uwekwe wazi wananchi tuusome kuepusha upotoshaji unaoweza kufanyika

    Habari ya leo wakuu, Imani yangu nyote ni wazima, kwa wasio wazima InshaAllah Allah awafanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye hoja. Naomba mkataba na project proposal ya ujenzi wa bandari ya kisasa ya Bagamoyo uwekwe wazi ili Watanzania wenye uwezo wausome, uchambuliwe pro and cons zake zote...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

    Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port. Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi. Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi. Tunataka siku mkianza kulia tulie...
  20. Mwande na Mndewa

    Ushauri na maoni yangu kuhusu Bandari ya Bagamoyo

    USHAURI NA MAONI YANGU KUHUSU BANDARI YA BAGAMOYO. Ilikuwa Octoba 21 katika taarifa ya habari ya Channel Ten nilimsikia Mgombea Urais wa Ukawa,Mh Edward Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina Bagamoyo, Alisema haoni mantiki ya...
Back
Top Bottom