Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo unaotarajiwa kuanza hivi karibuni chini ya kampuni ya China Merchant Holdings inatarajiwa ukikamilika utaifanya bandari hiyo kuwa kubwa zaid barani Afrika kutokana na kuwa na magati yenye urefu hadi kufikia kilomita 20 na kuhudumia makontena zaidi ya milioni 20...
Mradi wa kujenga Bandari ya Bagamoyo ambao ulikuwa ugharimu dola bilioni 10 ulikuwa ni mzigo mkubwa sana kwa Watanzania.
Watanzania tunatakiwa tumshukuru sana Rais Magufuli kusimamisha mradi huo la sivyo ingechukua miaka mingi sana kuilipa China mkopo wa ujenzi wa bandari hiyo ambayo isingekuwa...
Hii ni kwa mujibu wa Prof. Mbalawa, kasema gaazeti la the citizen ni limeandika uwongo.
Chanzo: TBC habari
========
UPDATE:
Dar es Salaam. The government has said the processes for the construction of the Bagamoyo Port will not be halted and will continue.
Reacting to reports about the...
Rais Jakaya Kikwete, Alhamis Wiki Hii anatarajiwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Mradi huo wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo utakaokuwa wa aina yake Afrika Mashariki na Kati, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani bilioni 10.
Kwa mujibu wa taarifa...
Wakati sakata la gesi ya Mtwara halijaisha CCM kupitia kwa Mwenyekiti wake Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete amesaini mktaba wa kujenga bandari nyingine huko Mbegani Bagamoyo Nyumbani kwa Rais, huku zile za Mtwara na Tanga zikiachwa hoi, CCM ikumbuke kuwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni kaburi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.